Mujumba
JF-Expert Member
- Jan 20, 2011
- 853
- 306
Mimi sikuzote naamini ushindi wa mgombea ni ushindi wa chama husika, lakini takwimu hizi za huko kigoma katika jimbo la zitto kabwe zimenishangaza kidogo
uchaguzi wa 2005 kikwete alipata zaidi ya asilimia 70 za kura za uraisi, ccm ikanyakua viti 7 vya udiwani kati ya viti 10 ila cha kushangaza ubunge alishinda zitto
uchaguzi wa mwaka 2010 kikwete alipata zaidi ya asilimia 60 ya kura zote za uraisi, ccm ikanyakua viti tisa kati ya 11 vya udiwani, huku zitto wa chadema akishinda tena kiti cha ubunge??
Kwa takwimu hizo inaonekana zitto anakubalika zaidi kuliko chadema huko kigoma kwasababu ushindi wake wa kishindo ulipaswa uendane na ushindi wa chama chake cha siasa...lakini chama kimekuwa kikigaragazwa katika chaguzi mbalimbali huko kigoma