Mtwara bomu linalotaka kulipuka

Mtwara bomu linalotaka kulipuka

JIULIZE KWANZA

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2010
Posts
2,569
Reaction score
500
Naiomba serikali yangu kiziwi isikie hili.

1. Kwa Sababu serikali ya ccm imezembea mpaka Hali imekuwa tete kwa wananchi kutoiamini serikali na vyombo vya dola.
2. Kwa sababu serikali ya ccm imekuwa na kigugumizi cha kuwajibika na kufanya kazi kishkaji sababu inayopelekea kila kiongozi kulewa madaraka na kuamini Kuwa wao Viongozi ndio wenye maamuzi na sio wananchi.
3. Kwa sababu serikali imesha chemka basi sintochoka kushauri mapendekezo yangu ila kabla sijafikia Huko Embu Tuangalie Haya (kinachoendelea Dar, morogoro, mtwara, mbeya na kwingineko ni hatari sana, tulizoea Arusha, Moshi, musoma, Manyara na kwingineko ila kwa Hali Hii usishangae Bagamoyo nao wakaja na Lao kesho. Hali Hii inasambaa kwa kasi na ni hatari inabidi JK na ccm wahusike kwani wamekuwa wakifanya propaganda za kisiasa kwa garama kubwa na kuwasahau wananchi badala ya kuwatumikia wananchi wamekuwa wakiwatawala na kuwakatipia na kejeli nyingi.

JK na ccm Kama kweli mnaipenda na kuwapenda watz, Kama kweli mnapenda Amani Kama mnavohubiri na Kama kweli hampo kimaslahi Bali kwa taifa basi fanyeni yafuatayo.

A) sitisheni uchimbaji au usafirishaji wa gas mara moja.
B) kawapigieni magoti wana mtwara badala ya kuwakaripia na kuwakejeli.
C) ingizeni kwenye katiba serikali za majimbo na kila jimbo liwe tegemezi na raslimali zilizopo.
D) vunja system ya jeshi la Polisi na kulisuka upya juu mpaka chini kwa kuwafukuza na kuwashitaki wote wanaotuhumiwa na rushwa, mauaji nk.
E) vunja uongozi wa mahakama kwa kuweka formula mpya na digital zaidi wazee wastaafishwe na vyeo viende na elimu zaidi kuliko exp na kujuana Kama wanavofanya sasa,
F) muagize dpp akamate Mali Na wezi wote tunao wajua aka Mara moja.

Na hayo ukishidwa JK basi jiuzulu wewe ili kurudisha Imani ya wananchi na kuepusha nchi kufia au kuchafukia au kuja Kuwa Kama akina Gadafi.

Jk Hatma ya nchi Iko mikononi mwako.

Nawasilisha
 
Unamshauri nani sasa mkuu wangu?Yesu aliwahi kuwaambia wasamaria fulani walipo mwomba jambo fulani kwa kuwaambia "Kwanini kuwapa mbwa chakula cha watoto" Alimaanisha kwanini kuwafaidisha watu walioamua kutupilia mbali baraka walizopewa na mungu!!Sasa unashauri utawala huu uliovaa laana ya damu zisizo na hatia na kupora haki za watu kuanzia democrasia hadi maisha yao unategemea atakuelewa?Huyu ni rais wakudanganywa kila kuchao hatumii akili yake binafsi zaidi ya kupendelea waislamu na kuendekeza mambo ya kijinga sana..Angekuwa anashaurika mimi ningemshauri kuwakamata na kuwafungulia kesi mafisadi,wauaji na wakandamiizaji ili laana iiache nchii
 
Mkuu Gwakisa.

Ni bora tuseme hata kama hasikii kwani tutakuwa tumewasilisha hisia zetu kwa mustakabali wa nchi yetu. Kwa Haya kaka hata Mimi na wewe hatutakuwa salama tuseme tuu japo naamini haisaidi nchi haitawaliki tena Hii na ccm hawajui mb'uyu ulianza Kama mchicha
 
nchi inaendeshwa na wajinga wa mambo ya msingi ,hawafikirii kufanya mambo ya msingi ndio matokeo ya kumchagua jk
 
Back
Top Bottom