Hebu chadema na wapinzani kiujumla msikilizeni huyu jamaa acheni kucheza ama kuchezeshwa ngoma msiyoijua...jamaa anajiita OMBUDSMAN anasema hivi:
Hao wote mama Kilango na mama Simba walikuwa...
Thursday, 07 February 2013 22:58
Prime Minister Mizengo Pinda
By Songa wa Songa
The Citizen Reporter
The Mtwara rebellion may have been set off by people seemingly disgruntled...
Wazungu wana msemo "better late than never".
Nimetumia msemo huu kuwaomba na kuwasihi waheshimiwa wabunge, hasa wa upinzani, kutambua kuwa wanawajibu wa kuleta hoja hiyo kwa manufaa ya watanzania...
Kuna siku ambazo hua namuona Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Frederick Werema kama mzigo, Rais anahoji maamuzi ya Mahakama yeye anasema "suala hilo linahitaji utafiti na siyo la kulizungumzia...
Ile hoja yako ya mabilioni ya Uswisi imeishia wapi? Umeshapewa mrejesho wa Serikali juu ya kinachoendelea kuhusu hoja hii? Kumbuka Maazimio ya Richmond, Utetezi wa Lema nk
cc Zitto
Ndugu wadau wa JF,kwa kile kinachoendelea kwenye bunge letu huko Dodoma, ni wazi CCM wanatumia wingi wao kupitisha sheria za kuilinda serikali kwenye masuala ya ufisadi!
Leo Mh. Halima James...
Bunge linaloendelea na vikao vyake mjini Dodoma, leo katika kikao chake cha jioni limelazimika kuahirishwa kutokana na mahudhurio hafifu ya wabunge hususani wa CCM. Tatizo hili limekuwa sugu...
"Mwenyekiti wa kamati Mahsusi iliyoundwa na Mhe Spika kuishauri serikali namna ya kuongeza uwigo wa mapato Mhe. Andrew Chenge akitao utangulizi wa ripoti yao kabla ya kumkabidhi Spika wa Ofisini...
na Janet Josiah
WAZIRI Mkuu mstaafu, Cleopa Msuya (83), amepata rufaa ya kupelekwa nchini Uingereza kwa ajili ya matibabu baada ya kuugua kwa muda mfupi.
Kabla ya hapo, Msuya alilazwa katika...
Rais amesema vitambulisho vya Taifa ndivyo vitakavyotumika kupiga kura 2015..........hii inaleta maswali mengi sana kuliko majibu.....Je kitambulisho cha sasa hv cha kupiga kura kina nafasi...
Kila kukicha ninapatwa na wasiwasi na mienendo na kauli za wanasiasa wetu kwenye majukwaa ya siasa, vijiwe na mikutano. Kadri mchakato wa katiba unavyokaribia kufikia tamati, maneno na matendo ya...
Watu wanaosadikika kuwa ni majambazi wamevamia ofisi ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Usharika wa King'ongo, Kimara Dar es Salaam na kupora vitu mbalimbali ikiwamo laptop na...
Katika hali ya kustahajabisha jana kwenye kipindi cha mkasi Salama na msanii Majuto walifunguka kuhusu kitendo cha rais kuwaalika wasanii Ikulu na kisha kuwapa bahasha za mil.1.5 au mil.3. Pia...
Bungeni mjadala umekuwa mkali.
Mtoto wamkulima nae anamejitosa kuokoa jahazi.
Imefika wakati wabunge wanatoa hoja kutokana na itikadi ya dini zao,mfano mbunge moses machali na enginia manyanya...
Ndugu wana JF najua mtakuwa mkifuatilia kikao cha bunge kinachohitimishwa leo. Kauli ya kibabe ya kiti cha spika ya kufuta hoja binafsi za wabunge kumefanya kikao hicho kuwa sawa na kwenda kutalii...
Nimepata hii toka kwa mdau wa UK ningependa Tu-share
Ukisoma yote niliyoyoandika utaielewa nia yangu njema ..
Leo naandika si kwa sababu ya mapenzi ya kuandika, bali kwa machungu yatokanayo...
Kikao kilichofanyika siku ya Jumatano (6 Feb 2013) katika jengo la CCM Makao Makuu hapa Mwanza kimetafsiriwa na Maaskofu kuwa ni jitihada za chama hicho kujaribu kusafisha hali ya hewa ambayo...
Namwona mbunge wa CUF akiomba mwongozo akipendekeza kuwa kamati iliyokuwa imeundwa na Spika na kuzimwa na Waziri Mkuu Pinda irudishwe.
UPDATES
Jesta Muhagama kaitupa kapuni adai ishatolewa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.