Habari wabajf?
1. Nimecheka sana, kweli Zungu safi sana wakati wanaendelea na uchangiaji wa mabadiliko ya sheria mbalimbali bunge H.kingwangala alipeleka kimemo kwa Zungu kuomba kuchangia...
Naomba tumchangie mchungaji Mtikila ili afungue kesi ya kudai viwanja vyetu vyote vya mpira miguu vilivyo chini ya CCM virudi mikononi mwa UMMA. Viwanja karibu vyote vipo ktk hali mbaya na pia...
Akichangia hoja ya marekebisho ya sheria mbalimbali za serikali bungeni jioni hii mbunge wa Ole (CUF) amemshauri AG pamoja na viongozi wa CCM kujisahihisha ktk mambo muhimu yanayo husu nchi ili...
Ni hivi punde nimepata taarifa za kumalizika kwa mkutano wa CHADEMA pale viwanja vya barafu ambao umemalizika mida ya saa 12:30,ukikamilishwa na Mnyika kwa mujibu wa taarifa!nashangaa kumuona TBC...
Nimefuatilia mtiririko mzima wa mabadiliko ya sheria aliyowasilisha mwanasheria mkuu na kweli waliopinga wamepingwa na references na kwa maslahi ya nchi..Wabunge wa CCM hakuna hata mmoja...
Ni dakika chache zimepita nikiwa katika jam kubwa hapa mtaa wa Mianzini mi nikijua ni taa imekorofisha na ndipo kuja kuhamaki ni mtoto wa mkulima ndiyo anapita tena ikiwa na msafara wa magari...
Kamati ya Uongozi na Maadili ya Bunge imesitisha utoaji wa hoja binafsi indefinitely.
Kwa sababu, baadhi ya wabunge wamekosa nidhamu.
Mbunge gani, kwa kusoma nidhamu gani, katika hoja gani, no...
CCM na Wapinzani wamewasikitisha Watanzania wengi,kwa jinsi ambavyo wanazozana kila wakati na wanakosa muda wa kufanya mambo ambayo yanaweza kuwasaidia wananchi. Bunge ambako panatakiwa kuwa mfano...
Alhamisi, Februari 07, 2013 08:17 Na Waandishi Wetu
*Madai ya stakabadhi ghalani kutumika kama chanzo
*Wananchi wadai Pinda hakuweka bayana walichokubaliana
WANANCHI wa Mtwara na maeneo ya...
Hivi ni lazima watu waulize maswali ya nyongeza? au wanauliza ilimradi na wenyewe wawe kwenye rekodi kuwa wameuliza? Na kama mtu anataka kuuliza swali kwanini asitumie muda kuliandika swali...
Habari wanajukwaa.
Hii ni taarifa
Sisi Wanamtwara tuna elimu kubwa zaidi kuhusu gesi kuliko Watanzania wengi wanaotubeza katika madai yetu eti wengine wasema hatujuwi gesi twajua korosho '...
karibu sana nimefuatilia shughuli zako za bunge hili la saba ambalo limetwikika mabegani mwako sawasawa. Ni kazi nzito, Ngumu yenye changamoto nyingi..
Kumbuka kwamba Bunge Hili la Tanzania kwa...
Ndugu wana JF,
Kwa jinsi hili suala la vitambulisho lilivyokuwa linaongelewa kwa mbwembwe nimeona specimen ya kitambulisho cha JK na kusema ukweli sioni chochote special kwenye ID card ile! Yaani...
Mimi siyo mwanachama wa CHADEMA lakini ndicho chama mbadala angalau chenye muelekeo na ninasikia hasira sana na watu ambao wanadhani kuwa wanataka kutenda mambo ya demokrasia kumbe ni wahuni na...
Tumekuwa mabingwa wa kulalamika bila kuwajibika,wananchi ndiyo msingi mkuu wa serikali na ndiyo waajiri wa serikali ambayo tumeipa dhamana ya kutuongoza.Itakuwa kichekesho tajiri kumuogopa...
WAKATI wabunge wa Chadema kutwa nzima ya jana wakiwa katika kikao kujadili hoja ya kuwasilisha katika kikao cha Bunge cha kutaka Spika aondolewe, kamati imeundwa kuchunguza mitalaa ya elimu ya...
• Wabunge, wadau wa siasa waanza kukumbuka Bunge la Samwel Sitta
na Mwandishi wetu
UBABE unaolalamikiwa na wabunge wa upinzani dhidi ya Spika wa Bunge, Anne Makinda na Naibu wake, Job...
KWA UFUPI
Chadema kimeanza kuandaa mashambulizi ya kuchukua madaraka ya nchi kutoka mikononi mwa CCM, lakini hiyo haitakuwa kazi rahisi kwa kuwa CCM nayo inaelekeza mashambulizi kwa Chadema kama...
Ndugu zangu wana jamvi leo natoa msikitiko yangu nikiwa safarini kulejea nyumbani Arusha. mji wa amani na furaha wenye utawala sahihi wa chama cha maendeleo ya watanzania CHADEMA.
Kwa kipindi...
Leo nimelala Nzega nikitokea Dodoma. Nimeamua kuzunguuka hapa mjini mjini kidogo nikidadisi hali ya siasa na mambo mengine ya kijamii. Nimemuuliza jamaa yangu wapi tukabarizi na wenyeji kabisa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.