Vijana wa CCM waliongoza shughuli za kuadhimisha miaka 36 ya CCM na pia kuwa ndio green guard ya chama katika sherehe hizo wamelalamika kutumika na chama pasipo kuwa na ajira za kudumu.
Hayo...
wakuu katika hali isiyo ya kawaida wajumbe wamkutano wa ndani wa ccm wilayani meatu wamejikuta wakitandikwa na nyuki waliyoibuka kutoka kwenye spika mojawapo ukumbini humo nyuki hao waliamua...
Ni nadra sana kwa chama chama cha mapinduzi kufanya mkutano mkubwa bila ya kuwashirikisha wasanii wa bongo fleva, au taarab nk. Nimekuwa najiuliza hivi bila hao wasanii hamtaweza kuvuta umati...
Wapendwa wanaJF
Baada ya CCM kuendelea kuongoza Nchi kwa mazoea... na baada ya kushuhudia udhaifu mkubwa.. na baada ya kushindwa kuleta matumaini mapya kwa watanzania.... na baada ya kuona hali...
leo nimebahatika kumsikia jamaa mmoja akimhoji mteja maswali kadhaa yanayohusiana na vodacom mahela/tuzo points.
Mahojiano kwa ufupi yalikuwa kama ifuatavyo;
JAMAA:unaitwa nani
MTEJA:Naitwa...
Mod naomba isiunganishwe ili tupate mchepuo mwingine wa majadiliano.
Nimemsikia Rais JK akihutubia taifa na kueleza kwa ufasaha kuhusu suala la gas Mtwara pamoja na yaliyojiri.
Binafsi nimeridhika...
Rais Jakaya Mrisho Kikwete ambaye pia ni Mwenyekiti wa CCM Taifa amesema kuwa yeye ndio 'top' na shida yoyote ikielezwa kwake,shida hiyo itakuwa imekwisha.Ameyasema hayo leo jioni alipokuwa...
Habari wana Jf
sasa hivi maadhimisho ya miaka 36 ya ccm, yapo live on star tv
~Gwalide ndio linafanya mamboz ( ebwana kama la majeshi yetu sijajua kama inaruhusiwa kuinga style zote za majeshi...
Ndugu zangu kumekuwa na mkanganyiko wa utendaji kazi kufuatana na mwingiliano wa Wizara. Mfano, chanzo cha maji ni milima yenye misitu. Hapa tayari tuna wizara ya maji, utalii, mazingira. Kilimo...
habarini wana JF.
Ni wazi tunatambua kuwa CCM ni wavurugaji na wavurundaji wa mambo,na kwa jinsi siku sinavyozidi kwenda wanazidi kuweka bongo zao pembeni na kufanya watakavyo.
Hii nimejuzwa muda...
Akihutubia katika maadhimisho ya miaka 36 ya CCM Mwenyekiti wa CCM amewaeleza wazi wana CCM kuwa UPINZANI Tanzania unaimarika kwa kasi na hivyo ni lazima wana CCM wajipange kupata vyanzo vingine...
Katibu Mkuu wa Chadema Dk. Wilbroad Slaa, amezungumza na KLH News leo na kuzungumzia kwa kina kilichomtoa Kaborou Chadema na hali ya kisiasa na kimaisha ya Tanzania! kwa uwazi anasema juu ya...
tumekuwa tukiona jinsi ,wabunge wetu wanavyojaribu kuwawajibisha mawaziri wetu wanaosema uongo katika bunge,na hii imesaidia sana kuleta uwajibikaji kwa kiasi fulani ingawa tumekuwa tukiona...
MBUNGE wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe (CHADEMA), amesema kutokana na kuliongoza jimbo hilo kwa vipindi viwili mfululizo, sasa ametangaza rasmi kutowania nafasi hiyo tena katika Uchaguzi Mkuu wa...
Ndg wana JF nimekuwa natizama vyombo vya habari, naona kuna kamtindo kameanzishwa kuelekea maadhimisho ya miaka kadhaa ya CCM, km mfano kugawa sabuni, fedha taslim huko Kigoma na DSM, hii...
THURSDAY, JANUARY 24, 2013
President Dr.Jakaya Mrisho Kikwete, his host FIFA President Joseph Sepp Blatter and TFF President Leodegar Chilla Tenga pose at the entrance of FIFA Headquarters in...
Taarifa za kuaminika nilizozipata punde ni kuwa mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema na bodi ya ArDF wakisindikizwa na mwenyekiti wa CHADEMA (T) Mhe. Freeman Mbowe kesho kuanzia saa tano kamili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.