Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kabla hamjarudi kwenye majimbo yenu na kabla ratiba za M4C za chadema kuanza pigeni mikutano ya uhakika kwenye maeneo yafuatayo. 1. Kundi moja liongozwe na, Mdee, Mkosamali, Cheyo, Machali nk...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Ni vigumu kuamini kuwa mali na nyumba za wabunge huko mkoani Mtwara zimeteketezwa na moto na wananchi wenye kila dalili ya kukata tamaa na kufanya lolote lile(desperate wananchi). Ni vigumu pia...
0 Reactions
42 Replies
4K Views
CCM leo inatimiza miaka 36 baada ya kuzaliwa tar 5.2.2013. Ninajiuliza ni hofu gani iliyokishika chama kilichokwisha kuvunja ungo kuogopa kufikisha siku ya kuzaliwa. Wadau na wanaCCM naombeni...
0 Reactions
39 Replies
7K Views
MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe amefanya mazungumzo ya Faragha na Mkuu wa Jumuiya ya Ulaya (EU) nchini, Balozi...
14 Reactions
151 Replies
10K Views
Taswira hizi zinaleta picha mbaya sana kwa Chama kikubwa ambacho kimekuwa na uzoefu mkubwa katika kuendesha siasa nchini wakati huo huo kimeshika usukani kuongoza nchi. Siwezi kutegemea taswira...
13 Reactions
40 Replies
5K Views
Bunge La Tanzania wakati wa kufanya wajibu wao mkuu (main obligation) namaanisha KUTUNGA SHERIA, linasikitisha sana maana wabunge wanaohangiaji hawazidi 30, this is maximum number I can say...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Tanzania is set to award exploration permits to Total SA, Europe's third-largest crude producer, to search for oil and gas in the East African country, Energy and Minerals Minister Sospeter...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Leo wakati anahitimisha hoja yake ya marekebisho ya sheria mbalimbali Mwanasheria Mkuu ameto mpya kwa kuwatofautisha ma-Dk wabunge kwa kuainishwa wale wa akilini (nadhani akimaanisha ya kusomea au...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
SERIKALI imewasilisha bungeni mapendekezo ya mabadiliko katika Sheria ya Ukaguzi wa Hesabu za Umma ya 2008, huku ikiongeza vifungu ambavyo vinapunguza nguvu ya Bunge katika kushughulikia taarifa...
3 Reactions
47 Replies
5K Views
Nimekuwa mgeni wa mara kwa mara wa wavuti wa kampuni ya mke wa rais ya WAMA. Siku zilizopita niliwahi hata kuwasiliana nao kupitia email yao hasa kipindi kile walipokuwa wakitumia anwani ya ikulu...
1 Reactions
39 Replies
5K Views
Feb 8 (Reuters) Tanzania is facing growing public discontent over the beneficiaries of vast natural gasdiscoveries in the country, while simmering power struggles in the ruling party threaten to...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wana bodi, Nimekipitia kitambulisho cha taifa kwa haraka haraka na kubaini kuna TATIZO, naweza kuwa wrong. Ni wazo zuri kuwa na kitambulisho cha taifa lakini tukitengeneze kwa umakini. Kuna...
1 Reactions
81 Replies
7K Views
Mheshimiwa Jenista Mhagama akiongoza bunge kama mwenyekiti katika hoja ya Attorney General kwa kale kamtindo ka kupiga kura ka kizamani ka kusema ndiyo au hapana anasema waliokataa nawasikia ni...
1 Reactions
34 Replies
3K Views
Nimeangalia taarifa ya habari TBC mkuu wa mkoa wa Tanga Chiku Galawa ameamuru diwani wa kata ya Handeni akamatwe na kuwekwa mahabusu. Movie ilianzia pale mkuu wa mkoa huyo alipoanza kubishana na...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimemwandikia barua kali Msajili wa Vyama vya Siasa, John Tendwa, kikisema kuwa hakiko tayari kutoa maoni kuhusu vurugu zilizotokea hivi karibuni mjini...
15 Reactions
74 Replies
7K Views
TAARIFA KWA UMMA YAH: MAZUNGUMZO YA WABUNGE WA MKOA WA DAR ES SALAAM NA WAZIRI MKUU, DODOMA-TAREHE 07.02.2013 Waziri Mkuu, Mheshimiwa Mizengo Pinda jana tarehe 7.2.2013 alifanya kikao na...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Wanabodi, Imebainika kuwa wakandarasi wa tafiti na ujenzi wa miundombinu ya gesi katika mkoa wa Mtwara wanafanyakazi Mtwara na kurudi kulala kwenye mahoteli ya ya jiji la Dar es Salaam kila siku...
6 Reactions
85 Replies
7K Views
Katika kile kinachoonekana ubakaji mkubwa wa haki na demokrasia unaoandaliwa Naibu Spika wa Bunge Job Ndugai amesema huenda Mnadhimu Mkuu wa upinzani Tundu Lissu akasimamishwa kuhudhuria vikao vya...
8 Reactions
175 Replies
14K Views
KUNDI linalodaiwa kuwa la wafuasi wa Chadema juzi lilivamia Mkutano wa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi ya CCM, Abdallah Bulembo na kufanya vurugu ambazo zilisababisha watu kadhaa kujeruhiwa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Baraza la Manispaa ya Temeke limekutana leo na kutoa tamko kwamba hawana taarifa ya kutosha kuhusu mradi wa mji mpya wa Kigambini na kuishangaa Wizara ya Ardhi kupitia kwa Waziri Anna Tibaijuka...
6 Reactions
128 Replies
11K Views
Back
Top Bottom