Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, akionyesha alama ya chama chao wakati wa maandamano ya chama hicho kuwapongeza wabunge wa vyama vya upinzani kwa kazi...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Wana Jf, Taarifa nilizopata sasa hivi toka ndani NEC ni kuwa Membe, Sitta na Lowassa hawamo kwenye orodha ya walioteuliwa kugombea kamati kuu CCM.
2 Reactions
34 Replies
4K Views
Waziri wa nishati na madini akiwa Afrika Kusini amesema wiki zijazo atatoa leseni kwa kampuni ya Total ya Ufaransa kuanza kwa kazi hiyo. Je wanakigoma wameandaliwa vya kutosha?
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Kamati za Kudumu za Nishati na Madini pamoja na ile Kamati ya Hesabu za Mashirika ya Umma almaarufu kama POAC zimefutwa.Spika amezifuta na kuunda nyingine mpya. Je,Spika yuko sahihi kisheria na...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Zitto Z. Kabwe nakupongeza kama kweli umeamua kwa dhati kujrudi tena na kuungana na wapambanaji. Mungu akujalie maisha marefu afya njema na mafanikio katika harakat za ukombozi. Watasema mengi...
6 Reactions
41 Replies
4K Views
Katika hotuba yake aliyoitoa uwanja wa Temeke leo Katibu Mkuu wa CHADEMA amesema kuwa Spika hana uwezo wa kufuta Kamati ambayo imeundwa kwa mujibu wa kanuni bali kazi hiyo inafanywa na Bunge zima...
17 Reactions
72 Replies
6K Views
"Ndugu zangu, Najaribu kutuliza mawazo ili angalau niweze kuwapa kidogo tulipofikia na tunakoelekea juu ya suala hili. Kwa kweli haivumiliki ukimwona ulimboka kwa jinsi alivyotendewa na hali...
63 Reactions
788 Replies
65K Views
Inavyoonekana baadhi ya viongozi wa nchi ya Tanzania wameamua kwa makusudi kuendesha propaganda kwamba uwekezaji katika Gesi hautukuwa na manufaa kwa watu wa Lindi na Mtwara mpaka baada ya miaka...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
1.0. UTANGULIZI Mfumo mzima wa elimu hapa Tanzania bado ni changamoto kubwa sana ya kufikia malengo ya kitaaaluma na maendeleo ya kujitegemea kielimu. Mfumo wa elimu ya Tanzania umejikita zaidi...
1 Reactions
26 Replies
3K Views
Mimi ni kwetu ni Shellui nimeongea na wananchi wa hapa wamechoka na Mwigulu Nchemba wanasema kwamba Dr. Mkumbo uvute soksi kwani 2015 jimbo ni lako. Ndugu wanajamvi leo nimeamua kuwaletea mpambano...
2 Reactions
104 Replies
11K Views
Inaingia akilini kweli pale serikali inapotatua matatizo ya njaa kwa kugawa debe moja la mahindi kwa familia ya watu watano nakujiita serikali sikivu.Kiuhalisi debe hilo la mahindi litalika kwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
It is no a joke Jumuiya ya UWT wilaya ya Mwanga, Chama Cha Mapinduzi wilaya ya Mwanga na madiwani wa CCM wa halmashauri ya Wilaya ya Mwanga wanaandaa maandamano makubwa ya kumpokea Waziri wa maji...
3 Reactions
86 Replies
7K Views
Wagombea wa urais watashiriki kwa mara ya kwanza mjadala wa urais kabla ya uchaguzi mkuu mwezi Machi mwaka 2013.
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Baba wa taifa alituachia urithi wa umoja wa kitaifa, lakini JK akiwa kiongozi wa CCM na rais wa nchi ameamua kuubomoa umoja wetu Watanzania ambao ulitupatikia heshima si Afrika tu bali ulimwenguni...
1 Reactions
26 Replies
3K Views
Mji wa Dodoma leo utakuwa mwenyeji wa kikao cha CC ya CCM. Kesho jumatatu, wakuu wa polisi Mikoa yote (RPC's) watakuwa na kikao pia hapa Dodoma. Tuseme ndo CCM wanataka kuwapa maagizo maalum?
1 Reactions
46 Replies
5K Views
Mmewanyima haki ya kutetewa bungeni Wamewakosea nini? Je, ni wao walipenda wazaliwe na waishi kwenye mazingira haya?Je, watoto na wajukuu zenu wanaishi hivi?Kuwanyima haki ya...
8 Reactions
26 Replies
3K Views
Mhe Ismaili Jussa Ladhu aliyasema hayo kupitia mkutano wa hadhara uliofanyika Nungwi Mkoa wa Kaskazini Unguja. Aliwafahamisha wananchi wa Nungwi kwamba katu wazanzibari hawatawaachia watanganyika...
0 Reactions
54 Replies
4K Views
Naibu Spika, Mh Ndugai amenukuliwa na gazeti la Mwananchi kuwa katika vurugu zilizotokea Dodoma - Mwanga Bar hivi karibuni zikiwahusisha Wabunge kadhaa wa chama cha magamba na kada wa CHADEMA...
1 Reactions
60 Replies
8K Views
Ndugu Nape Nnauye, Kwa muda mrefu umejitanabaisha kuwa ni mpiganaji dhidi ya rushwa na ufisadi. Ukianzia wakati ule wa sakata la jengo la UVCCM vita ambayo uliianzisha ukashindwa kuimalizia...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom