Hivi mtu anayeipenda CCM anakuwa na Akili ya namna gani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi mtu anayeipenda CCM anakuwa na Akili ya namna gani?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Paul Kijoka, Mar 21, 2012.

 1. Paul Kijoka

  Paul Kijoka JF-Expert Member

  #1
  Mar 21, 2012
  Joined: Oct 25, 2010
  Messages: 1,400
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Alisikika kijana mmoja akisema kwenye daladala "Hivi mtu anayeipenda CCM anakuwa na Akili ya namna gani?" Akaongezea. "Umeme umepanda, gharama za maisha nazo juu, Mfumuko wa bei, Fuel, Chakula......

  Mjadala huu ulionesha wazi kuwa CCM hana mtetezi kwakuwa kila mtu alielezea chakwake.

  Lakini ntukirudi nyuma ni lazima tukubali kuwa CCM must GO. Hawanajipya na chi hii ni ya wa Tanzania.
  Hawana jipya. Maende na wasubiri kifungo na kunyongwa kwa kulidhurumu taifa kwa kuendelea kuwachekea mafisadi.
   
 2. MotoYaMbongo

  MotoYaMbongo JF-Expert Member

  #2
  Mar 21, 2012
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 1,859
  Likes Received: 200
  Trophy Points: 160
  Anayenufaika na CCM ataipenda, lakini ambae ni hohehahe halafu anaipenda CCM yani mtu huyo ni Maiti inayotembea.
   
 3. SIMBA WA TARANGA

  SIMBA WA TARANGA JF-Expert Member

  #3
  Mar 21, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 992
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  anaakili za kifisadi
   
 4. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #4
  Mar 21, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Umaskini wako usisingizie CCM , jilaumu ww mwenyewe kwa kutofanya kazi za bidii na maarifa. Wengi wanao lalamika hivyo ni wale wanaopenda vitu vya bure bure

   
 5. P

  Pelege Senior Member

  #5
  Mar 21, 2012
  Joined: Mar 1, 2012
  Messages: 137
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kaka mtu kama hanufaiki na CCM harafu anaipenda ujue anamatatizo ya akili,cha kushangaza Tanzania hi maskini wakutupa ndiyo wanayoipenda CCM wanawaiga wenzao matajiri wanaonufaika na CCM
   
 6. Paul Kijoka

  Paul Kijoka JF-Expert Member

  #6
  Mar 21, 2012
  Joined: Oct 25, 2010
  Messages: 1,400
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Hah aha ahah haha haha haha.....!
   
 7. M

  Mujwahuzia Senior Member

  #7
  Mar 21, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 137
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Je ni siku gani watanzania tukashinda kutwa tumekaa bila kazi ya kufnya????????????
   
 8. Paul Kijoka

  Paul Kijoka JF-Expert Member

  #8
  Mar 21, 2012
  Joined: Oct 25, 2010
  Messages: 1,400
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
   
 9. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #9
  Mar 21, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Mimi siipendi CCM kwa sababu nyingi lakini si kwa sababu ya ushabiki;
  1.0 Kushindwa kusimamia rasilimali zetu kama watanzania. Rasilimali hizi ni wazi zinaonekana kutowanufaisha watanzaniaa
  2.0 Nchi kukosa maendeleo yanawiana na miaka 50 ya uhuru. Now is 50yrs from Independence lakini bado tunashindwa kujitegemea hata katika matumizi ya kawaida. 41% tunategemea misaada.
  3.0 Kukumbatia ufisadi na mbaya mafisadi kuwa na nguvu kuliko serikali. Ndiyo serikali pekee duniani inayoogopa mafisadi na kukiri hadharani mafisadi na hatari kwa usalama wa serikali na mengine mengi tu.
   
 10. Paul Kijoka

  Paul Kijoka JF-Expert Member

  #10
  Mar 21, 2012
  Joined: Oct 25, 2010
  Messages: 1,400
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Nahisi CCM imewaloga wa TZ na kuwapumbaza. kwakuwa kila mtu anashuhudia hali mbaya ya maisha na inatia kinyaa kuona wako masikini wanaolala njaa ila wanashangilia picha za chagua jk au wanafia mikutanoni!
   
 11. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #11
  Mar 21, 2012
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,767
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  waaambie bwana wenzao hapa mjini tunaishi kimjinimjini!
   
 12. R

  Real joh Member

  #12
  Mar 21, 2012
  Joined: Mar 14, 2012
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ha ha ha huyo hana akili sababu hana ubongo......
   
 13. R

  Real joh Member

  #13
  Mar 21, 2012
  Joined: Mar 14, 2012
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  fisadi mtarajiwa huyo...
   
 14. Paul Kijoka

  Paul Kijoka JF-Expert Member

  #14
  Mar 21, 2012
  Joined: Oct 25, 2010
  Messages: 1,400
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Hapo kwenye kijani. Kuishi kimjini mjini ndo sera ya CCM na sisi watu makini hatutaki wizi. Kama ndo hivi CCM itazidi kukosa watu makini
  siku zote!!!!! Masikini, unadhani watanzania wote wanaishi MJINI?????
   
 15. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #15
  Mar 21, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Fanya kazi acha kupenda vya bure shauri yako
   
 16. Paul Kijoka

  Paul Kijoka JF-Expert Member

  #16
  Mar 21, 2012
  Joined: Oct 25, 2010
  Messages: 1,400
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Karibu Real joh Join Date : 14th March 2012
  Posts : 5
  Rep Power : 303
  Likes Received:0
  Likes Given:0
  Nahisi umetumwa. Nchi iko hali mbaya na huu moto mafisadi hamuwezi kuuzima!!!
   
 17. Memo

  Memo JF-Expert Member

  #17
  Mar 21, 2012
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 2,147
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  hivi hawa wana akili?\
  kama wanayo, wanafanya kazi?

  [​IMG]

  Halafu hawa je??
  [​IMG]
   
 18. Mohammed Shossi

  Mohammed Shossi Verified User

  #18
  Mar 21, 2012
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 3,986
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  Tuna bahati mbaya sana kura hazikutosha saa hizi tungekuwa tunajenga kwa sementi ya buku tano mfuko mmoja!
   
 19. Paul Kijoka

  Paul Kijoka JF-Expert Member

  #19
  Mar 21, 2012
  Joined: Oct 25, 2010
  Messages: 1,400
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Ushauri wangu ni kwa wasomi, matajiri na masikini. Najua miongoni mwenu kuna watu wanaipenda CCM kwa kuogopa mabadiriko, au kuogopa kupoteza, si kweli. Kuna maisha bila CCM na inawezekana. (There is life without CCM) Tukubari mabadiriko. Tuwapige chini.
   
 20. Brightman Jr

  Brightman Jr JF-Expert Member

  #20
  Mar 21, 2012
  Joined: Mar 22, 2009
  Messages: 1,233
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Hao ni wanafiki tu! Wanalalama nn kwani wakati wanapokea kanga za bure, kofia za bure, vilemba, T-shirt, chumvi, sukari n.k vyote vya bure. Acheni unafiki wa kujifanya mwaichukia CCM wakati ndo chama kilichoshika hatamu kwa kuchaguliwa na haohao wanaolalamika. Shut up...! Acha CCM iendelee mbele mpaka hapo watu watakapo pata awareness juu ya nn kifanyike. CCM OYEEEEE.....!
   
Loading...