KITAIFA
Na Waandishi Wetu
Posted Jumatano,Januari23 2013 saa 22:4 PM
KWA UFUPI
Katika siku za karibuni, kumekuwa na mijadala, mizozo na maoni kutoka kwa kada mbalimbali kuhusiana na suala...
naomba kama kuna mtu humu ndani ambaye amewahi kutaka kuwasiliana na Chadema makao makuu na kushindwa kama mimi
nimejitahidi sana utafikiri kila mtu yuko busy sana
tunaomba Chadema wekeni...
Kwa mujibu wa gazeti la Daily News la leo tr. 24 Januari, 2013, ilikusudiwa tangia mwaka 2010 kwamba gesi inayopatikana Mtwara, isambazwe katika nchi zote zinazounda Jumuiya ya Afrika Mashariki...
Ndugu wana JF, kuna taarifa kuwa katika mkoa wa Mtwara eneo la Msimbati yako mafuta yanachimbwa na wachimbaji wana helkopta tano na wanaishi Dar es Salaam na wanaenda Mtwara na kurudi. Mafuta...
Baada ya kuona wenyeji wa Mtwara wakianza kuwasha moto kwamba GAS ya Mtwara isiende Dar, nimekuwa mmoja wa watu wanaosaidia hii vita ambayo lengo ni kuhakikisha kwamba viwanda vijengwe Mtwara ili...
"Governments must learn to be SERVANTS and not MASTERS ... and people must be taught how to hold their governments accountable" - by IMF. Serikali za kiafrika zina cha kujifunza?
Wadau wote wa JF heshima kwenu.
Kuna wakati najaribu kufikiria sana matatizo mbali mbali yanayotukabili sisi wananchi wa Tanzania na hatua ambazo serikali yetu inachukua ili kuyapatia ufumbuzi...
Ndg. Zangu wana JF. Tunawaombeni magwiji wa lugha watusaidie kutafsiri haya makala kisha yasambazwa nchi nzima. Sidhani mwandishi atakuwa na tatizo makala haya mazito yakimnufaisha kila mtanzania...
Ngugu zangu kumekuwepo na danganya toto nyingi, kuhusu kuwatuhumu na kuwalaumu wananchi wa Mtwara huku tunaficha ukweli wa mambo. Kabla ya maandamano ya mwaka jana Mtwara kutokea, baadhi ya Vyama...
Waasi wa Chademaambao baadhi tayari wamepewa adhabu pamoja na kuvuliwa uanachama wameanzakuonyesha wazi jinsi walivyotumiwa kukihujumu Chadema na Viongozi wake.
Juliana Shonza ameonekana na...
Wanajamvi;
Napenda kutoa taarifa kuwa Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa, Bw. John Heche atakuwa akihojiwa Live katika kipindi cha Hot Mix cha EATV mishale ya saa kumi na moja hivi.
Source: John...
Kwanza kabisa salam wana JF, na wanaoitakaia mema CHADEMA na Tanzania kwa ujumla.
Salam hizi ziwafikie pia wana CHADEMA wote watiifu na walio wavumilivi katika harakati za kuitafuta tanzania...
Nadiriki kusema mkurugenzi ni muongo kwani kuna wanafunzi wapatao 215 wa SAUT Mwanza hawajalipwa pesa zao tangu waanze mwaka wa masomo huu mpaka sasa wanamaliza semister mmewapelekea majina ya...
Imekuwa kawaida kwa siku za karibuni,viongozi wa kiserikali na wa kisiasa,walioko madarakani na wastaafu,kutoa matamko juu ya suala la gesi Mtwara. Matamko yanajaribu kutoa maoni na hisia za...
Mhe. Philemon Ndesamburo (MB) jimbo la Moshi Mjini amerejea jimboni kwake baada ya kutokuwepo nchini tangu mwezi September 2012.
Jembe hilo la CHADEMA ambalo linajivuniwa sana na chama na...
Katika kile kilichoonyeshwa leo na naibu katibu mkuu wa CCM Mwigulu Nchemba katika televisheni ya channel 10 ni kwamba wana uoga mkubwa ulio wazi kabisa kwa chama cha upinzani kushika dola hasa...
Kwa mara nyingine tunajitokeza kutoa rai yetu juu ya mwelekeo wa mgogoro wa gesi katika mkoa wa Mtwara. Katika kipindi cha mwezi huu hii itakuwa ni tahariri ya tatu tunazungumzia jambo moja...
Leo kwenye taarifa ya habari ya Itv nimemsikia mama Tibaijuka akisema mji wa Kigamboni utatumia trillion 11 mpaka kumalizika kwake. Sasa najiuliza hizo pesa zitatoka wapi maana ni karibia na...