Ccm wasusiwa na waendesha bodabada

Ccm wasusiwa na waendesha bodabada

Mbelwa Germano

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2011
Posts
789
Reaction score
299
Maandamano ya ccm hapa lushoto Tanga yamesusiwa na waendesha bodaboda leo asubuhi
CCM wakitoa ahadi za kuwajazia mafuta madreva wa pikipiki maarufu ksma bodaboda wakidai
wamechoka na chama hiki kwani wana lipa ushuru wakati hata stendi haipo hadi mda huu
Waendesha bodaboda hao wamedai serikari hii ni zaifu kushind serikari zilizopita hapa nchi.
Wamesema hata barabara ya lushoto mjini ambayo imefanyiwa ukarabati mda si mrefu sasa
imebomoka, na haina kitu wamehohji hivi ,MH Waziri wa Ujenzi JOHN POMBE MAGUFURI yupo wapi?
yupo Dar tu na hana mda wa kufika Lushoto? kwani Lushoto sasa ni eneo la viongozi kuneemeka
na Ufisadi mtupu! Waendesha pikipiki hao wamesema sasa ndio mwisho wa ccm kupata kura
hapa Lushoto Mjini .
 
Teh naona jamii ya watu wa chini sasa inaanza kuamka...safi sana.....
 
kiruuuu watanzania wanaelewa madhara ya kuhongwa hawa vitenge kofia hazina nafasi wamepanda bei wanataka ukombozi wa 2
 
Wangekubali mafuta ya bure na kwenda kufanya trip zao kama kawada!
 
Wamezoea kuwaongopea watu kwa vitenge,kofia,fulana na vitu viingi vidogovidogo. Lakini sasa raia wamechoka hivyo 2015 wakae chonjo.
 
Walikuwa na mkutano wao Arusha kata ya sombetini MBAUDANI kwa MAWAZONI Imekula kwao wazee wa kiswahili wakawadanganya walipe matukio ya LEMA et watangaze mkutano mda ni saa 6 afu wakutane saa 8 imekula MEKUu
 
Maandamano ya ccm hapa lushoto Tanga yamesusia na waendesha bodaboda leo asubuhi
CCM wakitoa ahadi za kuwajazia mafuta madreva wa pikipiki maarufu ksma bodaboda wakidai
wamechoka na chama hiki kwani wana lipa ushuru wakati hata stendi haipo hadi mda huu
wamefanya jambo la maana.
 
ni ubishi tu lakini ccm wanatambua kuwa wamepoteza mvuto kwa jamii.
 
CCM sasa jiandaeni kuwa wapinzani wananchi wa hali ya chini wamaegundua hila ghilriba yenu!
Mwisho wenu wa kutawara ni 2015 kwa kheri ccm.
 
Back
Top Bottom