Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Naandika haya si kwa utani bali ni kutokana na uchungu nilionao kuona jinsi watu ambao tuliwatuma waende bungeni kutetea maslahi yetu jinsi walivyogeuka wasaliti wakubwa na kutanguliza maslahi ya...
3 Reactions
38 Replies
3K Views
(1) Ni kwa namna gani(which measure) mimi/sisi kama raia tunaweza kumuunga mkono(support) Mbunge yeyote anapotoa hoja ya msingi inayogusa maslahi ya wengi Bungeni na serikali kuonyesha kupuuza...
1 Reactions
2 Replies
955 Views
Juzi,katika kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Israel,alikuwepo mwanasiasa mmoja,naye mgombea uchaguzi,alipoulizwa kwa nini ameamua kujitosa katika uchaguzi,alisema kwa sababu,"the real politicians are...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Tunalo tatizo hapa Tanzania kwamba kwa vile wapo watu wanawaua albino,kwa kutaka kutajirika,basi inadhaniwa kwamba Watanzania wote ni mafisadi. Haikumbukwi kwamba Watanzania walio wengi,hawataki...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
anasema ".....hoja haina tafakuri, haina fikra na ni hoja ya kutongezea wapiga kura kwa mwaka 2015." Nadhani kuna umuhimu wa kufanya tathimini ya mikopo na mifuko mbalimbali badala ya kukimbilia...
2 Reactions
122 Replies
14K Views
Hongereni wanaCCM kwa kutimiza miaka 36. Wakati sherehe zikiendelea Viongozi wajiulize Je tumewafikisha watanzania kule walipostahili?? Pia kwa vyama kama CUF, CDM, TLP na vinginevyo wengi wetu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ina tusikitisha sana kwa kuwa habari za bunge zimekuwa zikirushwa live kama hoja zilizopo ni za CCM ila kama mjadala umeletwa na chama kingine mtawekewa ngoma .....Mara oh mtambo wetu dodoma...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
WAZIRI Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye, amesema kitendo cha taifa kuwa na rasilimali nyingi hakulifanyi taifa hilo kuwa tajiri. Sumaye aliyasema hayo jana mjini hapa, alipotembelea Taasisi ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Haihusiani ata kidogo na hoja ya Nassari. Mbinu tano kuu hiziapa 1. KUTOA MITIHANI KATI YA NANE HADI KUMI YENYE MASWALI TOFAUTI KWENYE SOMO MOJA na BAHASHA MOJA. Mf kiswahili form four kuwe...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Nimetafakari sana juu ya kinachoendelea bungeni. Nimekata kauli moja, nikizingatia hoja binafsi ya Mbatia na Manyika, kwamba wauaji wa CCM wako ndani ya CCM. Kweli mtu anayewakilisha wananchi wa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Mbunge wa nzega dr. Hamis kigwangala wakati akijibu na kuhitimisha hoja yake bungeni anashindwa kufanya hivyo bali anamshambulia tu Tundu lissu, kwa mimi namshangaa msomi daktari akishindwa...
4 Reactions
114 Replies
10K Views
Kwa mtu anayetazama kwa macho mawili ya kawaida anaweza kuona kuwa zile vurugu za Mtwara zinahusu GESI tu, napenda kueleza wazi kuwa hii si kweli. Vurugu hizi zimechochewa pia na hasira za...
14 Reactions
48 Replies
6K Views
Baada ya Bunge kuahirishwa kutokana na kiti cha naibu spika kushindwa kulipngoza Bunge katika mjadala wa hoja ya Mnyika ya maji DSM , kile kikao cha kamati ya uongozi kimemalizika punde na haya ni...
10 Reactions
69 Replies
6K Views
Kupitia kipindi ambacho kinarusha hewani kila wiki siku ya jumatatu ITV, mwanachama mkongowe (Jaji mstaafu Mark Bomani) wa Chama cha Magamba na ambaye alishawahi kuwania kinyang'anyilo cha nafasi...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Ni dhahiri kwamba wapinza wamewapotosha wananchi kuhusu gesi ya mtwara na lindi na kusababisha hasara kubwa kwa Taifa, mimi najiuliza hivi kweli Profesa Lipumba ulishindwa kufanya "cost benefit...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Rais amevalia ' Kijamaa', lakini Wachina wamevalia ' Kibepari'. Mikataba tunaambiwa ni siri, tumekwisha ndugu zangu.
1 Reactions
14 Replies
2K Views
kama ni mkazi wa dar ukasema hakuna shida ya maji binafsi sitakushangaa maana yawezekana unatoka maeneo ya mikocheni, ostarbay na masaki ambako maji huwa hayakatiki, lakini kama wewe ni mkazi wa...
0 Reactions
0 Replies
935 Views
Moja ya kilio kikubwa cha vyama vya upinzani baada ya mfumo wa vyama vingi kurudishwa ni kitendo cha ccm kuendelea kujimilikisha rasilimali kama majengo,viwanja vya mpira ambavyo vilijengwa kwa...
0 Reactions
1 Replies
798 Views
Wakuu. Aman iwe nanyi. Serikali ya fastjet imekuwa ikikana kuwa haifanyi kazi bila kuwepo mashinikizo ama ya Raia,asas binafsi,vyama vya siasa n.k Tumeona jins serikali ilivyopagawa na move ya...
0 Reactions
1 Replies
820 Views
  • Closed
Kasema serikali isipoitisha uchaguzi wa madiwani Arusha kwa haraka,basi atalianzisha libeneke na kasema mara hi serikali haiwezi kulizima. by itv
0 Reactions
35 Replies
3K Views
Back
Top Bottom