Hivi wanaoshabikia CCM ni watanzania?

Jile79

JF-Expert Member
May 28, 2009
17,668
13,237
Huwa nashindwa kupata jibu kwa nini watu wanashabikia ccm

Kwa hali ya nchi ilivyo,
kwa jinsi rasilimali za nchi zinavyotapanywa na wachache,
Kwa jinsi Kikwete anavyowanadi mafisadi,
Kwa jinsi CCM inavyowadharau watz kwa kuwapa pilau na pombe za kienyeji na kofia na fulana kila baada ya miaka mitano,
Kwa jinsi Kikwete alivyo juu ya sheria kwa kuwasamehe wezi,
Kwa jinsi Ikulu inavyokuwa mradi wa familia ya Kikwete,
Kwa jinsi mfumo wa shule za kata unavyoleta matabaka kielimu nchini,
Kwa jinsi gharama za maisha zilivyokuwa kubwa huku kipato halisi cha mtz kikididimia,
Kwa jinsi Kikwete anavyowadharau wafanyakazi....

NI KWELI WANAOSHABIKIA CCM NI WATANZANIA?
 
Asilimia fulani ya mashabiki ni wale wanaofaidika mojakwa moja na uwepo wa CCM.

Lakini asilimia nyingine ni wale wasio na uelewa na upeo wa kisiasa....wana ile sceptism isiyo na maelezo wa scientific proof, kwamba ukichagua chama pinzani kutatokea vita!

Wengine ni wale wanaosema kuwa CHAMA KIMEWATOA MBALI!
 
Lakini kwa nini hawaangalii halisi ya tz?
 
unless kuwe na definition mpya ya uraia wataendelea kuwa watanzania.

ukizungumzia uzalendo na mapenzi kwa taifa hilo ni suala jengine
 
CCM wananufaika na kundi kuubwa la Watanzania waliogubikwa na umaskini na ujinga, waliwaunda wawe hivyo, ndio maana siku moja jamaa aliniacha hoi bar, aliposema kuwa ccm ndio chama cha serikali, chama cha majeshi yoote, na hata ardhi niyoikanyaga ni mali ya CCM.

Huyu ni mtu mwenye miaka zaidi ya 40, yuko serious, anahuburi ----- wake mbele za watu, na kwa wasiowaelewea wanamuona jamaa anaongea Pointi.

pia kundi la wanafamilia wanao nufaika na mfumo wa utawala, hawa hata siku moja hawataki kusikia JK ni kiongozi asiefaa kupewa awamu nyingine ya madaraka.
 
ukiona hali iko hivi basi kuna haja ya elimu ya uraia kuwa ya lazima ili watu wajue ukweli ambao ccm haitaki ujulikane
 
nguvumali,

Mungu aingilie kati asaidie watz wajue namna ccm inavyopatanya utajili wa taifa hili tajiri la rasilamali
 
Last edited by a moderator:
Huwa nashindwa kupata jibu kwa nini watu wanashabikia ccm

kwa hali ya nchi ilivyo..............kwa jinsi rasilimali za nchi zinavyotapanywa na wachache...........kwa jinsi hali ya kikwete kiafya ilivyo..............kwa jinsi kikwete anavyowanadi mafisadi....................kwa jinsi ccm inavyowadharau watz kwa kuwapa pilau na pombe za kienyeji na kofia na fulana kila baada ya miaka mitano..................kwa jinsi kikwete alivyo juu ya sheria kwa kuwasamehe wezi.................kwa jinsi ikulu inavyokuwa mradi wa familia ya kikwete.................kwa jinsi mfumo wa shule za kata unavyoleta matabaka kielimu nchini...........kwa jinsi gharama za maisha zilivyokuwa kubwa huku kipato halisi cha mtz kikididimia....................kwa jinsi kikwete anavyowadharau wafanyakazi..............
NI KWELI WANAOSHABIKIA CCM NI WATANZANIA?

Kamwe siyo Watz -- ni herds of sheep calling themselves Tanzanians!!!!
 
Mtaji wa ccm ni wale wasiojua kesho kunani.
YULE ATAKAYE PIGA KURA YAKE KWA CCM, AJUE KUWA ANAANGAMIZA VIZAZI VYAKE. WAJUKUU WATAKUWA ZEZETA KWANI ELIMU,MAENDELEO KWA VIZAZI VIJAVYO NI NDOTO IKIWA CCM ITASHINDA TENA. WADAU FANYINI CHINI JUU KUELIMISHA HILI KUNDI LILO TEKWA NYARA NA WATU WALIO POTEZA FAHAMU YA UBINADAMU!
 
wengi wao pia ni umaskini uliokithiri na wanakuwa watumwa wa CCM bila kujijua kwa kupewa kanga na tshirt...lakini yote kubwa ni ADUI UJINGA..na hii ni silaha kubwa kwa CCM na ndio maana inasema elimu ya bure haiwezekani sababu wanajua asilimia 70 ya watanzania wakielimika watakuwa na uwezo wa kusikiliza,kuchambua na kuchuja mambo ikiwemo uovu wa CCM...itakosa kichaka cha kujificha
 
Wanaoshabikia chama Twawala shida yao ni tumbo tu: chumvi ya siku moja, chupi, soda, kanga, kofia, mafuta ya kuwasomba kuja mkutanoni na ujinga mwingine. :decision:
 
Ni watz wenzetu waloamua kufumba macho wasione uovu au wanaufaidi huu uovu ulioko ndani ya hiki chama cha mafisadi!
 
Yes ni watanzania wenye akili timamu na wanaojua kuwa bora zimwi likujualo kuliko zimwi linalolea ukabila na linalo jiongoza kwa ukabila......
 
huwa nashindwa kupata jibu kwa nini watu wanashabikia ccm

kwa hali ya nchi ilivyo..............kwa jinsi rasilimali za nchi zinavyotapanywa na wachache...........kwa jinsi hali ya kikwete kiafya ilivyo..............kwa jinsi kikwete anavyowanadi mafisadi....................kwa jinsi ccm inavyowadharau watz kwa kuwapa pilau na pombe za kienyeji na kofia na fulana kila baada ya miaka mitano..................kwa jinsi kikwete alivyo juu ya sheria kwa kuwasamehe wezi.................kwa jinsi ikulu inavyokuwa mradi wa familia ya kikwete.................kwa jinsi mfumo wa shule za kata unavyoleta matabaka kielimu nchini...........kwa jinsi gharama za maisha zilivyokuwa kubwa huku kipato halisi cha mtz kikididimia....................kwa jinsi kikwete anavyowadharau wafanyakazi..............
Ni kweli wanaoshabikia ccm ni watanzania?

kwa hiyo watakao mchaguwa mwizi wa mke wa mtu ndio watanzania!!!!
ktk hukumu ya kiislamu mwizi wa fedha (benki kuu, epa, meremeta, rada, nk.) hukatwa mkono lakini mwizi wa mke wa mtu hupigwa mawe mpaka afe!!!!
 
Mpumbavu wa fikra, masikini wa Kuelewa na Mjinga kwa matendo yako, wewe Kadogoo!
 
Back
Top Bottom