:A S cry:Diwani wa CHADEMA kamchapa ngumi INJINIA wa halimashauri ya Kahama Mjini!!!!!!!!
Hii ilitokea baada ya Injinia huyo kutoa taarifa za kifisadi katika kamati ya fedha na kuonyesha saiti...
ladies and gentlemen,
friends and enemies,(my enemies are those who want steal away our natural resources).
Kaeni chonjo,kesho ni kesho na asemae keshokutwa ni mwongo.
south side we seek the...
Asubuhi naamka na kwenda kazini na kukuta Hiace inayomilikiwa na mtu anayeitwa California ikiwa imepaki.
Mara naona vijana wanaofanya kazi katika shimo la dhahabu la mtu aitwaye Omary wakielekea...
Nimeshitushwa na report kwamba serikali imeambiwa kuwa uwepo wa Money Laundering nchini na pesa/mali za magaidi
lakini imeshindwa kuchukua hatua, hii ni report ya FATF (The Financial Action Task...
Kuna maswali mengi sana yananisumbua kutokana na sakata zima la gesi kwamba isafirishwe au isisafirishwe kuja Dar.Kuna wengine wanavyosema kwenye thread mbalimbali unaona kabisa kwamba hawajui...
Nikupongeze sana kwa kuwapa masaa 24 walioleta mafuta yasiyo na viwango waondoke.
Nilianza kuhisi harufu ya mafuta kurudishwa pale niliposikia kwamba Tani 20,000 kati ya 100,000 ziko OK na...
Hii nimeinyaka huko kwa mzee michuzi,
Nairobian said..
%he so called educated TZ people are treating kenyans as junior partners in the East African union. A few educated Tanzanians like the so...
Mbunge wa Maswa bwana John Shibuda kaibuka na kudai kuwa chama chake CHADEMA kama anavyodai kuwa kwa sasa kimepoteza mvuto katika kanda ya ziwa na yuko mbioni kuanika mambo hadharani yanakikumba...
inasemekana kuwa wanamtwara wamekuwa wajeuri na majasiri juu ya tamko la serikali kuhusu gesi yao kutokana na hamasa kubwa waliyoipata kutoka kwa rais huyo mstaafu.mkapa iliwaambia wanamtwara...
Kwa muda mrefu sasa tangu uchaguzi wa vyama vyingi uanze mwaka 1995 wana jimbo la Kibaha Vijijini hawajapata kamanda makini wa kuweza kuwakilisha maoni yao, mawazo yao, matatizo yao,bungeni lakini...
JE LOWASA NI MTU SAHIHI?
Edward ngoyai lowasa na URAISI 2015
Ni mzee nguli katika siasa za fitina Tanzania na afrika mashariki huku akisifika kwa maamuzi magumu anayoimba kila siku...
I wish to suggest that CDM should take some public responsibility for the Juliana Shonza egotism. The egotism which has resulted into the embarrasment the party has suffered in the last couple...
Wakuu jana baadhi ya viongozi wa kiislamu akiwemo Sheikh mkuu wa mkoa wa Dar es salaam waliongelea swala la Gesi iliyoko Mtwara.
Katika taarifa yao Sheikh mkuu wa mkoa wa Dar es salaam...
Written by Abdul // 18/01/2013 // Habari // 9 Comments
MAONI YA CHUO KIKUU CHA TAIFA ZANZIBAR(SUZA)YA KUPATA KATIBA MPYA YA JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA YATAKAYOWASILISHWA TUME YA...
Diwani wa Kata ya Gulumungu (CCM) Wilaya ya Misungwi mkoani Mwanza, Claud Masangija,amehukumiwa kifungo cha miezi sita jela baada ya kupatikana na kosa la kuchana bendera ya Chama cha Demokrasia...
Katika kuhakikisha kuwa wananchi wa mkoa wa Singida wanaondokana na woga unaopelekea kulipishwa michango haramu ya mazao na mifugo,Chama cha democrasia na maendeleo (CHADEMA) kimeamua kuandaa...
na Mwandishi wetu
BAADA ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Mahusiano na Uratibu), Stephen Wassira kutajwa kuwa nyuma ya mkakati wa kukihujumu Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
Nimesoma uzi aliouanzisha hapa JF na Bw William Malecela akimtuhumu Mkiti wa Bavicha John Heche huku akimuunganisha Dr Slaa bila kutoa ushahidi wo wote. Na hii si mara ya kwanza wala ya pili au...
KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa, leo anatarajiwa kufungua kongamano la wanafunzi wa vyuo vikuu vilivyoko Dar es Salaam.
Akizungumza na gazeti...
Gazeti La Daily Mail la Uingereza limeripoti leo kwamba Serikali ya Kenya imekamata shehena kubwa ya mwaka. Ni vipande 638 sawa Tembo 320 waliouwawa. Mzigo huo wa Tani 2 ulikuwa kwenye container...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.