Kufungiwa kwa gazeti la mwanahalisi:

Kufungiwa kwa gazeti la mwanahalisi:

kelao

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2012
Posts
8,132
Reaction score
5,811
Wakuu ni muda sasa tangu kufungiwa kwa gazeti la MWANAHALISI sikumbuki ni kwa muda gani hili gazeti limefungiwa.au ndo limefungiwa milele? Naomba mwenye kujua lini hili gazeti letu pendwa litafuguliwa atujuze!
 
So what? Tatizo si kupambana au kuwaunga mkono mafisadi bali kufuata kanuni na maadili ya kazi. Simpo. Sidhani kama Mwanahalisi pekee ndiyo gazeti lililokuwa likipambana na ufisadi. Hebu jiulize nani walifichua ufisadi wa EPA hata Richmond ndiyo utajua kuwa dhana yako si kweli. Hakuna anayependa chombo cha habari kutishwa au kufungiwa. Lakini chombo kinachohusika kinapokuwa kigeugeu kikishirikiana na serikali huku kikiipiga madongo. Kubenea amekuwa mshirika mzuri wa CCM huku akijifanya kuipinga. Uliza dili zake za kwenda India kila mara ni nini kama siyo ufisadi wa kutisha? Kama kweli CCM walimwagia tindikali kutokana na kazi yake mbona hajawashitaki hata kwenye vyombo vya kisheria vya kimataifa au vya hapa nchini? Njaa na ujinga mwingine ni hatari. Heri Kubenea angetumia muda wake kujitafutia elimu kwanza ingeingia akilini zaidi.
 
Nimeshangaa juzi narudi kijijin kwa ajili ya sikukuu mzee mmoja kaniuliza sababu za kufungiwa kwa mwanahalisi... Sikufanya ajizi nikampa ile nakala ya mwisho ya mwanahalisi, nikamwambia asome ile makala ya kutekwa kwa Dr. Ulimboka, leo ni siku ya tatu wazee wanafurika home kusoma ila makala. Tatizo ni kijijin na hakuna hata photocopy... so wanasoma zamu kwa zamu!
 
Ukijua ndiyo iweje?
mkuu kama wewe ulikua mfuatiliaji wa makala ktk gazeti hili utakubali kuwa tulikuwa tunapata habari za kiuchunguzi wa kina.kwa sasa ukiacha mitandao ya kijamii kama JF, Hakuna chombo cha habari ambacho kinatoa habari kwa kiwango cha gazeti la Mwanahalisi chini ya mkurugenzi Said Kubenea.
 
so what? Tatizo si kupambana au kuwaunga mkono mafisadi bali kufuata kanuni na maadili ya kazi. Simpo. Sidhani kama mwanahalisi pekee ndiyo gazeti lililokuwa likipambana na ufisadi. Hebu jiulize nani walifichua ufisadi wa epa hata richmond ndiyo utajua kuwa dhana yako si kweli. Hakuna anayependa chombo cha habari kutishwa au kufungiwa. Lakini chombo kinachohusika kinapokuwa kigeugeu kikishirikiana na serikali huku kikiipiga madongo. Kubenea amekuwa mshirika mzuri wa ccm huku akijifanya kuipinga. Uliza dili zake za kwenda india kila mara ni nini kama siyo ufisadi wa kutisha? Kama kweli ccm walimwagia tindikali kutokana na kazi yake mbona hajawashitaki hata kwenye vyombo vya kisheria vya kimataifa au vya hapa nchini? Njaa na ujinga mwingine ni hatari. Heri kubenea angetumia muda wake kujitafutia elimu kwanza ingeingia akilini zaidi.
k..j .....
 
So what? Tatizo si kupambana au kuwaunga mkono mafisadi bali kufuata kanuni na maadili ya kazi. Simpo. Sidhani kama Mwanahalisi pekee ndiyo gazeti lililokuwa likipambana na ufisadi. Hebu jiulize nani walifichua ufisadi wa EPA hata Richmond ndiyo utajua kuwa dhana yako si kweli. Hakuna anayependa chombo cha habari kutishwa au kufungiwa. Lakini chombo kinachohusika kinapokuwa kigeugeu kikishirikiana na serikali huku kikiipiga madongo. Kubenea amekuwa mshirika mzuri wa CCM huku akijifanya kuipinga. Uliza dili zake za kwenda India kila mara ni nini kama siyo ufisadi wa kutisha? Kama kweli CCM walimwagia tindikali kutokana na kazi yake mbona hajawashitaki hata kwenye vyombo vya kisheria vya kimataifa au vya hapa nchini? Njaa na ujinga mwingine ni hatari. Heri Kubenea angetumia muda wake kujitafutia elimu kwanza ingeingia akilini zaidi.

Kwani zile habari zilikuwa za uongo?
 
Jibu swali kama hujui sema sijui. Sio kujifanya wewe ndiyo uliyelifungia gazeti la Mwanahalisi. Kama ni wewe jibu ni simple sema " limelifungia milele au mpaka muda fulani ukiisha utalifungulia" Kama unadhani kubenea hajasoma basi mwambie ili gazeti lifunguliwe linapaswa kuwa na vigezo 1, 2, 3...... Sio maneno mengi yasio na mshiko hapa.

