MBUNGE wa Ubungo, John Mnyika (CHADEMA) ameiomba Serikali kumruhusu Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), kufanya ukaguzi wa thamani ya miradi ya maji katika Jiji la Dar es Salaam, inayoanzia...
Sitaki kuamini kuwa pesa ni sabuni ya roho. Hivi karibuni nchi yetu imekumbwa na misukosuko ya kisiasa uraiani na hata bungeni lakini waheshimiwa hawa niliowataja hawakusikika kabisa ingawa huko...
Umati mkubwa umefurika hapa kuja kumsikiliza naibu katibu mkuu Chadema ndugu Zitto Zuberi Kabwe.
Updates
(A).Amini ninachokisema mkuu kwani mm sina kadi ya chama chochote, anasema yeye...
MAPEMA wiki hii Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kilifanya mikutano yake mikuu kikiwa na lengo kujipanga kuingia Ikulu mwaka 2015.
Chama hicho kinachounda kambi rasmi ya upinzani...
Mimi sifurahii na mpango wa kuwaiga CCM kila kitu.Mi naona CHADEMA watengeneze kadi za uwanachama za digitali kama za bank au UDSM na kuziingiza kwenye data base kabisa.
Hii itasaidia...
Katika kile kilichoitwa sherehe za kumbukumbu za kutimiza miaka 36, CCM kupitia kwa kamati tendaji imekuja na mkakati mpya wa kukabiliana na kasi ya ukuaji wa upinzani hasa CHADEMA.
Mikakati hii...
Mkuu wa Wilaya ya Korogwe, Mrisho Gambo
Mkuu wa Wilaya ya Korogwe, Mrisho Gambo, ameamuru kukamatwa kwa Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Daniel Veli, kwa tuhuma za kuhusika na upotevu...
Mkutano umemelizika na mmeshindwa kufikia malengo yenu sasa chadema mtakuwa mmejifunza nini? Daima hamuwezi shindana na CCM nawatakieni jioni njema na uchovu mwema.
Kidumu chama...
Kwa mara nyingine tena kama ilivyotokea Meli kuzama bahari ya Hindi huku TBC wakipiga Taarabu, ndivyo ilivyokuwa leo ambapo watanzania wengi waliosikia tukio la Ugomvi wa kidini huko Buseresere...
Vyombo mbali mbali vya habari jana usiku na leo asubuhi wamaripoti kuhusu vurugu za kidini zilizotokea Geita. Vurugu hizo ni muendelezo wa hali tete baina ya wakristo na waislam ilioendelea hapa...
Naye askofu wa kanisa moja kubwa nchini ambaye aliomba kuhifadhiwa jina ili kuepusha malumbano, alisema kuwa Spika Makinda na Naibu wake, Job Ndugai, wanayumba na wanaliyumbisha Bunge...
Nashindwa kuielewa serikali ya CCM na watendaji wake kwa maana askari aliye piga picha na Lema keshafungwa miaka minne kisa askari haruhusiwi kuingilia siasa.
Kuna askari mwingine alipinduka na...
Ndugu wanabodi JF,
Nianze kwa kuomba radhi kama kuna mtu ambaye kwa mchango wangu huu nitakuwa nimemkwaza kwa namna moja au nyingine.
Huyu Rage aliwahi kukutwa na hatia ya kukwapua fedha katika...
CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO –CHADEMA
WILAYA (JIMBO) SINGIDA MJINI
S.L.P 260, SINGIDA.
0784 – 462729 / 0767 – 462729 / 0754 – 818146 / 0754 – 487975
Tarehe...
Kuchinja!? Kuchinja mnyama ndio kusababishe nasi tupigane na tuuane? Kweli ndugu zangu watanzania? Siamini kabisa.Kwani kuna tofauti gani ya ladha ya mnyama aliyechinjwa na Mkristu au Muislamu...
2009-01-17 07:26:00
Govt has no plan to charge Warioba, says Justice minister
By Vicent Mnyanyika
THE CITIZEN
The Government has no intention to arrest and prosecute the former Prime...
Mbunge wa Ubungo, John Mnyika alitoa wiki mbili kwa Waziri wa Maji, Prof. Jumanne Maghebe kuwa endapo hatachukua hatua kujibu hoja tisa ambazo alikuwa aziwasilishe bungeni basi ataongoza...
Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu, alisema kuwa Makinda na Kamati ya Haki, Kinga na Madaraka ya Bunge chini ya Mwenyekiti wake, Brigedia mstaafu Hassan Ngwilizi, walikuwa wameleta hukumu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.