Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kuna watu wanadai kuheshimiwa na watu wengine wakati wanajua waliyoyafanya ndio yatajenga na kuwafanya watu wawaheshimu. hakuna jipya na la maana tukuheshimu kwa lipi?.Wanasiasa wengi wanataka...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
  • Closed
Katika kwendeleza harakati za ujenzi wa Chama.Leo saa tano na nusu kikao cha ndani cha chama kimeanza. Ambapo wajumbe wa Kikao hicho ni wajumbe wa kamati tendaji kutoka kila jimbo la mkoani kigoma...
0 Reactions
26 Replies
4K Views
Watanzania tusiangalie miahadi mwaka hadi mwaka tujue pia ahadi hizi zitatekelezwa na nani na kwa njia zipi?kama kweli lengo ni zuri kwanini jana ccm wanapitisha vitu kwa kuburuza watu mpaka...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana amesema hana muda wa kubishana na wapinzani kwa sababu ana mambo mengi ya kuwatumikia Watanzania. Kinana alitoa kauli hiyo jana kwa...
0 Reactions
92 Replies
7K Views
sherehe za miaka 36 ya CCM zafana sana mjini Kigoma leo Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiingia uwanja wa Lake Tanganyika kuhitimisha sherehe za miaka 36 ya chama hicho...
0 Reactions
53 Replies
8K Views
Siku ulipotangazwa kuwa makamu mwenyekiti wa ccm bara ulito ahadi ambayo ninaikumbuka na kuiweka kichwani nikijua kuwa utaitekeleza haraka kama ulivyosema kama jambo la kuanzanalo'nalo ni...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Saa nyingine hata watu wazima na waliopewa na Mamlaka hapa Duniani hujisahau na kushindwa kutatua mogogoro ambayo ingeisha kama kawaida. Waziri Wassira alipokuja mwanza alitakiwa kusema yafuatayo...
5 Reactions
10 Replies
1K Views
uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi mwaka 1995 ulikuwa CCM V/S NCCR ,majimbo yote ya DSM Yalichukuliwa na NCCR Kasoro jimbo moja tu silikumbuki.CCM walikataa matokeo ya ya mkoa wa DSM wakisema kuwa...
0 Reactions
0 Replies
685 Views
Mh.Mizengo Pinda, ulikimbia maswali ya wana mtwara,ambayo wangekuuliza kwa kisingizio kuwa ulikuwa unakimbia bungeni. Kwa ustaarabu bwana Uledi Abdala mwenyekiti alitaka kukuuliza maswali...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Hakuna mwenye macho asiyeweza kuubaini mgomo mkubwa unaoendelea hapa nchini. Hali inatisha kwa sababu rais Kikwete ambaye alikuwa tegemeo la watz naye ameingia ktk Mgomo huu kitambo. Rais...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Wana JF, nipo safarini kutoka Dar Es Salaam kwenda Singida katika jimbo langu la Iramba mashariki. Nakwenda kutoa elimu ya uraia, kufanya mikutano, seminars, nk. ili kukiimarisha chama chetu cha...
4 Reactions
32 Replies
3K Views
Kama wasani wa kigoma all stars kuwa lugha ya kigoma ni amani ni upendo ndivyo ilivyokuwa kwenye sherehe za ccm. Hata hivyo wanakigoma wanasema kuwa maamzi yao yatafanyikia kwenye sanduku la kura...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA DIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS Telephone: 255-22-2114512, 2116898 E-mail: ikulumawasiliano@yahoo.com press@ikulu.go.tz...
5 Reactions
189 Replies
15K Views
Tarehe 7th January 2013 saa 00:17 niliamua kuanika kero yangu juu ya CDM katika uzi huu:https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/380218-chadema-huu-hapa-mwarobaini-wenu-2.html Si peke yangu...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Hoja zilizoletwa bungeni ilikuwa ni kwa ajili ya kuwasaidia wananchi na kuishauri Serikali kurekebisha sehemu ambazo walionekana kutokutekeleza vizuri sera za chama tawala,Upinzani ni kama kioo...
1 Reactions
3 Replies
967 Views
Hivi kwanini tangu bunge lianze kipindi cha bunge TBC kinakatikakatika sana? Ni hujuma au mtambo wa kuwezesha matangazo kuonekana TBC umechoka? au dijitali uko majaribioni? Waelewa tujuzeni.
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Katika Miaka 36 ya Chama Cha Mapinduzi, Hakuna Ninachokumbuka zaidi ya Mauaji ya kinyama kwa asiye na hatia, Mwangosi Mateso, unyama na ukatili aliofanyiwa Dr Ulimboka. Kunyongwa, kukatwa...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Kama umeshikilia embe dodo alafu unaona kuna kila dalili ya kuporwa na mtu mwingine. Kama mtu huyo ni mnyonge kwa hakika utamringishia kwa kujiamini hata weza fanya hivyo. Mfano huo ni wa CCM 2005...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wanachama na wapenzi wa CCM katika chuo kikuu cha Dodoma wamefurahia hatua kali iliyochukuliwa na wana CCM kujilinda na kumpa mkongoto kada maarufu wa CHADEMA Dodoma bwana Swai. Walisema kwa...
0 Reactions
50 Replies
4K Views
Hii ni double standard, leo JK ameongoza maandamano ya wana CCM ambayo wameyabatiza jina la matembezi ya mshikamano, ila wakitembea Chadema ndio yanaitwa maandano. Nina swali moja tu, je OCD wa...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Back
Top Bottom