Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Balozi wa Tanzania mjini Washington anayemaliza muda wake Mwanaidi Majaar anarudi nyumbani baada ya kuwa balozi London na Washington. Mama huyu ni mmojawapo wa watuhumiwa waliowezesha wizi wa EPA...
5 Reactions
105 Replies
13K Views
Hatimaye lile sakata lililosababisha wabunge wa upinzani kutoka nje ya bunge kwa kumuuunga mkono MBATIA na hoja yake ya udhaifu wa elimu nchini ukweli wake umejulikana. Tazama taarifa hii, "Nchi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari tulizozipata kutoka ndani ya Ccm mkoa kigoma zinasema kwamba ule mpango uliokuwa ufanyike mkoani Iringa wa wakuwapa kadi za Chadema wanachama wa Ccm ili wazitoe kwenye mkutano wa Ccm...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kuna mchawi kakamatwa baada ya kuanguka kutoka kwenye usafiri wake wa ungo. Sasa hivi amewekwa kwa diwani. Wananchi wana wasiwasi naye wanasema huenda alikuwa ametumwa kuja kumchukua BIBI Somoye...
31 Reactions
381 Replies
42K Views
Jambo la Ajabu sana, CCM wilaya ya Urambo Ijumaa ya wiki iliyopita walikwenda Urambo Day Secondary eti kuongea na walimu na wanafunzi, Hongera walimu wa hiyo shule kwa kuondoka zao kwenda kwenye...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakati Mkoa wa Dar es Salaa ukiendelea kukumbwa na Ugonjwa wa kudumu wa uvamizi wa Maeneo ya Wazi, na CCM kuifanya ni sera yake ukudhibiti na kurudisha maeneo yake ya wazi, JAMBO AMBALO LIMEKUWA...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Sasa wananchi wameanza kutambua haki zao! kwani ni mda mwingi wananchi walikuwa ni watu wakuburuzwa tu na serikali hii, Sasa Tunaona elimu ya uraia itolewayo na CHADEMA inawafikia watu wote wa...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Mh. Nyerere, Mbunge wa Musoma Mjini (CHADEMA) amewakemea makada wa CCM wa Musoma mjini kwa kitendo chao kiovu, cha kuwashawishi wafanyabiashara katika soko kuu la Musoma Mjini wasipishe ukarabati...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Kuwania uenyekiti wa taifa wa Baraza la Vijana CHADEMA (BAVICHA) APRILI 28, 2011 UTANGULIZI Ndugu wanahabari, Awali ya yote, nawashukuru kwa dhati kwa...
22 Reactions
553 Replies
51K Views
Alhamisi, Januari 31, 2013 07:33 Na Sarah Mossi, Dar es Salaam *Asema ikibidi iwe hivyo, Wazanzibari wasiogope *Aeleza kuwa ubinafsi ndio uliomponza Jumbe 1984 VUGUVUGU la mabadiliko...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Kamata kitu cha M4C Vyombo vishakamilika kufungwa tayari kwa kazi Kitaeleweka tu, Mwanzo Mwisho
33 Reactions
78 Replies
8K Views
East Africa set to benefit from energy prospects Send to a friend Sunday, 03 February 2013 09:55 London. Booming oil and gas investment in East Africa will sustain robust economic growth in...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
moja ya ahadi za mhe.nyerere kwa wapigakurawake ilikuwa ni kuweka tv katika maeneo kadhaa yenye mikusanyiko yawatu,kwa lengo lakuwawezesha kuona matukio mhimu yanayoendelea hasa bunge,pamoja na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kuna mdada anajiita Iron Lady ila najua jina lake ni Rose Mayemba,anasoma chuo kikuu cha RUCO,kuna tetesi kuwa anajiandaa kwenda kugombea kwa Makinda.
0 Reactions
90 Replies
10K Views
Ndg Zangu, Nimesoma habari hii kwenye gazeti la Tanzania Daima kwa kweli imenihuzununisha sana sana. Kwa kweli inasikitisha kwamba tunafanya vitu ambavyo tunajua havikidhi vigezo muhimu vya...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Rungwe waanza kunufaika na uwekezaji "Hii gesi inachimbwa katika Kijiji cha Ikama na kwamba wananchi wa kijiji hiki ndiyo waliotukubalia kuja kuwekeza hapa, na kwa ukarimu wao sisi kama TOL...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wana JF heshima kwenu !!! Kwa mtizamo wangu mfumo wa elimu wa nchi yetu ni adui mkubwa wa maendeleo na mabadiliko hapa nchini, kwani elimu ya Tanzania imetujengea utamaduni wa kutojiamini kwa...
3 Reactions
26 Replies
4K Views
  • Closed
Ni kipindi cha mwangaza wa jamii kimeanza. Moja ya mzunguzaji wa kwanza Ameanza kuwakumbusha watu wasipindishe ukweli (sijui kama JF hapa imekusudiwa) leo inaonekana kipindi kitakuwa mwiba mkubwa...
0 Reactions
45 Replies
4K Views
Hey wadau,miezi iliyopita tulisikia mbunge wa Igunga amevuliwa ubunge na uchaguzi unarudiwa tena.Vipi mbona kimya? Mwenye taarifa sahihi ni lini uchaguzi wa Igunga utafanyika atujuze. Nawasilisha.
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Wanajamvi, Leo nataka niwajadili viongozi wawili shupavu,wenye muono wasio na masikhara katika utendaji kazi wao!! Kwanza ni mh. Edward Lowasa,mbunge wa Monduli na aliyewahi kuwa Waziri Mkuu...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Back
Top Bottom