Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mh. Rais Dr.Jakaya Mrisho Kikwete amelihutubia taifa kwa njia ya tv kama ilivyo kawaida yake kila inapofika mwisho wa mwezi, maada ya mwezi huu ilelemea zaidi sakata la gesi asila ya Msimbati...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
waziri mkuu Mh.Mizengo Pinda,alikimbia maswali ya wana mtwara,ambayo wangemwuliza kwa kisingizio kuwa ana wahi bungeni.amesema Bwana Uledi abdala mwenyekiti wa vuguvugu la kupinga gesi isiondoke...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Katika hali ambayo inapasa kulishtua taifa tena mtoto mmoja aitwaye Lubolola Bunzali wa huko Tarafa ya Ulyankulu Tabora ameuawa kwa kukatwa katwa mapanga na kunyofolewa mkono wake wa kushoto...
3 Reactions
41 Replies
8K Views
Ni baada ya Waziri wa Elimu kulidanganya Bunge kuwa wizara yake ina mitaala ya kufundishia. Waziri wa Elimu Mhe. Kawambwa alipotakiwa kuwasilisha mitaala hiyo mezani kwa Naibu Spika na mtoa hoja...
3 Reactions
61 Replies
5K Views
Wanajf wenzangu habari za wikiendi natumai hamjambo Kupitia tukio lile la jana bungeni limesababisha niwakumbushe hili na hapa namnukuu marehemu baba wa taifa alisema WENYE NGUVU WANAUNGANA...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wananchi wote sasa ni zamu yenu kudai wapi lilipokuwa shiirika ambalo halikuwa limesajiriwa, Shirika la kampuni feki ya kufua Umeme! Shirika hilo liliojiita RICHMOND! jE Wantanzania kama tumeanza...
0 Reactions
1 Replies
852 Views
Wananchi wa Jimbo la Simanjiro wamemuandalia mkutano wa Hadhara kamanda James Millya, kwa lengo la kumpongeza baada ya kuapishwa kuwa Wakili msomi wa Mahakama kuu ya Tanzania, mkutano huo...
0 Reactions
45 Replies
5K Views
BoT queries Barclays Bank merger with NBC THISDAY REPORTER Dar es Salaam THE National Bank of Commerce Limited's plans to buy a controlling stake in Barclays Bank (Tanzania) Limited...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Tangu mchakato wa kutoa maoni ya KATIBA uanze, baadhi ya watanzania kwa kupitia Radio fulani pia makongamano mbalimbali ya katiba wanapenda sasa nchi iwe na siku tatu za kupumzika hili pia waislam...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Afichaye dhambi zake hatafanikiwa Aziungamaye na kuziacha atapata Rehema
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Nadhani hilo halina ubishi -- kwa kuwa tu kule Mtwara CHADEMA ni kama haipo, chama kikuu cha upinzani kule ni CUF, maswahiba wao.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Baada ya sakata la gesi Mtwara kupamba moto wakazi wa kigoma wamejiaanda kupambana kufa na kupona kuilinda rasimali ya nishati ya mafuta iliyo mwambao mwa ziwa Tanganyika.
0 Reactions
43 Replies
7K Views
Katika moja ya hotuba za Kikwete mwaka jana, alitamka jambo hili: "viwanda vya uongo." Nimelikumbuka neno hili katika matukio ya sasa hivi, nikakumbuka rais wangu alivyosema kuhusu viwanda vya...
0 Reactions
68 Replies
7K Views
NAIBU Spika, Job Ndugai ameasa wabunge kuwa waangalifu katika kauli zao wakati wa kuchangia bungeni akisema cheo cha uheshimiwa lazima kiendane na ustaarabu katika uzungumzaji. Ndugai alisema...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Inasikitsha sana kwa viongozi wa taifa letu kuendelea kuuita ukweli wowote kuwa ni upotoshaji. Kwa maneno mengine madai yote kutoka kwa wananchi kwa serikali ya chama cha mapinduzi huitwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani kwa wale wa enzi hizo kulikuwa na posts za kisiasa zenye mtiririko wa kiufundi zilizokuwa zinapostiwa kama sikosei kwenye gazeti la Majira. Huyu jamaa alikuwa ni mzungu aliyeoa usukumani...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Sat, Feb 2nd, 2013 Headlines / Tanzania | The government has re-assured Mtwara residents that most of the gas to be produced in Mtwara will remain in the region and used for the development of...
1 Reactions
84 Replies
6K Views
Tanzania has set a ceiling for investors wanting to buy its agricultural land, a move welcomed by land rights campaigners Orton Kiishweko for IPS, part of the Guardian development network...
0 Reactions
2 Replies
734 Views
Katika mambo ambayo viongozi wengi wamekuwa wakishindwa kuyavumilia ni kukosolewa na kujisahihisha baada ya kufanya makosa. Karibuni hivi APRM wametoa ripoti juu ya hali ya utawala katika nchi na...
1 Reactions
8 Replies
987 Views
Wakuu nimejaribu kuipitia hoja binafsi ya mh Lameck.a.k.a Mwigulu Mchemba kuhusu kuanzishwa kwa mfuko maalum utakao dili na mikopo na kugalimia wasomi wa elimu hiyo, nikabaini ina mapungufu mengi...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Back
Top Bottom