Companero
Platinum Member
- Jul 12, 2008
- 5,609
- 1,738
"Mwenyekiti wa kamati Mahsusi iliyoundwa na Mhe Spika kuishauri serikali namna ya kuongeza uwigo wa mapato Mhe. Andrew Chenge akitao utangulizi wa ripoti yao kabla ya kumkabidhi Spika wa Ofisini kwake Bungeni leo" - H@ki Ngowi: Taswira Kutoka Ofisi za Bunge:Spika Anne Makinda apokea ripoti ya Mapendekezo kuhusu Mapato na Matumizi ya Serikali Leo