kwanini wapinzani wakishindwa uchaguzi hudai wameibiwa kura?

my web

JF-Expert Member
Dec 23, 2012
1,592
242
Tangu uchaguzi wa vyama vingi Tanzania 1995,vyama vya upinzani havijawahi kukubali kuwa vimeshindwa na kudai vimeibiwa kura.

1.wasiwasi huu unatoka wapi?.

2.uliwahi kutolewa ushahidi juu ya hili,kura zinaibwaje?

3.iliwahi kungundulika na uchaguzi ukarudiwa.
 
Kwanini majimbo wanayoshinda ccm matokeo hutolewa haraka? Kwanini majimbo ya mjini kama ubungo au kawe yaliyo na miundombinu yenye unafuu ichukue siku 3 kutoa matokeo? La msingi ni kwamba hakuna uwazi katika mchakato wa uchaguzi na kutangaza matokeo ndio maana wapinzani wanalalamika
 
Najua una justification kwa kuwa wewe ulikubali haraka sana kushindwa hadi watu tukahisi umechukua kudogo kitu. Tangu kuanza kwa mfumo wa vyama vingi hakuna uchaguzi ambao ulifanyika katika LEVEL PLAY GROUND kati ya CCM na vyama vya upinzani. Kuanzia tume ya uchaguzi hadi majeshi huwa yanatumiwa na CCM. Rasilimali za serikali kama magari na vyombo vya dola hutumiwa na CCM kubaka demokrasia. Ni mpinzani KIBWENGO tu anayekubali kushindwa katika mazingira kama hayo.

Naona mkuu unajitahidi kujipendekeza recently, Riz1 kakuahidi kukutoa nini?.. Au baada ya ile ishu ya simu umeona siasa za upinzani hazilipi
 
Tangu uchaguzi wa vyama vingi Tanzania 1995,vyama vya upinzani havijawahi kukubali kuwa vimeshindwa na kudai vimeibiwa kura.

1.wasiwasi huu unatoka wapi?.

2.uliwahi kutolewa ushahidi juu ya hili,kura zinaibwaje?

3.iliwahi kungundulika na uchaguzi ukarudiwa.

kwahiyo wakiibiwa hawaruhusiwi kudai kuwa wameibiwa........!!!!
 
Kwani ww haujasikia tume inaomba kuwa huru ktk mchakato huu wa katiba mpya?Ss kama tume haiko huru C lazima chama tawala kifanye mazingaombwe yake ambayo mpinzani unaweza kuona kabisa mazingira yanaonyesha hapa nimeibiwa lakini ushahidi wa wazi wa kisheria kudhibitisha hapa nimeibiwa ukaukosa.U DUNIA GANI???BARA AFRICA iskie tu.
 
Tangu uchaguzi wa vyama vingi Tanzania 1995,vyama vya upinzani havijawahi kukubali kuwa vimeshindwa na kudai vimeibiwa kura.

1.wasiwasi huu unatoka wapi?.

2.uliwahi kutolewa ushahidi juu ya hili,kura zinaibwaje?

3.iliwahi kungundulika na uchaguzi ukarudiwa.

Sasa mnajibu huyu mpuuzi anasema News Alert zipi? Just ignore this BS he is just derailing from serious discussions.Wake up guys Masalia huyu
 
Tangu uchaguzi wa vyama vingi Tanzania 1995,vyama vya upinzani havijawahi kukubali kuwa vimeshindwa na kudai vimeibiwa kura.

1.wasiwasi huu unatoka wapi?.

2.uliwahi kutolewa ushahidi juu ya hili,kura zinaibwaje?

3.iliwahi kungundulika na uchaguzi ukarudiwa.

Mosi, Kwa sababu zinakuwa zimeibwa kweli.

Pili, Uchaguzi unaendeshwa na Tume ya Uchaguzi iliyoteuliwa na mtu wanayeshindana naye

Tatu, Mtu huyo wanayeshindana naye anao uwezo kikatiba kuwatimua kazi wajumbe wa Tume ya Uchaguzi. (nani anapenda kufukuzwa kazi?

Nne, Vyombo vya dola na UWT vinasaidia chama kimoja kushinda na kubaki madarakani

Tano, Hawana sehemu nyingine ya kulalamika, katiba hairuhusu matokeo ya urais kupingwa mahakamani

Sita, Sehemu zote zinapoibwa kura za ubunge/uchaguzi kuvurugwa na matokeo kutenguliwa pia huwa zipo kura za urais lakini hazihojiwi. Huyo mwizi gani anaiba tu za ubunge na udiwani lakini anaacha za urais salama?
 
