watu wa Tanganyika lilipokuja suala la wazanzibar kuzungumzia nchi yao na mustakbal wao waliaza kuseme
hao uamsho magaidi hao al shababi hao wahuni
sasa Tanganyika waisilamu wametetea gesi wakristo wametetea gesi hawa tuwaite nani Wanamtwara waasi wahuni wa kimakonde
serekali ya CCM tanganyika isijidanganye itazima hisia za watu kwa nguvu na kulazimisha ukweli kuwa uongo
WAZANZIBAR HATUPENDI KUONA TANGANYIKA INACHAFUKA ILA KWA VILE SISI NI WAHUNI TUKIDAI HAKI ZETU WACHA TUWAONE WAASI WA KIMAKONDE NA UDINI UCHUKUWE NAFASI CCM MAGAMBA WAKITANABAHI WATAKUJA KUTAFUTA SULUHU KWA MAMBO YOTE KUZINGATIA USWA NA UKWLI