Johnsecond
JF-Expert Member
- May 4, 2010
- 1,076
- 211
Nakupongeza sana Dr. Slaa kwa kusema ukweli wako kabisa na tumekuelewa. mara ya Kwanza nilidhani hizo pesa uliiba kama wenzetu wanaoiba pesa ya na rasilimali za Taifa, kumbe umekopa ambayo maana yake utarudisha hizo pesa. Ni bora uliyesema ukweli kuliko serikali iliyoshindwa kumshika Chenge aliyeiba pesa za Rada, akina Balali waliozushiwa kifo kumbe wameweka pesa Uswisi, pesa za EPA zilizoibiwa na rais wao akawaambia warudishe bila masharti na kiasi walichorudisha sio sawa na kilichochukuliwa.
Na sasa wa natafuta mahala pa kupigia kampeni zao chafu waendelee kula rasilimali za taifa.
Na sasa wa natafuta mahala pa kupigia kampeni zao chafu waendelee kula rasilimali za taifa.