Mohamedi Mtoi
R I P
- Dec 11, 2010
- 3,321
- 6,331
1. Wam-take Jk asitishe ujenzi wa bandari Bagamoyo na ujenzi uhamishiwe Mtwara.
2. Mitambo ya gesi na miundo mbinu ijengwe Mtwara na wazo la kufanya kila kitu Dar es salaam likome (Dhana ya majimbo ndio mujarabu)
3. Washinikize kwa nguvu ya umma wana- Mtwara wajibiwe hoja zao na si kutishwa au eneo la Mtwara kuwa chini ya ulinzi.
3. M4C ianze kwa kasi ya ajabu na timu zipangwe kwa kanda kama alivyo shauri mdau mmoja hapa hapa JF.
5. Viongozi/kiongozi yoyote aliye gundulika kwa ushahidi usio kuwa na shaka kuwa anahujumu kwa namna yoyote harakati za chama kumkomboa Mtanzania 2015 achukuliwe hatua kali za kinidhamu naza kiuongozi hata ikibidi kufukuzwa.
6. Matatizo ya kubakwa na kuibiwa wanachuo wa vyuo vikuu nayo yapewe kipau mbele. Viongozi wa chadema kwenye mikoa husika wapewe agizo la kwenda kuwafariji wanafunzi hao na kushauri hatua za kuchukua.