Mwanasiasa mkongwe Augustine Mrema
Siri vurumai zinazoendelea nchini yafichuka
Siri ya vurumai zinazoendelea nchini imefichuka kwa kile kinachoelezwa kuwa ni matokeo ya umma kukosa imani na...
Nimeamua kuchukua muda wangu na akili zangu kuandika kile kimetokea mtwara wilaya ya masasi, nivigumu kuamini na kukubali kile kimetokea nawakati mwingine unaweza kulia na kutoa machozi ikiwa...
Nimegundua kwamba wananchi wengi wanaichukia,wamekichoka chama cha mapinduzi na wengi wao wameniambia hulamba dili tu.Kuna rafiki yangu wa kigoma ameniambia yeye atalipwa sh.=70,000/= kwa kazi ya...
Kwa ukweli na kwa mkato kabisa, inatamkika hadharani kwamba Amani Karume ni mtu aliyeko ndani ya nyoyo za wazanzibari. Jambo hili lilikaa bayana Novemba 14, 2012 pale Rais huyu mstaafu alipoagana...
Kutokana na umahiri aliouonyesha mh.slaa kiasi cha yeye kuwa ndio kama nembo ya chama kwa sasa na ili kuepusha makundi na kuondoa mpasuko unaokinyemelea chadema nadhani ni wakati muafaka na pia...
Kauli ya Waziri wa nishati na Madini Prof Muhongo leo asubuhi ktk kipindi cha Nipashe Radio One iaashirioa hivyo – kwamba serikali iliwapunguzia wakazi wa Mtwara gharama za kuunganisha umeme...
Naungana kwa dhati kabisa kauli ya raisi mstaafu Mkapa kwa upande mmoja serikali na wananchi kukaa meza moja kulitafutia ufumbuzi swala hili la gesi.
Wananchi wa mtwara wana hoja ya msingi ya...
Kwa kipindi kirefu nimejaribu kujiuliza nini kinachofanya watu walio ajiriwa serikalini wengi wao hawana moyo wa kuchapa kazi pamoja na kuwa na ujuzi mzuri kuliko hata walewa sekta binafsi...
Ningetegemea kusikia lolote kutoka kwake, ningetegemea kumuona hata kwenye TV akizungumzia hili lakini toka wakati wa maandamano na mikutano ya Mwanzo sijasikia lolote kutoka kwake, Pengine kwa...
Wahenga walisema ‘adhabu ya kaburi aijuae ni maiti'. Dunia imewahi kuishuhudia Tanzania ikipambana vikali na Uganda katika mwaka 1979 kwa madai ya kuvamiwa na sehemu ya nchi yake katika Mkoa...
Kwa mujibu wa taarifa iliotolewa Jana na naibu mkurugenz wa habari na mawasiliano(Abdul Kambaya)
Lengo la mkutano huo ni kumbu kumbu ya mauaji yaliofanywa na jeshi la polisi 27/01/2001 na watu...
Wanajamii,
Si mara moja wala mara mbili tumewasikia viongozi mbalimbali wa Serikali na CCM wakilalalamika kuwa vuguvugu la Mtwara lisababbishwalo na Gesi, linachochewa na vyama vya upinzani...
Hoja ya kumaliza mgogoro wa gesi asilia ya Mtwara ni ya kujenga. Kwa hoja hii, Zitto alistahili kutoa taarifa yake leo pale Belmont Hotel. Lakini,hakuwa na haja ya kutaja anaojibizana nao au...
migogoro inayoendelea mtwara ni vema ikatatuliwa kwa njia za diplomasia,na si kutumia nguvu. Viongozi wakae na watu wa mtwara , wawasikilize madai yao,wawaelimishe na nafikiri watawaelewa tu...
Wana jukwaa,
Leo tar. 21/01/2013 nitakuwa LIVE kwenye kipindi cha HOT-MIX channel 5 (EATV) saa 11:00 jioni nitazungumza na Watanzania (Wanambozi) kuhusu mstakabali wangu wa kisiasa ndani ya...
Mwenda Bure si mkaa Bure wenye kumkejeli na safari zake za nje sasa watafedheheka ,kwani huo ndio muonekano wa kiwanja kinachotarajiwa kujengwa ili kukuza uchumi wa Nchi .
Kiongozi,
Taarifa yako...
JUMAMOSI, JANUARI 26, 2013 09:41 NA KHAMIS MKOTYA
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Said Arfi, amewashangaa baadhi ya viongozi wenzake ndani ya chama hicho...
Kipindi kinaendelea sasa hivi,
Wameongea mengi sana, mzungumzaji mkuu amesema JF ni mali ya chama flani na imejaa upotoshaji kuhusu dini ya kiislamu, imejaa matusi yanayomtukana Rais wetu tena...
Huko nyuma Shirika la Fedha Duniani pamoja na Benki ya Dunia walishinikisa nchi yetu kujenga tabaka lenye kipato cha kati na juu, kama njia ya kukuza uchumi wa nchi yetu kwa haraka. Maelezo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.