TPDC ya General Robert Mboma ndio hii

TPDC ya General Robert Mboma ndio hii

bwanaharusi

Member
Joined
Jun 5, 2011
Posts
47
Reaction score
18
Mara ya mwisho mtandao wao ulikuwa updated 2005

Opportunities

Watanzania hawajui:

Ramani ya Maeneo yepi yana hayo mafuta au gesi

Makampuni yepi yanafanya huo Utafiti

Makampuni yepi yamepewa hizo blocks

Utaratibu ukoje

Kiasi gani washatoa kama malipo

Idadi ya walioajiriwa toka nje

Idadi watanzania waliopo kwenye haya makampuni

na pia msisahau tuhuma za ufisadi wa hali ya juu kuwa kuna cartel ya matajiri wa Tanzania ambao wanapewa hayo maeneo kisha wao wanauzia makampuni menguine makubwa ya nje.

Sasa kwa nini huyu Mwanajeshi asiwe muwazi zaidi tukajua kinachoendelea?
 
Hoja zako zote hazina msingi na zimelenga kwenye udini mno
 
Kweli kabisa na akili zetu tunasubiria cha maana katika hizi hadithi za Mafuta na Gesi??

Haya tukae hapo tusubiri!!
 
Ni jambo linaloumiza kichwa sana kuona huyu bwana anatajwa katika ufisadi mbalimbali katika nchi hii, japo ni miaka mingi imepita tangu atoke madarakani, huyu ametajwa kuihujumu Tanesco, huyu anatajwa meremeta. na bado serikali inaendelea kumtumia katika maeneo mbalimbali.
Tunasema hivi Taarifa ya waficha fedha uswiss ikitoka lazima tukufunge au hata kukunyonga kama kutakua na ushahidi wa kwamba na wewe umo, tamaa itakufikisha wapi wewe mzee?
mzee umebakisha miaka michache sana ufe kwa uzee lakini bado huoni aibu ya kuendeleza ufisadi! ombea tusikubaini hatukuogopi ng'oooooo.
 
Hili ni fundisho haya majina yanayotoka nchi za mbali hayana uchungu na nchi yetu. Mbm ni jina la kuleeeeeee jirani na kwa akina 'broda'.
 
nami nashangaa kama kuna udini katika thread hii au labda anaota
 
Mara ya mwisho mtandao wao ulikuwa updated 2005

Opportunities

Watanzania hawajui:

Ramani ya Maeneo yepi yana hayo mafuta au gesi

Makampuni yepi yanafanya huo Utafiti

Makampuni yepi yamepewa hizo blocks

Utaratibu ukoje

Kiasi gani washatoa kama malipo

Idadi ya walioajiriwa toka nje

Idadi watanzania waliopo kwenye haya makampuni

na pia msisahau tuhuma za ufisadi wa hali ya juu kuwa kuna cartel ya matajiri wa Tanzania ambao wanapewa hayo maeneo kisha wao wanauzia makampuni menguine makubwa ya nje.

Sasa kwa nini huyu Mwanajeshi asiwe muwazi zaidi tukajua kinachoendelea?
<!DOCTYPE html PUBLIC "-//W3C//DTD XHTML 1.0 Strict//EN" "http://www.w3.org/TR/xhtml1/DTD/xhtml1-strict.dtd">
<html xmlns="http://www.w3.org/1999/xhtml">
<head>
<meta http-equiv="Content-Type" content="text/html; charset=utf-8"/>
<title></title>
</head>
<body>
<div class="page" title="Page 1">

</div>
</body>
</html>
 
Mara ya mwisho mtandao wao ulikuwa updated 2005

Opportunities

Watanzania hawajui:

Ramani ya Maeneo yepi yana hayo mafuta au gesi

Makampuni yepi yanafanya huo Utafiti

Makampuni yepi yamepewa hizo blocks

Utaratibu ukoje

Kiasi gani washatoa kama malipo

Idadi ya walioajiriwa toka nje

Idadi watanzania waliopo kwenye haya makampuni

na pia msisahau tuhuma za ufisadi wa hali ya juu kuwa kuna cartel ya matajiri wa Tanzania ambao wanapewa hayo maeneo kisha wao wanauzia makampuni menguine makubwa ya nje.

Sasa kwa nini huyu Mwanajeshi asiwe muwazi zaidi tukajua kinachoendelea?

pamoja na kukushauri uangalie tovuti ya tpdc angalia ramani ya kuonyesha kampuni zinazotafuta mafuta na gesi
View attachment Activity Map JULY 2012_ARC_1960_final-1.pdf
 
Sasa huyu Mbona kwa nini asinunue Private Jet yake tukajua moja?

Maana yanayoendelea Mtwara yeye ndio Chanzo
 
Back
Top Bottom