Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wasalaam wa jf? Ni nani hasa mwenye haki na nchi hii? sisi raia ama serikali? nauliza hilo swali kulingana na matukio yanayotokea kila kukicha hapa nchini mwetu hususani hili swala...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Lengo likiwa ni kuuambia umma kuhusu ukandamizaji wa wapinzani, na upendeleo wa CCM, na namna unavyoathiri haki za Watanzania kuwakilishwa na kutetewa. Unadhani ungependa kuona maneno gani kwenye...
1 Reactions
68 Replies
5K Views
  • Closed
Jeshi la polisi mkoa wa kipolisi wa Temeke limepiga maarufuku maandamna ya wapinzani yaliyopangwa kufanyika leo mkoani Dar-es-salaam yenye lengo la kuwapokea wabunge wa upinzani wanaotokea Dodoma...
0 Reactions
158 Replies
11K Views
Ni wakati wa uchumi huria na global village etc... Tuwakubali wenzetu hawa waChina kutufundisha namna ya kuuza maua, karanga ... na umachinga mwingine... we have something to learn, do not take...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kamati ya Ulinzi, Usalama na Mambo ya Nje, iliyokua inaongozwa na Edward Lowassa imevunjwa na kuundwa kamati mbili ya Ulinzi na Usalama na ingine ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa wakati...
18 Reactions
188 Replies
15K Views
Ndg wanabodi; Kwa takribani wiki mbili hivi Bunge letu lilikuwa linaendelea na vikao vyake. Macho na masikio ya watanzania yalikuwa mjini Dodoma wakitaka kusikia wawakilishi wao (wabunge) wanasema...
0 Reactions
5 Replies
930 Views
Maendeleo yetu kama taifa yanasuasua kwa kuwa tunapanga kushindwa
0 Reactions
0 Replies
818 Views
Wanabodi, kwa upande wangu ningeshauri kesho kwenye hayo maandamano yanayosemekana kuwa ya wapinzani wote waliokubali mwaliko kutoka chadema basi ningeshauri zibebwe bendera za taifa lakini nguo...
2 Reactions
32 Replies
3K Views
Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA leo kitafanya mkutano wake wa hadhara Mlandizi eneo la stand ya mzenga kuanzia saa tisa mchana..wanaotarajiwa kuwamo ni Ally Bananga, Henry Kilewo...
0 Reactions
36 Replies
4K Views
Friday, 08 February 2013 20:03 By The Citizen Reporters Dar es Salaam. The recent spate of violence in Mtwara against the gas pipeline project to Dar es Salaam was unfortunate but at the same...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nasema hivyo ili waweze kuwaeleza wananchi wote wa Tz kilichojili Bungeni na upuuzi wa sipika na ccm yake ili mahakama ya Uma iweze kutoa hukumu nzuri 2015 bila huruma. Na kama wana jf mnaona kuna...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Je ni kweli Waziri Mkuu Mh. Pinda hakueleweka na wana-Mtwara? UMOJA wa vyama tisa vya siasa vya upinzani, vinavyoongoza hoja ya wananchi wa Mkoa wa Mtwara kupinga mradi wa usafirishaji wa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Mkuu wa wilaya ya Temeke Bi Sofia Mjema amekanusha habari zilizotolewa na gazeti la Majira kwamba aliamuru watu wanaotembea nusu uchi wachapwe viboko. Akihojiwa na kipindi cha jahazi cha clouds fm...
2 Reactions
21 Replies
3K Views
Wakati hamwe hamwe, shauku pengine mizuka ikiwa inazidi kuwaingia wana wa jiji la Dar es salaamu kuisubiri kesho kwa ajili ya kuwapokea wapiganaji wabunge wa vyama vya upinzani na sisi wapiganaji...
4 Reactions
18 Replies
2K Views
Nimekutana na hii link kwenye moja ya mitandao, Per diem inatupeleka pabaya sana ni vyema serikali yetu ikalitazama hili kwa umakini zaidi.... The ambition of the study is to acquire a better...
1 Reactions
53 Replies
7K Views
FRIDAY, FEBRUARY 08, 2013 Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya nchi jumuiya ya Maendeleo ya Uchumi Kusini Mwa Afrika SADC Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikagua gwaride...
1 Reactions
25 Replies
4K Views
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA DIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS Telephone: 255-22-2114512,2116898 E-mail: ikulumawasiliano@yahoo.com / press@ikulu.go.tz Fax: 255-22-2113425...
7 Reactions
155 Replies
13K Views
Katika jitihada za kuhakikisha CHADEMA hawachukui jimbo la Morogoro mjini, Chama Cha Mapinduzi kimeweka mapandikizi wafuatao kama informer wao ndani ya CHADEMA Morogoro Manispaa. Informer namba...
6 Reactions
66 Replies
6K Views
Mjumbe wa baraza la mashauriano CHADEMA Kagera kamanda Meshack Micus maarufu kama mbunge wa NKENGE kesho anatarajia kuwasiri kwenye timu ya Kamanda MAWAZO uko Magu.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nahisi kuwa watu wa usalama, au washauri wa viongozi wetu wakuu sasa mmezidi kukosea, na kuwakosesha viongozi. Mizengo Pinda Waziri Mkuu anahutubia Bunge ili kuahirisha na kudanganya kuwa Askofu...
3 Reactions
63 Replies
5K Views
Back
Top Bottom