Swali limejibiwa sema hutaki jibu ulilopewa. Unasema najifanya kujifanya wakujua au wadandia lugha tu? Sasa limefungiwa indefinitely ingawa aliyelifungia si mimi. Muda wa kufungiwa ungekuwa unajulikana ungeujua. Kwanini tusianze kutafuta njia ya kusonga mbele badala ya kukaa na kulialia? Kubenea angekuwa mjanja angeishalirejesha gazeti kwa kutumia mbinu za kisheria kama kusajili jingine. Ila kwa vile hana uwezo huo anaendelea kulialia ili aonewe huruma.
Jibu swali kama hujui sema sijui. Sio kujifanya wewe ndiyo uliyelifungia gazeti la Mwanahalisi. Kama ni wewe jibu ni simple sema " limelifungia milele au mpaka muda fulani ukiisha utalifungulia" Kama unadhani kubenea hajasoma basi mwambie ili gazeti lifunguliwe linapaswa kuwa na vigezo 1, 2, 3...... Sio maneno mengi yasio na mshiko hapa.
 
So what? Tatizo si kupambana au kuwaunga mkono mafisadi bali kufuata kanuni na maadili ya kazi. Simpo. Sidhani kama Mwanahalisi pekee ndiyo gazeti lililokuwa likipambana na ufisadi. Hebu jiulize nani walifichua ufisadi wa EPA hata Richmond ndiyo utajua kuwa dhana yako si kweli. Hakuna anayependa chombo cha habari kutishwa au kufungiwa. Lakini chombo kinachohusika kinapokuwa kigeugeu kikishirikiana na serikali huku kikiipiga madongo. Kubenea amekuwa mshirika mzuri wa CCM huku akijifanya kuipinga. Uliza dili zake za kwenda India kila mara ni nini kama siyo ufisadi wa kutisha? Kama kweli CCM walimwagia tindikali kutokana na kazi yake mbona hajawashitaki hata kwenye vyombo vya kisheria vya kimataifa au vya hapa nchini? Njaa na ujinga mwingine ni hatari. Heri Kubenea angetumia muda wake kujitafutia elimu kwanza ingeingia akilini zaidi.

Unapohusisha jina la kubenea kwenye issue ya kujadili Mwanahalisi unaonyesha utata wa nupeo wako. Kubenea hajafungiwa tunazungumzia kufungiwa mwana halisi. Yana mwisho haya. Tatizo ni mwisho utakuwaje.
 
Kama hajafungiwa mbona hawaandikii hicho mnachotaka. Angekuwa hajafungiwa si angeandikia magazeti mengine? Anajua kuwa hakuna atakayemtaka popote. Mbona mzee Ndimara ambaye kimsingi ndiyo Mwanahalisi anaandikia magazeti mengine? Iko wapi hiyo elimu ya Kubenea na uchunguzi wake kama siyo sifa za kijinga?

Akili za CCM ndiyo mwisho wake wakufikiri CHUKI CHUKI
 
So what? Tatizo si kupambana au kuwaunga mkono mafisadi bali kufuata kanuni na maadili ya kazi. Simpo. Sidhani kama Mwanahalisi pekee ndiyo gazeti lililokuwa likipambana na ufisadi. Hebu jiulize nani walifichua ufisadi wa EPA hata Richmond ndiyo utajua kuwa dhana yako si kweli. Hakuna anayependa chombo cha habari kutishwa au kufungiwa. Lakini chombo kinachohusika kinapokuwa kigeugeu kikishirikiana na serikali huku kikiipiga madongo. Kubenea amekuwa mshirika mzuri wa CCM huku akijifanya kuipinga. Uliza dili zake za kwenda India kila mara ni nini kama siyo ufisadi wa kutisha? Kama kweli CCM walimwagia tindikali kutokana na kazi yake mbona hajawashitaki hata kwenye vyombo vya kisheria vya kimataifa au vya hapa nchini? Njaa na ujinga mwingine ni hatari. Heri Kubenea angetumia muda wake kujitafutia elimu kwanza ingeingia akilini zaidi.

Hebu fafanua kwa ushahidi usio na shaka juu ya uhusiano wa ccm na Kubenea , kuhusu kuwashitaki waliommwagia Tindikali , kwani una uhakika kwamba Saed anawafahamu waliomdhuru , na ni kweli huna habari ama labda hujui kuwa polisi ndiyo wenye jukumu hilo na kwamba maelezo yote wamepewa ? ID yako inaonyesha wewe ni mtu mzima , hivyo tulitegemea hoja zenye mashiko kutoka kwako .
 
Mwanangu Erythrocyte acha matusi kama hoja yangu haina mashiko kwako ina mashiko kwa wengine. Siyo lazima kila nitakachosema kiwaridhishe wote. Argument yangu ni kwamba Mzee Ndimara Tegambwage anaendelea kuandika mbona Kubenea haandiki? Kuhusu la tindikali na usuhuba wa CCM na Kubenea nadhani ushahidi wa haraka ni jinsi anavyolipiwa kwenda India mara kwa mara. Mbona kuna watanzania wengi wenye matatizo makubwa kuliko ya Kubenea na hawapelekwi huko India kama hakuna uhusiano?
Hebu fafanua kwa ushahidi usio na shaka juu ya uhusiano wa ccm na Kubenea , kuhusu kuwashitaki waliommwagia Tindikali , kwani una uhakika kwamba Saed anawafahamu waliomdhuru , na ni kweli huna habari ama labda hujui kuwa polisi ndiyo wenye jukumu hilo na kwamba maelezo yote wamepewa ? ID yako inaonyesha wewe ni mtu mzima , hivyo tulitegemea hoja zenye mashiko kutoka kwako .
 
huyo father of all na mavazi yake ya tawala za kirumi anafanana na tabia yake ya ubabe wa CCM. hufai na hujui lolote. sijui unafaidi nini ndani ya serikali fisadi kama hii.
 
Back
Top Bottom