Shalloom, wanaJf!Ile kesi ya kutenguliwakwa ubunge wa bw Aeshi ‘CCM" wa Sumbawanga mjini, rufaa yake imepangwa kusikilizwa na mahakama ya rufaa Dar es Saam tar 12 Februari siku ya Jumanne...
Kwa niaba ya waziri fulani naomba kujibu swali la nyongeza. Hili jambo linanikera sana.
Mimi nashangaa sana hawa the so called mawaziri na manaibu wao kwa nn masuali yanayoulizwa na wabunge...
HOJA BINAFSI JUU YA MWENENDO WA BARAZA LA MITIHANI LA TAIFA UNAVYOATHIRI ELIMU YA TANZANIA
-
[Chini ya Kanuni ya 54(1), (2) na (3)]
Utangulizi
Mheshimiwa Spika, katika dunia ya leo...
Kumekuwa na wimbi kubwa la ubinafsi katika nchi yetu kiasi kwamba imefikiwa watendaji wakubwa kusign mikataba isiyo na tija ndani ya nchi na kumbiza pesa uswisi na kuiacha nchi ikididimia kiuchumi...
HABARI
Na Mussa Juma, Arusha
Posted Alhamisi,Februari7 2013 saa 20:24 PM
KWA UFUPI
Mbunge wa Jimbo la Wawi (CUF), Hamad Rashid, alitoa wito huo jana mjini hapa, wakati akizungumza...
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mchungaji Christopher Mtikila , Februari 6, 2013 baada ya kuhutubia katika maadhimisho ya Siku ya Sheria nchini nje ya Mahakama Kuu ya Tanzania jijini...
TOPIC:VITUKO VINAVYOTOKEA BUNGENI, JE VINASAIDIA WAPIGA KURA WANOWALIPA WAWAKILISHI WAO
Wote wazinguaji tuLike · Reply · 3 hours ago via mobile
Pray Uiso Nawaunga upinzani kwa kuja ni mbinu...
Abdulrahman Kinana Kaingiaje Artumas, Naona Ni Director Pale, Kuna Mtu Ana Wasifu Wake.....kibiashara
Chanzo: artumas.com
===========
UPDATE:
Tovuti hiyo juu haifanyi kazi kwa sasa, lakini kuna...
serikali imekosa mwelekeo
kanuni za Bunge
Legislative plan hakuna
atoa somo juu ya kutabirika kwa vikao vya bunge
Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr. Willbrod Slaa amesema CHADEMA kimechoshwa na uonevu na...
na Ashura Jumapili, Bukoba
NAIBU Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Mwigulu Nchemba, ametishwa na mgogoro unaoendelea kati ya Meya wa Manispaa ya Bukoba, Anatory Amani na madiwani...
Mh,Captain Komba hivi wewe na kundi lako mnajua kibarua mlichonacho mwaka 2015 cha kuinadi ccm?Mnajua kuwa zile single zenu za ccm nambari one sasa hazikubaliki?Mnajua uelewa wa wananchi juu ya...
Wabunge wa CHADEMA walioingia bungeni baada ya uchaguzi wa mwaka 2005 walifanya kazi nzuri sana ya kukijengea uaminifu chama kwa wananchi,kwani bila ya kujali uchache wao ukilinganisha na sasa...
MBATIA aliapa bungeni kwamba Waziri wa Elimu atakapowakilishwa mtaala wa elimu atajiuzulu ubunge kwani haupo tangu tupate uhuru.
Mtaala wa elimu umewakilishwa na kuundiwa Tume ya wabunge 6...
Moja ya viumbe wa ajabu duniani ni huyu aitawe popo.Kiumbe huyu hajulikani yuko kundi gani,kama ni mnyama au ndege.
Hali kadhalika,mh.Shibuda leo nae amethibitisha kuwa haeleweki yuko kundi gani...
vitendo ambavyo vikuwa vikitwendwa na chama cha Magamba vimekuwa vikiwakera raia walio wengi wa hapa nchini na kikubwa ni kutumia nguvu ya kimadaraka iliyokuwa nayo kukandamiza haki ya Watanzania...
Katika malumbano yaliyoibuka bungeni wakati mhe Kigwangalla akijumuisha hoja yake, ilitokea akasema kuwa anambandika label Tundu Lissu kuwa adui wa maendeleo ya vijana wa Tanzania kwa kuwa ni...
Mh leo alikua na mkutano na wanakijiji wa kijiji chaMbuguni,kafanya maamuzi magumu kwa kuwarudishia wanakijiji soko lao ambalo lilikua limetaifishwa na wajinga wachache akiwemo diwani na Katibu...
Kauli hii imetolewa na JK mjini Kigoma wakati wa sherehe za miaka 36 ya CCM....
"Nitahakikisha nina kabidhi nchi kwa mgombea wa CCM na si vinginevyo"!
KAMA RAIS WA NCHI, SALAAM HIZI MAANA YAKE...
Mbunge wa Kawe (Chadema), Halima Mdee, ametimuliwa kwenye kikao cha Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge, kwa madai kwamba ana maslahi ya upande mmoja katika mgogoro...
KIKAO NA WAZIRI MKUU DODOMA MUDA HUU.
Muda Si mrefu tutaanza kikao hapa DODOMA, cha viongozi wakuu wa vyama vyenye wabunge pamoja na waziri mkuu MIZENGO PINDA.
Tuko wajumbe takribani 12 hivi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.