Kweli Jamiiforums iko juu. Hii mada nadhani inaendana naya Kwetu Mtwara ambayo nadhani imeandikwa na kijana wa Kitanzania ambaye mara nying amekuwa akiposti vitu kule kwa michuzi Source Ethiopian...
Kuapishwa Rais iwe siku 90
​Ubunge wa upendeleo wa wanawake ni kustarehesha jinsia
MAKUNDI maalumu jana yaliendelea kutoa maoni yao kwenye mchakato wa Katiba Mpya, huku DP...
Wana JF, Tukiangalia mambo yanavyokwenda unaweza kuona kuwa kama katiba haitaweka utaratibu maalum wa kuteuliwa watoto wa vigogo kuwa Mawaziri pamoja na nyadhifa nyingine muhimu kitaifa tunaweza...
Kitendo cha Mheshimiwa Hamisi Kigwangala (kama inavyojulikana kuwa ni mwizi wa jina) cha kuacha hoja yake ya msingi ya ajira kwa vijana na kujikita katika mambo binafsi kimenifanya nizidi...
Wapinzani sasa ni wakati mnaopaswa kushikamana kwa pamoja bila kujali tofauti zenu na kuitisha maandamano ya nchi nzima kupinga namna bunge letu linavyoendeshwa.Kwa kifupi hili ni bunge liliowekwa...
KATIBU Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana aliyekuwa katika Wilaya ya Kibondo juzi na jana alipata wakati mgumu baada ya watu wasiojulikana kudaiwa kufanya hujuma kwa kuzima...
Kutokana na athari za itikadi za vyama katika kuongoza nchi, napendekeza kufuta mfumo uliopo wa vyama kuongoza dola na badala yake ziundwe taasisi za kutunga sera na mipango ya serikali ambayo...
Kwa mara nyingine tena Rais kikwete ameendekeza ahadi zisizotekelezeka kwa kuahidi mara ya tatu juu ya ujenzi wa barabara ya lami kutoka kigoma hadi nyakanazi. Wanakigoma wameichukua na wanasubiri...
Mh. Rais, juzi katika maadhimisho ya sherehe za chama chako kufikisha miaka 36 ulitoa kauli kuwa wewe ndiye "TOP" wa nchi hii na kwa kawaida huwa hupendi kusutwa na ndio maana unatekeleza kila...
:A S-baby:
Ni dhahiri Shahiri kwa reactions za Waziri wa Elimu, Dr. Shukuru Kawambwa hakuna mtaala wa Kuendeshea na haukuwahi kuwepo. Ndio maana ufaulu na elimu inayotolewa nchini hauna thamani na...
Zaidi ya Wanachama 400,wa vyama mbalimbali vya Upinzani wamejiunga na Ccm ktk Kata ya Bashnet wilayani Babati Mkoani Manyara siku ya maadhimisho ya miaka 36,ya chama hicho.!
Source: Radio Free...
Nimeongea na kiongozi mmoja wa mkoa wa kilimanjaro ameniambia tarehe 18 februari wabunge wa chadema na viongozi wa mikoa kutoka mikoa ya Kilimanjaro, Arusha na Manyara watakutana mjini Arusha ili...
6.2.8, Afisa Mtendaji wa Kata baada ya kupokea majina yaliyopendekezwa kutoka kwenye Mikutano Mikuu Maalum ya Mitaa ya Kata husika, ataitisha Kikao Maalum cha Kamati ya Maendeleo ya Kata, ambacho...
Habari wanaJF,
Kuna hapari ililetwa hapa (na mtu anaitwa benazir) ikiwa na majina yangu kwamba mimi ndiye mrithi wa Makinda, na wengine wakadhani mimi ndo nilikuwa mleta mada.
Hiyo mada...
Ndugu zangu watanzania wenzangu, kwanza natanguliza shukrani zangu za thati zenye majinzi na masikitiko kwa watanzania wote kwa ujumla kama hatutajitambua kutokana na matukio mbali mbali. Dhumuni...
Nimefikia kuhuliza hivyo kwasababu vijana wengi tunasifika kwa kupiga maneno vitendo hafifu inapofikia siku ya kupiga kura wakinamama ndo wanakuwa wengi je hiyo cdm itapita? pia hao wabunge wa cdm...
Habari zenu wadau?
Mimi ni mwanasiasa mwenye uchungu na nia ya dhati ya kushirikiana na watanzania wenzangu katika kuleta maendeleo ya nchi yetu.
Nimefanya uchunguzi wa kina juu ya mambo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.