Tangu uchaguzi wa vyama vingi Tanzania 1995,vyama vya upinzani havijawahi kukubali kuwa vimeshindwa na kudai vimeibiwa kura.

1.wasiwasi huu unatoka wapi?.

2.uliwahi kutolewa ushahidi juu ya hili,kura zinaibwaje?

3.iliwahi kungundulika na uchaguzi ukarudiwa.

Kuna chaguzi nyingi za ubunge ambazo zimethibitishwa beyond reasonable doubt before the court of law, kwamba KWELI KURA za ubunge ziliibwa na CCM (NEC?) na matokeo hayo ya ubunge yakatenguliwa na mahakama kuu. Uthibitisho ulipatikana baada ya kuhesabu kura za ubunge upya na kukuta matokeo yaliyotangazwa na tume ni tofauti na kura zilizohesabiwa upya. GTs mnaweza kufanya reference ya kesi hizo mahakama kuu.

Sasa kama KURA za ubunge katika jimbo zinaibwa na CCM (tumejua haya kwasababu matokeo ya UBUNGE yanaweza kuhojiwa mahakamani). Ni nini basi kitakachoifanya CCM isiibe KURA ZA URAIS amabazo inajua fika kwamba haziwezi HATA KUHOJIWA MAHAKAMANI? You don't need to be rocket scientist to figure out this blantant truth. KURA zinazohojiwa mahakamani zinaibwa, Je KURA za URAIS ambazo haziwezi kuhojiwa mahakamani zisiibwe??! Ni m..j.i.n.g.a tu ndiye atali REJECT hii NULL HYPOTHESIS

BTW, jiulize mpaka leo NEC haijui Kikwete alipata kura ngapi kila jimbo la uchaguzi, I challange M/kiti wa NEC kama anabisha atoe hizo takwimu. Unajiuliza sasa hiyo total ya KURA NEC waliipata wapi kama hawajui kura za RAIS kila jimbo la uchaguzi?

Last but not least rekebisha hiyo statement yako, sio vyama vyote vya upinzani huwa havikubali matokeo ya uchaguzi. If my memory still serves me correct Chama cha Fahmu Dovutwa UDPD(?) kilikubali matokeo ya uchaguzi mkuu wa 2010. Au wewe UPDP sio chama cha upinzani bali ni CCM B?

Tatizo CCM huwa hamuwezi kujenga hoja, CCM wao sasa hivi wanajua chama cha UPINZANI ni CDM tu? Ujinga mtupu, fikirieni beyond your nose.
 
bobuk.nilikuwa na maana kuwa hasa vyama vikuu vya upinzani na vile vyenye ushawishi wa wastani.mifao.nccr mageuz1995.2000 cuf.2005cuf.2010cuf.cdm.wote hao walidai waliibiwa kura hasa za urais huku wakiwa na mawakala .tatizo liko wapi?
 
My Web. Umesoma thread yangu ya hapo juu, naomba nirudie. In summary ni kwamba kama CCM wanaweza kuiba KURA ZA UBUNGE ambazo wanajua fika kwamba wanaweza kugundulika kwasababu matokeo ya ubunge yanaweza kuhojiwa mahakamani, watashindwaje KUIBA KURA ZA URAIS ambazo wanajua matokeo yake hayawezi kuhojiwa na chombo chombo chote kile katika sayari hii??!!.

Ushahidi wa kwamba CCM walishawahi/wanaiba kura za UBUNGE upo. Mahakama hizi ambazo nazo haziko huru zimethibitisha beyond reasonable doubt kuwa baadhi ya KURA za UBUNGE, CCM kwa kushirikiana na NEC waliiba/wanaiba KURA. Kama unataka kujiridhisha unaweza kufanya reference ya HUKUMU hizo mahakama kuu, it is an open secrety.

Hivi mawakala hao ni Malaika? mbona unaniuliza mswali ya kitoto? Halafu hakuna Chama chochote cha UPINZANI tangu multi party election ianze 1995, kilichowahi kusimamisha MAWAKALA katika vituo vyote kupigia KURA nchi nzima ktk JMT isipokuwa CCM tu. Au hata huu ukweli dhahiri shairi nao utaubishia. Sasa just imagine kama CCM wanaweza kuiba KURA katika vituo ambavyo kuna mawakala wa vyama vya UPINZANI. Hivi huko kwenye vituo ambavyo hakuna mawakala wa upinzani hali inakuwaje? Nakwambia huko sio KUIBA tena bali WANAKWAPUA.

