Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mtwara,Morogoro,Dar,Tanga,Mbeya na Mwanza ni rabsha. Ni changamoto. Tunayo Serikali na vyombo vyake. Serikali yetu sikivu itayamaliza au kuyapunguza matatizo yanayosababisha rabsha hizi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hayo si maneno yangu Kamaradi Kompanero. Ni maneno ya mwanafunzi mahiri wa shahada ya uzamili wa shule maarufu ya kuandaa viongozi duniani iiitwayo Kennedy School of Government. Mwanadada huyo...
1 Reactions
25 Replies
2K Views
Mi ni mtanzania wala sijutii kuwa mtanzania na namshukuru Mungu kwa hilo lakini najuta kuwa na uongozi mbovu na usiojali maslahi ya umma kama huu na kujijali wao na familia zao. we need changes!!.
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Ni ukweli usipingika kwamba Mtwara ni Moja ya Maeneo ambayo bado watu wanaishi ki communalism na ni moja ya mikoa ya mwisho kabisa kwa Maendeleo hapa Tanzania, Na mara Nyingi hata kwa Dunia nzima...
4 Reactions
15 Replies
2K Views
Wadau wa JF Kenya sasa hivi wamemgundua Ofisa wa cheo cha juu wa polisi ambaye hana sifa za kuwa polisi na hakuwahi kuajiriwa na polisi. Huyu ametumikia jeshi hilo kwa zaidi ya miaka 5! akiwa na...
0 Reactions
0 Replies
926 Views
Jf. Nimekuta nukuu hii mahala fulani, Nukuu hii imetolewa na Katibu wa Chadema mkoa wa Kinondoni na Kanda maaluum ya Dar es salaam(Kilewo) Nimeutafakari sana, Nami namuunga mkono, Ujumbe upo hapo...
6 Reactions
63 Replies
7K Views
Ni vigumu kumuelewa mtu anayesema Ccm itatawala milele kama anatumia ubongo wake sawa sawa! Lakini ukijiuliza ni nani anasema unapata jibu. Unategemea nini kauli hiyo ikitolewa na mtu ambaye...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Kasema atahakikisha anaisaidia CCM kuing'oa CHADEMA huko Mwanza na pia atahakikisha kwa kushirikiana na CCM ataleta maendele source: RFA.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
waziri katika zile ambazo zinaonekana kama juhudi ya kuwataka kuwarudisha wanachama wake bahada ya wananchi wa kata ya nyandira kukipiga teke chama chake cha CCM. chanzo kilichozua mgogoro ni...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wananchi wakiwa wamefunga barabara. Walichoma mataili barabara kuu ya Dodoma Morogoro kwa lengo la kuushinikiza uongozi wa serikali ya mkoa wa Morogoro kuzungumza nao, jambo ambalo...
3 Reactions
13 Replies
7K Views
Jaman jaman nadiriki kusema, mahal tumefika inapaswa Rais wa jamuhuri ya muungano ajiuzulu,maana inaonyesha nchi mahal imefika tunaweza kupigana vita ya wenyewe kwa wenyewe just kwakutaka kufika...
0 Reactions
38 Replies
3K Views
WAKATI Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kikijitanua hadi vijijini, Chama cha Mapinduzi (CCM) kinachotawala, kimekuwa kikiingiwa na taharuki na kusuasua kufanya maamuzi dhidi ya...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
sasa ni wazi CCM hawajielewi kwani vioja vya kutokuonyesha collective responsbility viliendelea kwa mara nyingine mkoani morogoro. Mkuu wa wilaya aliwatangazia wananchi kuwa eneo la Mwabwegele ni...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Spirits are being animated for a long digging in on the gas pipeline construction project; in the meantime, the Minister for Energy and Minerals, Prof. Sospeter Muhongo affirms that the government...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mwenyekiti wa chama cha NCCR Mageuzi Mheshimiwa James Mbatia yupo ndani ya ITV katika kipindi cha Kipima Joto. Jamaa kawaida yupo makini sana na ana uwezo mkubwa wa kujenga hoja. Nawasilisha.
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Kwa kipindi kirefu sasa serikali imekuwa ikitumia jeshi la polisi katika kutatua migogoro inayosababishwa na viongozi wabovu kutatua matatizo ya wananchi. Inasikitisha kuona kila inapotokea...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
IJUMAA, JANUARI 25, 2013 08:56 NA MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM *Afichua mtandao wa wizi bandarini Dar *Kamati ya Serukamba yamuunga mkono WAZIRI wa Uchukuzi, Dk. Harrison Mwakyembe...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
FRIDAY, JANUARY 25, 2013 Katibu wa Hospitali Aisha Mtanda akiongea na waandishi wa habari katika ukumbi wa hospitali ya rufaa Mbeya Mwenyekiti wa kamati ya sherehe Christopher...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Thursday, 24 January 2013 22:26 Dar es Salaam. Parliament has been urged to intervene in the gas row and end the tensions that have cropped up in the industry. A cross-section of...
0 Reactions
0 Replies
829 Views
Ndugu zangu ningependa niwape Taarifa sahihi kuhusu bwana Abdallah Ngajurage aliyejitangaza kwamba alikua ni Mwenyekiti wa CHADEMA Kibaha Vijijini na ameamua kurudi CCM kutokana na kuchoshwa na...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Back
Top Bottom