mkada
JF-Expert Member
- Nov 14, 2011
- 1,200
- 909
Rais amesema vitambulisho vya Taifa ndivyo vitakavyotumika kupiga kura 2015..........hii inaleta maswali mengi sana kuliko majibu.....Je kitambulisho cha sasa hv cha kupiga kura kina nafasi gani?Kipi kinaoverrule kingine?Ama vyote vitatumika kwa pamoja?na je kama vyote vitatumika kwa pamoja,Je watanzania wenye sifa ya kupiga kura wote watakuwa navyo tayari mwaka 2015?Na je vitambulisho vipya vya Taifa vitakuwa vimeshagawiwa kwa watanzania wote hasahasa wenye sifa ya kupiga kura kabla ya Uchaguzi 2015?Je kauli ya Rais ndo sheria tayari au sheria ya uchaguzi itabidi irekebishwe kuruhusu kitambulisho cha Taifa kutumika kwenye uchaguzi?La mwisho je NIDA imejipangaji kuhakikisha kuwa miaka 2 ijayo watz wote wanavitambulisho kama tu watumishi wa umma peke yao mpaka sasa hv bado hawana vitambulisho na zoezi lilianza toka mwaka juzi?Naomba majibu wakuu kama yapo.