BELIEVE IT OR NOT BUT IT IS TRUE CCM DO RIG (KUIBA) PRESENDETIAL ELECTION.
 
Angalao umejipatia ajiri mpaka utakapotinga rasmi NCCR ,kumbuka kufungua kitabu cha benki hawachelewi kukutelekeza
 
bobuk.nilikuwa na maana kuwa hasa vyama vikuu vya upinzani na vile vyenye ushawishi wa wastani.mifao.nccr mageuz1995.2000 cuf.2005cuf.2010cuf.cdm.wote hao walidai waliibiwa kura hasa za urais huku wakiwa na mawakala .tatizo liko wapi?

hebu acha kutupotezea muda we ndondocha umeshaambiwa tatzo ni tume haiko huru wafanyakazi wote huteuliwa na ma-ccm now we need tume huru,kura za urais haziojiwi wala kupngwa huu c ujnga,ma-ccm kutumia rasilimali za taifa kufanyia kampeni Mburula wewe kama hapo hutaelewa ukae kimya likubwa jinga ww gamba kuu.
 
Tangu uchaguzi wa vyama vingi Tanzania 1995,vyama vya upinzani havijawahi kukubali kuwa vimeshindwa na kudai vimeibiwa kura.

1.wasiwasi huu unatoka wapi?.

2.uliwahi kutolewa ushahidi juu ya hili,kura zinaibwaje?

3.iliwahi kungundulika na uchaguzi ukarudiwa.

rudisha sim ya watu ndo uje anza jibiwa
 
Tangu uchaguzi wa vyama vingi Tanzania 1995,vyama vya upinzani havijawahi kukubali kuwa vimeshindwa na kudai vimeibiwa kura.

1.wasiwasi huu unatoka wapi?.

2.uliwahi kutolewa ushahidi juu ya hili,kura zinaibwaje?

3.iliwahi kungundulika na uchaguzi ukarudiwa.
Mamamaaaaaaaa!!!!!!!! simu yangu " nimeporwa na yule kijana aliyeuza ubunge wake CCM"
 
Jaribu kuwa upande wa upinzani halafu uone mambo yanavyoenda!:dance:
 
Tangu uchaguzi wa vyama vingi Tanzania 1995,vyama vya upinzani havijawahi kukubali kuwa vimeshindwa na kudai vimeibiwa kura.

1.wasiwasi huu unatoka wapi?.

2.uliwahi kutolewa ushahidi juu ya hili,kura zinaibwaje?

3.iliwahi kungundulika na uchaguzi ukarudiwa.

Una data za kuthibitisha hili? Fanya utafiti ujue wabunge wangapi wa CCM walilalamikiwa ushindi wao mahakamani na wabunge wa ngapi wa upinzani walilalamikiwa ushindi wao mahakamani baada ya uchaguzi wa mwaka 2010. Ukipata jibu, uje na hayo maswali yako
 
Tangu uchaguzi wa vyama vingi Tanzania 1995,vyama vya upinzani havijawahi kukubali kuwa vimeshindwa na kudai vimeibiwa kura.

1.wasiwasi huu unatoka wapi?.

2.uliwahi kutolewa ushahidi juu ya hili,kura zinaibwaje?

3.iliwahi kungundulika na uchaguzi ukarudiwa.

Labda ungetuambia kwanza kwa nini matokeo yanachukua wiki moja kujumlishwa ndiyo tungekupa hayo majibu yako!!
 
Tangu uchaguzi wa vyama vingi Tanzania 1995,vyama vya upinzani havijawahi kukubali kuwa vimeshindwa na kudai vimeibiwa kura.

1.wasiwasi huu unatoka wapi?.

2.uliwahi kutolewa ushahidi juu ya hili,kura zinaibwaje?

3.iliwahi kungundulika na uchaguzi ukarudiwa.

Wewe hauna shida ya kuhangaika na chochote. Si uliuza kura? ulipewa/unapewa pesa kibao ndo maana unatufanyia fujo sisi tunaowaza maendeleo. Umeshindwa na kulegea
 
Back
Top Bottom