Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Je, unadhani dhairi shairi kwa mtazamo wako hiki tunachokishuhudia na kukisikia ni haki yao kudai ges itumike vipi na wapi? Piga kura yako sasa! 1. Ges unakubali iende Dar es salaam...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Ni dhahiri tumeusahau utamaduni wetu, utamaduni wa subira, ustahimilivu, umoja na kudumisha amani. Sivyo tulivyorithishwa na Baba wa Taifa Letu. Hebu tusimame pamoja, tuimbe tena, tudumishe...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
MPANGO mchafu wa kukichafua Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoani Iringa umefichuka, huku Makamu Mwenyekiti wa CCM bara, Philipo Mangula akituhumiwa kuratibu harakati hizo...
1 Reactions
35 Replies
3K Views
Mambo ndani ya usalama sasa yanakwenda vibaya, mpango wa kummaliza kabisa Dr Slaa umeiva. Wakurugenzi wa usalama walikaa kikao chao wiki iliyopita na kufikia maamuzi ya kumuondoa kwenye sura ya...
1 Reactions
241 Replies
17K Views
Nikiwa mzaliwa wa MBOZI na mzalendo miaka kadha imepita bila kuwa na mbunge makini nikianzia enzi za marehemu HALINGA hadi leo tuna mbunge aliyekosa weledi katika masuala ya kiuchumi kazi kuunga...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wana bodi salaam Tangu sokomoko la gesi lianze sijasikia Sekretariet ya Chama cha Mapinduzi ikienda huko kusini kutuliza munkari wa wanantwara. Naamini CCM ndo inatakiwa iende huko zaidi ili...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Najivunia kuwa mtanzania kuwa kwenye nchi ya amani na utulivu,, asante chama cha mapinduzi kwa kutulindia amani hii ambayo muda huu usiku huu niko mbele nje ya nyumba yangu kutokana na joto...
0 Reactions
36 Replies
3K Views
jamani raia mlioko mtwara na watu ambao mna mawasiliano...wana mtwara hebu tupeni updates nini kinaendelea juu ya maandamano na vurugu zinazotokea huko maana kuna tetesi newala napo kumelipuka,,na...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ndiyo wakuu , Heshima kwenu ! Baada ya M4C-KANDA YA ZIWA CHINI YA KAMANDA MAWAZO kuichakaza ccm Kwimba, sengerema na Mwanza kwa mafanikio makubwa, jana Mawazo ametua wilayani Muleba katika Kata...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Tanzania the time has come. A time of awakening. This is the time to think the unthinkable. A time to imagine the imaginable. The time to invent and reinvent, create and recreate, construct and...
1 Reactions
46 Replies
5K Views
Matukio ya vurugu na msuguano mkubwa unaondelea hivi sasa kati ya raia na wananchi katika maeneo mbalimbali ya nchi kama vile morogoro, mtwara, dar n.k ni ishara kuwa sasa nchi inatapika.,jamii...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Wednesday, 03 August 2011 23:11 NI IWAPO UCHAGUZI MKUU UNGEFANYIKA SASA ANGESHINDA. Leon Bahati MATOKEO ya utafiti uliofanywa na Taasisi ya Synovate yanaonyesha kwamba iwapo Rais Jakaya...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
NOVEMBA 7, mwaka 2012 niliandika makala katika gazeti hili la Raia Mwema kuhusu uendeshaji wa Shirika la Magazeti ya Serikali (kichwa cha habari; Maswali matatu muhimu kwa watu muhimu kitaifa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Katika mawaziri waliotenda mambo mabovu katika wizara yake ni shukuru kawambwa, kwani baada ya kuingia tanroads aliifanya ikawa mali yake, sheria za ujenzi zinasema mkandarasi kabla ajamaliza kazi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mkurugenzi wa Upelelezi wa Jinai, DCI, Robert Manumba, ameondoka jioni hii kuelekea Afrika Kusini, kwa matibabu zaidi baada ya hali yake kuwa nafuu kidogo. Habari za uhakika zilizoifikia...
3 Reactions
61 Replies
7K Views
Suala la Uchimbaji wa gesi mtwara unaonekana kugubikwa na wingu zito nyuma ambalo wanamtwara hawajayatambua!na serikali(chini ya walio wachache) inazidi kuwaficha na kuwapuuza...
0 Reactions
1 Replies
905 Views
Katika mambo ambayo serikali inafanya mzaha ni mambo ya kitaaluma. Pamoja na suala la wanafunzi wa UDOM Kusema wanahali mbaya tangu wafungue chuo hakuna juhudi za kimakusudi zimechukuliwa. Ni...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Katika safari yangu ya morogoro wiki chache zilizopita niliona jambo moja ambalo kwangu lilinishangaza kutokana na urafi wa viongozi wetu. Nikiwa na mwenyeji wangu mitaa ya 'KIHONDA...
0 Reactions
24 Replies
5K Views
Kesho tarehe 26.01.2013 makamu mwenyekiti wa CCM TZ Bara atakuwa na mkutano wa hadhara Iringa mjini, ikiwa ni muendelezo wa mikutano yake ambayo amekuwa akiifanya , jambo la kusikitisha ni kuwa...
0 Reactions
34 Replies
3K Views
Written by abdisalum // 25/01/2013 // Habari // 15 Comments...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom