Wadau wanaJF, hasa wale wanaopenda kuona mabadiliko. Naomba nitoe yangu ya moyoni yafuatayo:
Mimi nafikiri kuanzia sasa tunapo-post thread zozote kuhusu madudu yote ya hapa nchini, au...
Mara ya mwisho kabisa kwa Nape Nnauye kugundua na kupigia kelele ufisadi mkubwa hapa nchini ni mwanzoni mwanzoni mwa kipindi cha kwanza cha JK na kuhusu gharama za ujenzi wa jengo la Umoja wa...
Ni mwanafunzi wa Masters ya Public Administration UDOM na sasa hivi yuko Str tv kipindi cha Tuongee asubuhi.Sasa sijui hii style ya kukurupuka na kumsingizia Lema inakuja vipi kama siyo kutishia...
Mwandishi Wetu | Toleo la 277 | 16 Jan 2013
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) mkoani Mwanza kimeonywa kuhusu mwenendo wake wa kumtumia Meya wa Halmashauri ya Ilemela, Henry Matata, kama...
Kwa jinsi mambo yanavyotokea huko Mtwara kuhusu suala la gesi asilia, ni dhahiri rais Kikwete hawezi kwenda kule kuhutubia mkutano wa hadhara. Siyo sasa hivi anyway.
Zahanati ya kata ya Usule wilaya ya Shinyanga vijijini haina maji. Wagonjwa wanaolazwa hapo, wakiwemo akina mama wajawazito wanaokaribia kujifungua hulazimika kwenda na maji yao.
Vilevile baada...
Details Published on Sunday, 20 January 2013 04:24 Written by FINNIGANWA SIMBEYE
TANZANIA Building Agency (TBA) is investigating into allegations that some government houses that were sold to...
Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu aliulizwa kwa nini Tanzania ni maskini akasema HAJUI. Kwa kiasi fulani naungana naye maana kwa nchi yenye RAIS, SERIKALI YENYE WIZARA LUKUKI, BUNGE, MAHAKAMA...
Samahani wanajamvi nimeona hili nilizungumze kwa mtizamo wa ndani kidogo. Katika hali ya fedheha kuhusiana na safari za mheshimiwa mwenye nchi ktk nchi za Ulaya na Marekani. Nina maswali haya ya...
Nashauri baada ya kamati kuu ya CCM kupatikana na kujiaminisha kuwa wao ni tumaini jipya la CCM kwa kufanya mikutano sehemu mbalimbali,uongozi CHDM uandae mikutano mikubwa ya amsha amsha kwenye...
Kwasasa mnaonekana lulu ndani ya chamba kwa jinsi ambavyo mmebebeshwa zingo zito la kutetea chama ambacho kimefikia expiry date yake.
Mmekuwa mkisifiwa kwenye vikao vyenu kwajinsi mnavyojua...
JUMAPILI, JANUARI 20, 2013 06:13 NA ARODIA PETER, DAR ES SALAAM
*Asisitiza Chadema ndilo tumaini lililobaki la Watanzania
* Asema maandamano ya wananchi ni matunda ya operesheni
*Afafanua alikopa...
Inaemekana bus la Jari likitoka Morogoro kuelekea Tanga limepata ajali na limeua watu wa 3 papo pahapo wawili abiria wa pikipiki na dreva wa bus tunaomba mlio karibu mtu taarifa. Taarifa hii...
Katika uchaguzi wa mwaka 2010 ilani ya CCM haikuwa na kipengele cha kuandika katiba mpya, CHADEMA kilikuwepo! Baada ya kuona huwezi kuhimili hoja hii pamoja na kusaidiwa sana na Kombani na Werema...
IJUMAA, JANUARI 18, 2013 04:58 NA PETER FABIAN, MAGU
MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoani Mwanza, Dk Anthon Dialo, amecharuka na kusema kwamba chini ya uongozi wake hatakubali makundi...
Leo mmekuwa siku ya furaha kwa wanachama wa chama cha CHADEMA kwa kuapishwa kwa diwani wa kata ya Mlangali wilayani Ludewa mkoa wa Njombe mheshimiwa Faraja Mlelwa,shughuli iliyofanyika saa5 kamili...
katibu mkuu wa chama cha Demokrasia na Maendeleo Dr W. Slaa amesema hawezi kujibishana na Mbunge wa Maswa mashariki Mangale Shimbuda na akaongeza kuwa shibuda anauhuru wa kusema atakacho...
Naaomba mwana jf yeyote ambaye ameguswa na anaendelea kuguswa na ushenzi unaofanywa na chama cha mapinduzi dhidi ya chadema ambaye ni muelewa wa mambo ya corporate governance,internal controls na...
JUMANNE, JANUARI 15, 2013 04:55 NA OSCAR ASSENGA, KOROGWE
MKUU wa Wilaya ya Korogwe, Mrisho Gambo, amempa siku saba Mkurugenzi wa Halmashauri ya Korogwe Vijijini, Lucas Mweri, kumpelekea ofisini...
Wajumbe wa NEC:
Wassira Stephen - 2,135
January Makamba - 2,093
Mwigulu Nchemba - 1,967
Shigela Martin - 1,824
Lukuvi William - 1,805
Membe Bernard - 1,455
Mathayo David - 1,414
Msome Jackson -...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.