Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

  • Closed
Heshima yenu wanabodi Imekuwa sasa kama mazoea kwa mkuu wa wilaya ya Lushoto ndugu Majid Mwanga(29) kuwaweka ndani watumishi wa umma mara kwa mara eti kwa madai kuwa hatekelezi ilani ya CCM...
0 Reactions
92 Replies
14K Views
Kwa upande wa NSSF waliweza kukamilisha asilimia 80 ya malipo kwa awamu ya kwanza na ya pili kwa kulipia jumla ya Sh1.6 bilioni hadi kufikia Juni 2011, lakini Halamshauri ya Jiji hakuweza...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Nimepata habari sasa toka kwa mkazi wa Bukoba,kwamba madiwani wamerushiana makonde,na sasa wako polisi,mwana jf aliyepo Bukoba tunaomba afatilie kujua wameshindwa kuelewana kwa lipi. Nikipata...
0 Reactions
57 Replies
5K Views
BAADA ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Mahusiano na Uratibu), Stephen Wassira kutajwa kuwa nyuma ya mkakati wa kukihujumu Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), waziri mwingine ametajwa...
2 Reactions
160 Replies
10K Views
Nayasema haya kutokana na kazi kubwa na ngumu aliyoifanya Mbunge Lema kulingana na muda aliokaa bungeni. Hata ukiwaangakia vijana waliopitia mikononi mwa mbunge huyu ni tofauti kabisa si na...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Kumekuwepo na mtazamo tofauti juu ya kipi chama mashuhuri na pendwa zaidi kwa watanzania miongoni mwa vyama vikuu vya upinzani Tanzania,hapa navizungumzia cdm na cuf,wapo wanaosema chadema nguvu...
2 Reactions
133 Replies
12K Views
POSTED BY HAMISI KIGWANGALLA ON JAN - 14 - 2013 - 0 COMMENT Nauogopa Urais. Namheshimu Rais. Na hapa niseme tu kwamba JK ni jembe! Nikikumbuka ile mikutano ya hadhara aliyopiga Mhe. Rais wakati...
2 Reactions
36 Replies
3K Views
Baba wa Taifa letu mwl Nyerere hakupenda kabisa watu kujiita wazawa na aliwafananisha watu hao na makaburu wa south Africa na namnukuu;"Makaburu wa Tanzania ni wale wanao jiita wazawa".Aliendelea...
0 Reactions
169 Replies
13K Views
Habari waJf Nimepata taarifa kuna mkutano mkubwa sana, ukiongozwa na Mangula na Nape wenye update pls hatupe kidogo Ila mtoa taarifa amenidokeza kias ~ Wametumia mabasi makubwa sana ya KING...
0 Reactions
121 Replies
12K Views
Kuna msemo wa kiswahili unasema baniani mbaya kiatu chake ni dawa,binafsi si mtaalam sana wa kiswahili lakini msemo huu naona unatusaidia kuyatazama mahusiano na sintofahamu za mara kwa mara baina...
1 Reactions
36 Replies
4K Views
Katika hali ya taharuki iliyotokea hivi karibuni kutokana na sakata la Machinga kufuzwa maeneo yao ya kufanyia biashara ya mtaa wa Sukari kata ya mjini Manispaa ya Shinyanga mjini,kulikopelekea...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA) WILAYA YA LUSHOTO TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI HUJUMA DHIDI YA CHADEMA WILAYA YA LUSHOTO 1.1 UTANGULIZI Ndugu Wanahabari Kwa kuwa nchi yetu...
3 Reactions
25 Replies
4K Views
Lile kundi lililojipanga kuibomoa chadema kwa pesa za CCM sasa limepata mahali pa kwenda. Kwa kauli moja wamefikia muafaka kuhamia NCCR MAGEUZI.. Kama kawaida yao wamepanga kuhamia NCCR MAGEUZI...
1 Reactions
36 Replies
3K Views
Wanajamvi Kati ya yataifuta CCM ni 1.Dr Slaa 2.CHADEMA kwa M4C 3.Rushwa na Ufisadi 4.Gas ya Mtwara kwenda Dar Kusini si upepo tena yanayotokea yamegeuka laana kwa watawala kwani...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) mkoani Mwanza kimeonywa kuhusu mwenendo wake wa kumtumia Meya wa Halmashauri ya Ilemela, Henry Matata, kama turufu yao kisiasa dhidi ya wapinzani wao kwa kuwa hatua hiyo...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Zitto Kabwe Mbunge wa Iringa mjini ndugu Peter Msigwa ametoa taarifa rasmi kwa katibu wa Bunge ili kutoa hoja binafsi dhidi ya Ujangili nchini. Tumwunge Mkono ili kulinda Tembo wetu walio...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Katika hali ya kuonesha ni namna gani Juliana shonza amelipua uozo wa dr.slaa ndani ya chadema kuhusu kula ruzuku ya chama kwa mfumo wa kujikopesha. Dr.slaa alipohojiwa na mwandishi wa habari...
3 Reactions
251 Replies
16K Views
Katika jambo la kibiashara ambalo mh. Mbowe mwenyekiti wa CHADEMA kafanikiwa basi itakuwa kuanzisha gazeti la Tanzania Daima.. Gazeti la Tanzania Daima kwa sasa ndilo gazeti linaloonekana ni...
0 Reactions
47 Replies
6K Views
  • Closed
Hili liko wazi kabisa kuwa mheshimiwa zitto zuberi kabwe ni jembe! Zitto ni mahiri kwa kujenga hoja na kusimamia anachokiamini tofauti na waropokaji akina wenje,jmnyika,msigwa,nassari,mbilinyi...
6 Reactions
363 Replies
23K Views
Wanabodi, hivi ni kweli tumefikia hatua ya kwenda kutibu malaria nje ya nchi?Angalia hapo kwenye red chini nimekutana nayo gazeti la mwananchi Mganga Mkuu wa hospitali ya aghakhan, Dk Jaffer...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom