Maoni ya katiba kutoka makundi mbalimbali

Khakha

JF-Expert Member
Jul 15, 2009
2,982
1,009
wadau jf amani iwe juu yenu. kufuatana na ratiba ya CRC sasa ni zamu ya makundi,asasi,vyama vya siasa,marais wastaafu,ofisi mbalimbali za serikali nk.

tumesikia maoni yao mbalimbali ambayo mengi ni mazuri kwa ustawi wa taifa letu.

tumesikia maoni mfn ya nec, bunge, judiciary, cag, ofisi ya rais nk. najua kuna ofisi nyingi as per ratiba ya crc wanaendelea kutoa maoni yao.

the matter is reflection ya maoni yao kwa nilivyoona kuwa katiba yetu ya sasa kwa kweli ni mbovu. ni mbovu. ninaomba crc wayafanyie kazi hasahasa. laiti kama makundi haya ndo yangeanza kutoa maoni kabla ya wananchi, wallah wananchi huku chini wangapata pa kuanzia kutoa maoni yao sbb tumesikia watu wanataka katiba iruhusu kila mwananchi amilikishwe anga(hiyo imetokea sumbawanga wakati crc ikichukua maoni ya wananchi huko).

hadi mtu anatoa maoni kuwa wamilikishwe anga kwa sababu "nyungo" nyingi zinasafiri usiku hiyo yote ni kwa sbb ya ukosefu wa uelewa wa masuala ya katiba.

nashukuru kwa maoni ya makundi yanayoendelea .
 
Back
Top Bottom