Noor
Senior Member
- Feb 5, 2012
- 146
- 49
Kuna siku ambazo hua namuona Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Frederick Werema kama mzigo, Rais anahoji maamuzi ya Mahakama yeye anasema "suala hilo linahitaji utafiti na siyo la kulizungumzia juu juu". Je yeye akitoka kwenye nafasi hiyo anaweza kukumbukwa kwa lipi?