Chanazi
JF-Expert Member
- Apr 1, 2010
- 212
- 73
Hizi, Changamoto,Vurugu,Mabadiliko,Kujitambua na Ghasia (Vyovyote utakavyo ona inafaa kuita) zilizo ibuka katikati ya mwezi january Mikoa ya Kusini ni Jambo la kustaajabu sana kwa baadhi yetu.
Miaka kadhaa iliyopita tulikua tukisikia kutoka kwenye Takwimu mbalimbali kua Mikoa ya Kusini inaongoza kwa Umasikini na Idadi kubwa ya wasiojua Kusoma na Kuandika!
Sababu kubwa za kushamili kwa Umasikini ulio kithiri na ongezeko la Wasio jua Kusoma na Kuandika lilikua likitajwa kua ni Uvivu, Ugoigoi na kutojitambua kwa kaya nyingi za mikoa ya Kusini.
Hongera za kipekee ziwaendee/zimuendee alie washika masikio na kuanza kujitambua... Iwe kafanya ivyo kwa maslahi yake binafsi au nia ya dhati ya kuibadilisha Mikoa ya Kusini, amefanya jambo kubwa sana kwenye historia ya mikoa ya kusini!
Mabadiliko ni lazima kwa kiumbe hai hasa binadamu,usipobadilika ni sawasawa na Maiti inayo tembea..
Revolution lazima iwe na negative na positive effect Lakini haikwepeki Ili tuendelee lazima tubadilike Sudden change or gradually change.
Takwim zile za mashirika binafsi na serikali zitaanza kubadilika baada ya miaka michache ijayo kwani wananchi wa Mikoa ya Kusini wameanza Kujitambua sasa!
Suala wanalo lipigania lisiendeshwe kibabe, wapewe muda wakasikilizwa na hoja zao zijibiwe kwani ziko wazi sana zaid ya vazi la kahaba!
Kila la kheri Serikali na Wananchi wa Mikoa ya Kusini
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums