Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

  • Closed
Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Tanzania, Edward Hosea *Waziri Mkuchika akataa kusema lolote * Manumba aendelea kupumulia mashine MKURUGENZI Mkuu wa Taasisi ya...
1 Reactions
30 Replies
6K Views
Wanajamvi, Siku chache baada ya Dr Slaa kusema anatishwa kuuawa, Wafuasi wa chama hicho Wilaya ya Arumeru Magharibi, wametangaza kufanya ibada ya KIMILA (Kuvunja chungu), kuwalaani wanaosuka...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa, leo anatarajiwa kufungua kongamano la wanafunzi wa vyuo vikuu vilivyoko Dar es Salaam. Akizungumza na gazeti...
9 Reactions
69 Replies
7K Views
Kwa kweli inasikitisha sana kwa utendaji wa aina hii wa viongozi wa Serikali! Unavunja nguvu watumishi na hivyo kuzorotesha utendaji. Mnamo juzi 5 julai 2012 kama sikosei ni siku ya alhamisi DC...
3 Reactions
30 Replies
5K Views
Heshima kwenu wanakijiji wenzangu. Mwalimu wangu aliwahi kuniambia kuwa unapotaka kutengeneza theory lazima uwe na hypothesis ambayo utaifanyia investigation kupitia njia tofauti za ukusanyaji wa...
0 Reactions
35 Replies
3K Views
Taarifa za redio ya kijamii ya vision FM ikimnukuu mwenyekiti wa CHADEMA wilaya bw. Sherejei na mbunge wa viti maalumm CHADEMA Bi Lwamlaza ni kwamba wanaungana na madiwani wa CCM kumpinga meya...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Ndugu wana jf hii ni kauli ya Deogratius Kisandu "kaka MOLEMO wapiga kura walio wengi wamesoma shule za kata fanya upembuzi yakinifu, halafu umesahau mimi CHADEMA si kufukuzwa nilijivua uanachama...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Ndio maana mimi napenda kusema Rais ajaye lazima awe amesoma shule za kata huyu ndiye anajua machungu ya watanzania na lazima awe amesoma vyuo vya hapahapa bongo anajua machungu ya bodi ya mikopo...
0 Reactions
49 Replies
4K Views
Kila kukicha kuelekea 2015 muda unazidi kupungua na kazi inaonekana kubwa kwa chama chetu. Leo naomba nitoe ushauri jinsi ya kupanga vikosi vya M4C kuanzia mwaka huu. Mpangilio wangu unjikita...
18 Reactions
122 Replies
9K Views
Kuna habari hizi nilizipata jana toka kwa wana-Mtwara. "Kinachotuuzi sana ni Kikwete kugawa rasilmali zetu kama fadhila kwa wachina kwa sababu hawakumnyonga mwanae..... Wachina wanataka gesi...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
  • Closed
Aliyewahi kuwa Mwanachama wa CHADEMA na Mgombea ubunge wa Jimbo la Kibaha Habib Mchange anashikiliwa na kituo cha Polisi Mabatini Kijitonyama kwa tuhuma za wizi wa Simu. Habib Mchange...
24 Reactions
309 Replies
24K Views
Following the recent massive ivory seizures around the world and their connection with TZ....its high time for CITES (Convention on International Trade in Endangered Species of Wildlife Flora and...
0 Reactions
1 Replies
830 Views
Makundi ya vijana tuyaonayo sasa chanzo chake ni TANU ambayo ilikuwa na kundi la vijana wa TANUuthrigi, na enzi hizo kama hujajiunga na umoja huo ilikuwa vigumu mtu kupata ajira. Hali kadhalika...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
BAADHI ya maofisa wa taasisi nyeti za serikali ikiwemo Ikulu, wametuhumiwa kula njama kuwaficha watu waliotuhumiwa kuhusika na vitendo vya ujangili na wengine kuwapandisha vyeo vikiwemo vya...
0 Reactions
33 Replies
3K Views
Kuelekea uteuzi wa mgombea wa urais kupitia CCM. Chama hicho kimejikuta kwenye mgogoro mkubwa kupita ule wa CCM-Orignal na CCM-Magamba. Mgogoro mkubwa unaoelekea kupigia msumari wa mwisho kwenye...
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Ndugu Wana JF, Kwanza nashukuru sana kwa michango yenu kwenye uzi ulioanzishwa hapa jana unaoelezea kuhusu mkutano wa leo wa CHADEMA hapa Mlandizi. Sikuweza kuujibu jana kwa kuwa nilikuwa...
6 Reactions
15 Replies
2K Views
Habari nilizozipata sasa ni kuwa Ndugu na viongozi wa CCM mkoa wa Singida wanaangaika kufanya kila wawezalo kuhakikisha vijana waliowatuma kufanya fujo kwenye MKUTANO wa CDM wanatoka na kuwa...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Mashahidi wa tatu na nne upande wa Jamhuri katika kesi inayomkabili Sheikh Ponda Issa Ponda, jana walijichanganya baada ya kushindwa kuieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wanakifahamuje...
3 Reactions
36 Replies
4K Views
SERIKALI KANDAMIZI HUSABABISHA UASI NDANI YA NCHI . Godbless Lema Nimetazama habari za vyombo za habari leo asubuhi na kutafakari nafikiri napaswa kuweka kumbukumbu vyema na sahihi bila...
19 Reactions
169 Replies
12K Views
Heshima kwa wanajukwaa wote! Nimeona tuunganishe vichwa vyetu ili kujiuliza yako wapi majibu sahihi ya kashfa mbalimbali zinazolitafuna Taifa letu? Kashfa hizi zimekuwa zikiripotiwa kwenye vichwa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Back
Top Bottom