Kilichotokea jana bungeni Dodoma! (Kutokusikilizana Bungeni)

Mh bado ngumi tu bunge hili, maana linakoelekea ?
 
Mwenye mkanda mzima aturushie humu jamvini. Hii ni kiduchu tu haikidhi haja.

Tunaomba pia mwenye mkanda wa kilichojiri leo wakati kikao kikisimamiwa na Bibi Kiroboto arushe hapa, sasa wananchi tumechoka na tunapaswa kuwaonesha hasira zetu manyang'au hao wa mabwepande
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom