Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Jamani kweli huyu naibu spika Jon Ndugai kwa kauli zake leo amelewa madaraka, mapema baada ya kipindi cha maswali na majibu, akiwa katika kutangaza matangazo mbalimbali, amewalaumu wapinzani...
3 Reactions
22 Replies
2K Views
Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia kwa nchi za Tanzania, Uganda na Burundi Bw. Phillipe Dongier akitoa hotuba kwa kiswahili fasaha wakati wa sherehe za uzinduzi wa ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa...
0 Reactions
1 Replies
5K Views
Swali la Muhimu kwetu. Miaka zaidi ya 50 ya Uhuru.. Tanzania kama kuzima moto kwenye ghorofa moja tu ya PPF tower imetushinda kuifanya kwa wakati muafaka? je? Tunawezapambanaje yakitokea...
0 Reactions
0 Replies
951 Views
Habari za mida hii wakubwa! Leo nimebahatika kuliangalia Bunge la JMT tangu asubuhi mpaka jioni lilipoahirishwa baada ya kutokea sintofaham baina ya naibu spika na wabunge hasa wa upinzani. kwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mwenge waUHURU hukimbizwa kila mwaka nchi nzima ukiwana kauli mbiu mbalimbali, katika mbio hizo mwenge huzindua majengo mbalimbaliya umma kama vile Ofisi, Zahanati na Shule ambapo zaidi ya 95% ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Napata wakati mgumu sana kujua kazi ya mheshimiwa Wiliiam Lukuvi bungeni ni kuomba mwongozo tu?maana ni bingwa sana kwenye hiyo sekta,hivi kazi yake kubwa ni ipi bungeni?
0 Reactions
1 Replies
940 Views
MASWALI YA WANANCHI WA KASULU KWA NAPE WA CCM KWENYE MKUTANO WA HADHARA HAPO JANA. NAPE ALISHINDWA KUJIBU ALIJIBU LA PILI TU NA KUFUNGA MKUTANO. 1. Mzee mmoja aliuliza umetuambia kuwa...
12 Reactions
35 Replies
4K Views
Katika kujibu kauli ya naibu spika kuwa wabunge wa upinzaji waache kulalamika kuwa wanaonewa kwa kutokutendewa haki kwani wao ndio wanaongoza kwa kupewa nafasi nyingi za kuchangia hoja na kuuliza...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu Habar zenu, Nichukue fursa hii kuongea na Ndugu zetu kutoka Kusini, Mtwara in particular. Ni juzi tu tumemsikia Rais (Fastjet) akiwaponda na kupotosha umma juu ya Madai yenu ya Msingi...
5 Reactions
25 Replies
3K Views
Juu na chini ni Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akipokelewa katika uwanja wa ndege wa Zanzibar akitokea nchini India alikokwenda kwa ajili ya ukaguzi wa afya (medical...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Yaliyotokea Bungeni Ijumaa na Leo jioni ni ISHARA TOSHA kwamba NDUGAI na SPIKA wanapwaya vibaya katika KUONGOZA BUNGE. Kwa kuonyesha upendeleo wa wazi na kupindisha kanuni za bunge ili kuibeba...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wanachotaka watu wa Mtwara kuhusu gesi ni Mrahaba au Corporate responsibility?...au kitu kingine zaidi..I am lost...naomba ufafanuzi zaidi kwa yeyote anaejua kilichomo ndani ya mioyo ya wana...
0 Reactions
0 Replies
707 Views
Ndugu wanajf, Nasikitika sana kuona bunge letu tukufu linaangamia kwa kukosa uadilifu, kanuni za bunge zimekuwepo bila ya kufuatwa na kuachiwa mtu mmoja, spika aliangamize taifa kwa maamuzi ya...
0 Reactions
0 Replies
841 Views
KITAIFA Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, January Makamba Posted Jumatatu,Februari4 2013 saa 8:31 AM KWA UFUPI Hata hivyo majambazi hao ambao walimfunga kamba mlinzi wa...
0 Reactions
37 Replies
4K Views
Sunday, February 3, 2013 Mwenyekiti wa CCM Rais Janakaya Kikwete akiongoza matembezi ya maadhimisho ya miaka 36 ya CCM, leo asubuhi kutoka eneo la Mnarani hadi ofisi ya CCM mkoa wa Kigoma leo...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Kama kuna siasa za kujidanganya kwa kubeza kila jambo basi kwa hili la treni mpaka kigoma ccm imepiga bao. Hapana shaka demage ni kubwa kwa power mongers ambao wao huwa ni kukosoa tuu utadhani...
0 Reactions
56 Replies
8K Views
Nimehudhuria mikutano mitano kati ya tisa waliyofanya CHADEMA juzi hapa Iramba Magharibi, ikiongozwa na Makamu Mwenyekiti (Zanzibar) anayeitwa Said Mohammed. Mtu huyu alikuwa hajulikani kabisa...
5 Reactions
19 Replies
2K Views
Passive Resistance could be described as opposition-to,or "challenging",a stronger power by non violent methods, A stronger power could be,for the example a country's goverment,an occupying power...
0 Reactions
0 Replies
743 Views
Ndugu zangu watanzania niwaambie kitu kimoja, nchiyetu ina ongozwa na mfumo cristo. Mfumo ambao umejikita au una penda kujikita sehemu zile nyeti sana,nazile ziczo nyeti huwa hazina dili nazo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimejaribu kadiri ilivyowekezana kufanya utafiti wa mtandao wa kutosha kujaribu kutazama kama kuna uwezekano wa kupata majibu au ushahidi wa vitu 2 muhimu katika n’gwe hii ya muungano.Vitu au...
0 Reactions
1 Replies
734 Views
Back
Top Bottom