Waheshimiwa,
Napendankuwapongeza timu mzima ya CDM na hasa Rais Dr Slaa kwa kukaa kimya!!!
Imesaidia kwa kutopewa lawama kuwa nyie ndio mmesababisha hii vita ya Wananchi na Serikali...
Siandiki haya kuwakatisha tamaa watu wa Mtwara. Ila nikiangalia historia ya mapambano iwe ya kudai haki za walio wengi hata baadhi ya makundi kama walimu, madaktari hata makundi ya kidini, naona...
Natanguliza heshima mbele!
Nipo tayari kupokea Kadi ya CCM na kuwa mwanaharakati endapo tu ntapatiwa majibu ya kuridhisha juu ya Swali lifuatalo.
Utangulizi.
Tanzania ni miongoni mwa nchi zenye...
Msafara wa KATIBU wa ccm ndg. Kinana umewasili leo mjini kigoma na kulakiwa na mamia ya wananchi na wapenzi wa chama hicho. Pia alisalimiana na viongozi wa Mkoa na Wilaya wakiwa tayari kwa sherehe...
Wakuu nilishitushwa sana na kauli ya Antony Dialo,anasema mfanyakazi yeyote wa selikali akionekana anashabikia upinzani atawajibishwa lakini akishabikia CCM ruksa! Sasa ikowapi democrasia...
If beggars were horses, the rich would ride them. And they are, and they do. Just think about it.
Throughout history, down to this day, the trend has always been that the many slave for the few...
Sijaelewa kwanini Tume ya Katiba Mpya inakutana na viongozi wa zamani au viongozi mmoja mmoja wa wanasiasa kutoa maoni yao? Wengine wanawafuata majumbani, wengine maofisini; sijaelewa kwa nini...
CCM kimekuwa ni chama ambacho kina monitor mwenendo wa shughuli za CDM,lakini kinasahau changamoto nyingi inazo zikabili.Leo kila unaposikia kiongozi wa CCM ana zungumza bila kuitaja CDM basi ujue...
Nakupongeza sana Dr. Slaa kwa kusema ukweli wako kabisa na tumekuelewa. mara ya Kwanza nilidhani hizo pesa uliiba kama wenzetu wanaoiba pesa ya na rasilimali za Taifa, kumbe umekopa ambayo maana...
Kuna hamasa inafanyika hapa maeneo ya kizuiani na mbagala kuhamasisha watu kutoka mtwara wakutane kesho mwembe yanga kuunga jitihada za wenzao kule nyumbani. Pia wameomba wana mtwara walioko...
Habari nilizozipata hivi punde toka Tarime mjini ni kwamba, kuna ujumbe wa SMS unaosambazwa kuwahimiza wananchi kuamka na kuanza ukombozi. Wamepanga maandamano Alhamisi inayokuja na Ujumbe...
MZOZO wa gesi mkoani Mtwara umefika mahali pabaya na serikali lazima ielekeze nguvu zake huko kuhakikisha mzozo huo unamalizika.
Kwa takriban wiki mbili sasa, vyombo vingi vya habari vimekuwa...
Chama cha Mapinduzi katika Ilani yake ya uchaguzi ya mwaka 2010 inatamka wazi katika Ibara ya 63 kifungu cha H na K juu ya gesi ya Mnazibay Mtwara na Songo songo Kilwa, Lindi kuhusu umeme wa...
Wednesday, 10 October 2012 21:57
Mwandishi Wetu
BAADHI ya mataifa ya Mashariki ya mbali ikiwamo China yamedaiwa kuchochea kwa kiasi kikubwa kuendelea kwa vitendo vya ujangili katika mbuga...
Jana, kama tunavyojua, masasi kulikuwa na maasi ambayo kwa kiwango hayawezi kufananishwa na tukio lolote la aina hapa lililowahi kutokea.
Lakini suala moja ambalo liliambatana na vurugu hizo...
Mara ya mwisho mtandao wao ulikuwa updated 2005
Opportunities
Watanzania hawajui:
Ramani ya Maeneo yepi yana hayo mafuta au gesi
Makampuni yepi yanafanya huo Utafiti
Makampuni yepi yamepewa...
Maongozi ya Mungu Chadema hawajawa na mikutano kipindi hiki wangesingiziwa kuwa chanzo cha machafuko
Wiki mbili zilizopita nilileta mada yenye kichwa: Kikwete ameteleza kuhusu gas Mtwara...
Matatizo Makuu yanayowakabili watanzania katika maisha yao ya kila siku
1. Huduma Mbovu za Afya, (viongozi wetu hawatibiwi kwenye hospitali za umma, hata checkup wanafanya nje ya nchi)
2. Kiwango...