Stabilaiza
JF-Expert Member
- Jul 11, 2012
- 1,843
- 1,143
Nimesoma habari moja kwenye gazeti la Kiswahili kwamba Chadema ifanye mageuzi ya ndani ya uongozi ili nguvu ya maamuzi ishuke kwenye ngazi za chini za uongozi.
Comment yangu katika habari hiyo nadhani maamuzi ya uongozi ngazi ya juu bado ni muhimu sana hasa katika kipindi hiki ambacho CCM inawahonga hata viongozi wa kitaifa kwa manufaa yake kiendelee kibaki Madarakani. Maamuzi ya ngazi ya juu ya uongozi wa Chadema kwa sasa yatasaidia kulinda chama dhidi ya mbinu chafu za CCM na vibaraka wanaonunuliwa na CCM.