Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Waandishi Wetu Toleo la 278 23 Jan 2013 M4C yawazindua makada Walimu, watumishi watishwa WAKATI Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kikijitanua hadi vijijini, Chama cha Mapinduzi...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Shikamoo Baba Riz! Habari ya huko mtoni ulipo? Sisi huku hali si hali, Wadanganyika wameamka aisii! ila usiwe na wasi endelea kula kuku tu huko mtoni. Maana huku wambea wameanza mara...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Huko nyuma Shirika la Fedha Duniani pamoja na Benki ya Dunia walishinikisa nchi yetu kujenga tabaka lenye kipato cha kati na juu, kama njia ya kukuza uchumi wa nchi yetu kwa haraka. Maelezo...
0 Reactions
0 Replies
836 Views
Mara nyingi CCM imekuwa ikihaha kuona vyama hivi viwili (CHADEMA na CUF) vinakufa ama vinasambaratika na kukosa nguvu. Hili litaipa unafuu CCM kwani itakuwa imepunguza msukumo has kwa madudu...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Waheshimiwa viongozi wakuu wa vyama vyote vya siasa nchini, Kwa kuwa yanayoendelea mkoani Mtwara kuhusiana na suala la gesi yamefikia hali mbaya kiasi cha kuharibu mali na kupoteza uhai wa...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KAMATI KUU YA CHADEMA KUKUTANA JIJINI DAR ES SALAAM TAREHE 26 NA 27 JANUARI 2013 Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) itafanya mkutano maalum...
14 Reactions
59 Replies
5K Views
Juzi Nikiangalia TV YA TAIFA YA ZANZIBAR katika sherehe za maulid ya kitaifa kupitia mfumo mpya wa DIGITAL (Kingamuzi) Nilishudia Master of ceremon akimkumbusha rais shein ambae alihudhuria...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kwa sasa taifa lilipofika sidhani kama watu watakuwa wakifikiria utaifa mbali na maslahi binafsi kulingana makundi kama vile dini, ukanda, ukabila, wenye pesa, mafisadi,wafanyabiashara,wasomi na...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Chadema wamejitokeza kuhamasisha watu wa Mtwara tusikubali ujenzi wa bomba la gesi. Waziri kivuli wa Nishati na Madini wa Serikali hiyo Mhe Mnyika ametoa matamko ya kuunga mkono hoja za watu wa...
0 Reactions
51 Replies
4K Views
Alhamisi, Januari 24, 2013 05:59 Na Sarah Mossi, aliyekuwa Zanzibar *Karume alimweleza Nyerere matatizo ya Muungano, lakini hayakujadiliwa WAKATI mjadala kuhusu muundo gani unafaa katika...
2 Reactions
18 Replies
3K Views
TANESCO wilaya ya Ludewa wametangaza kutokuwepo kwa umeme kwa muda usiofahamika kwa kuwa generator zinaishiwa mafuta hivi leo. kulingana na maelezo yaliyotolewa katika tanzazo hilo yanaonyesha...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Hakuna kitu kibaya kama ubaguzi ndani ya nchi moja.Sehemu moja ya nchi ikaonekana bora zaidi kuliko nyingine.Barabara miaka 50 ya uhuru haijakamilika.Yanayoendelea sasa huko Mtwara ni matokeo ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ni dhahiri shahiri waziri mwenye dhamana na usalama wa raia ndugu VUAI NAHODHA ameshindwa kazi. Yametokea mauaji ya raia ARVSHA,Daslam,singida,morogoro,iringa,na sasa mkoa mzima wa mtwara kuna...
0 Reactions
27 Replies
2K Views
ccm wajuta kumfunga maranda kwani ndie mtu pekee alie waingiza watu wengi ccm kuwatoa chadema ila baada ya kumfunga maranda wenyewe wanamwita muasisiwa yalemakundi makubwa na matawi makubwa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kwanza niwasalimu wadau wa jamii forum, Kiualisia jamvi hili ni muhimu kwa watu tunayoipenda Tanzania yetu umekuwa uwanja wa kusifia mazuri yanayofanywa na baadhi ya viongozi wetu,na kukemea...
1 Reactions
84 Replies
7K Views
ndugu watanzania kwanza niwatakie heri ya w.kend.moja kati ya hutuba nying za viongoz wa chama na serikali ya ccm akiwemo rais kikwete na viongoz wengine nikukuza soko la ajira kwa vijana.nikweli...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kwenu wana jf, nimekuwa nikifuatilia kwa makini sana sakata zima la suala la gesi huko mtwara na hapa ndipo ninapogundua kwamba tatizo kubwa la nchi yetu ya tanzania sio udongo bali ni ubongo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ndugu zangu, Nchi yetu inapita kwenye kipindi kigumu. Kuna moto unafukuta, tumeshauona moshi mkubwa, ni ishara ya moto mkubwa. Tukikaa chini na kuitanguliza busara na hekima, basi, tuna...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
waziri wa afya zanzibar [cuf] juma haji dun .anashindwa kujibu maswali ya wizara anaanza kuomba hati ya muungano .hii ime kaaje?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimesema mara nyingi kuwa tatizo kuvea uongozi wetu ni hekima. Sasa leo hekima inapaza sauti kuitaka serikali isitishe mpango wa kujenga bomba la gesi toja Mtwara hadi Dar. Hali ilipofikia sasa...
14 Reactions
94 Replies
7K Views
Back
Top Bottom