Neno Fupi La Usiku Huu; Kitanda Ulichotandika Ukilalie!
Ndugu zangu,
Mwingine ataniuliza, "je, nilichotandika ni sharti nikilalie?"
Jibu; hakuna lazima ya kufanya hivyo, japo ni dasturi. Kwani, kuna miongoni mwetu tunatandika vitanda, lakini hatuvilalii.
Na je, unafanyaje basi na anayelalia kitanda asichokitandika?
Jibu; nakuja nalo kesho, panapo majaaliwa.
Alamsiki.
Maggid