Viongozi na wanachama wa CHADEMA watajiunga na NCCR Mageuzi kesho jijini Mbeya. Wanachama hao watapokelewa na Juju Danda atakaye mwakilisha mwenyekiti wa chama James Mbatia.
Ni hayo tu.
mia
Ili kuimarisha siasa Tanzania tena siasa za kisasa na zenye mafaa, Kwaheshima na taadhima ninaomba KESHO siku ya JUMAPILI au siku yoyote itakayipendekezwa tufanye mdahalo wawazi hapa jf na ndugu...
Zamani nilidhani mabalozi wa nyumba kuni ni wawakilishi wa wananchi katika ngazi ya chini kabisa KISERIKALI lakini kadri umri na shauku ya kujua mambo vilipokua vikiongezeka nikagundua kuwa kumbe...
Nimeangalia Bunge wakati Mbunge wa Ubungo na Mkurugenzi wa habari na uenezi John Mnyika akiwasilisha hoja binafsi Bungeni ya kuitaka serikali kutatua tatizo la mji ktk jiji la Dsm kwa dharara...
Wanajf nimejaribu kufuatilia jinsi wabunge wetu tuliowachagua wanavyotumia fursa hiyo vibaya wakati wakiwa kwenye vikao. Aidha tumeshuhudia jinsi uongozi wa Bunge (spika na naibu spika)...
Wadau nafuatilia kipindi cha bunge maswali na majibu,aliye jibu maswali yahusuyo wizara ya nishati na madini ni Mh. Stephen Julius Masele.
Swali ni je, George Simbachawene ni naibu waziri wa...
Bunge ndani ya bunge na bunge inje ya bunge
hapa na pata shida kuelewa tatizo lipo wapi? maana wambunge wetu hawa hujadili hoja vizuri sana nje ya bunge kuliko wanavyo jadili ndani ya bunge.
maana...
MRISHO MPOTO NA MASHAIRI YA CHOCHOEA KUNI
Na waomba Wanasiasa wote Tanzania sikilizeni pia chambueni ujumbe uliopo katika mashairi ya" Chochea kuni" yaliyo imbwa na Mrisho Mpoto kisha chukueni hatua.
Mkataba wa uvunaji wa gesi ya Mtwara na Lindi imekua siri hata kamati za Bunge zinazohusika na usimamizi zimenyimwa hiyo mikataba kwa madai kuwa ni siri na Mwekezaji ataondoka kama ikiwekwa wazi...
Alisikika kijana mmoja akisema kwenye daladala "Hivi mtu anayeipenda CCM anakuwa na Akili ya namna gani?" Akaongezea. "Umeme umepanda, gharama za maisha nazo juu, Mfumuko wa bei, Fuel...
JAMAN WATANZANIA, WE ARE DONE WITH MAGAMBAS, mbinu zao za kuzitoa hoja binafsi bungen zinakera,
ndugai anawakandamiza wapinzani kwa kukiuka kanuni za bunge,
hoja ya mbatia yenye manufaa kwa...
Anawaponda wapinzani kujaji haki ya kiti huku akiipiga vijembe hoja binafsi ya mnyika.
Kwa ufupi ni wazi dada makinda anaifuta hoja ya Mnyika kwa mambo yafuatayo.
Hoja ya mnyika haikukidhi...
Huwa nashindwa kupata jibu kwa nini watu wanashabikia ccm
Kwa hali ya nchi ilivyo,
kwa jinsi rasilimali za nchi zinavyotapanywa na wachache,
Kwa jinsi Kikwete anavyowanadi mafisadi,
Kwa jinsi...
Sikupata muda kuona, kusoma au kusikia hoja ya Mh. Mnyika. lakini kwa maoni yangu hoja ya serikali ilionyesha vizuri namna wanavyoshughulikia issue ya maji the rest is just politics.
Mimi kama mtanzania na mpiga kura naomba sana wabunge makini kama Mwakyembe, Magufuri, na wengine wachache sana kama 5 hivi wasiruhusu hili kundi la wabunge wa VITI MAALUMU CCM kuwaharibia taswira...
Maandamano ya ccm hapa lushoto Tanga yamesusiwa na waendesha bodaboda leo asubuhi
CCM wakitoa ahadi za kuwajazia mafuta madreva wa pikipiki maarufu ksma bodaboda wakidai
wamechoka na chama hiki...
Huyu jamaa (kwa sasa ni waziri), anakumbukwa sana kama mojawapo watu waliotoa mchango mkubwa kushinikiza kuandikwa kwa katiba mpya Kenya. Waliokuwa wanaangalia bunge miaka ile ya tisini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.