VIONGOZI na mashabiki wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) jana walifanya maandamano na kuhitimishwa kwa mkutano wa hadhara uliofanyika Temeke, jijini Dar es Salaam ambako chama hicho...
Mkongwe wa siasa nchini, Samuel Malecela, ambaye amepata kuwa Waziri Mkuu na Makamu Mwenyekiti wa CCM taifa, amesema ni uonevu kwa Bunge kutaka kuwachukulia hatua wabunge wa upinzani kwa madai ya...
Juzi nilipata nafasi ya kualikwa kuhudhuria mahafali ya Vijana wa JKT kambi ya Kanembwa iliyopo wilaya ya Kibondo mkoani kigoma.
Miongoni mwa mambo yaliyonifanya nitafakari kwa kina na kukosa...
:angry:NAULAZIMISHAmoyo wangu uwe na hasira, sura nimeikunja, nimekasirishwa na uongozi wa kiticha Spika wa Bunge. Nakuomba nawe unayesoma safu hii uungane nami kukasirikakisha kila mmoja...
Kwanza nawapongeza wana CDM kwa kazi nzuri mliyoifanya Temeke kwa siku ya leo. Pili wananchi hawajajua POAC ya zito iliyovunjwa ni nini na nimesikia maswali mengi yakiulizwa. Naomba Zitto au...
Kwenye semina ya viongozi wa nec wa ccm, mwenyekiti rais Kikwete aliwaasa wajumbe kujiepusha na ulevi na kukopa huku na kule kwa sababu tabia hizo zinaathir taswira ya chama, nanukuu
" MAADILI...
Naona chama cha wananchi cuf kwa sasa hivi wana mkutano katika viwanja vya soko kuu kariako. Anaezungumza kwa sasa ni mtu anaejitambulisha kama mchungaji naona anamshambulia Dr Slaa na Chadema...
Mh.Haasani Ngwilizi, mchana huu amewasilisha bungeni ripoti yake ya uchunguzi kuhusu vurugu zilizotokea bungeni wakati mh.Mnyika alipowasilisha hoja yake.Ripoti hiyo imewatia hatiani...
Mjumbe wa baraza la mashauruiano CDM Kagera kamanda Meshack Micus amewaomba wana Kahangara wamchague ndugu Alex awe mwenyekiti wao ili aweze kuwa tetea kwenye WODC.Katika mkutano huo alikuwa na...
Mpaka muda huu ninaleta uzi huu, hakuna kituo chochote cha Television kilichorusha maandamano/Mkutano mkubwa wa Wananchi na Viongozi wa CDM uliofanyika TMK mwisho. Channel 10 wamerusha habari za...
Katika taarifa ya habari ya usiku huu ITV wameonesha mgogoro wa wananchi wanaozunguka mgodi wa north mara unaomilikiwa na kampuni ya Barrick. Katika mgogoro huo wananchi wameshtukia na kukataa...
Awali ya yote nakupa pole kwa majukumu makubwa ya kuliongoza taifa hili, kwa katiba tulikuwa nayo natambua kuwa una majukumu, maamuzi makubwa sana tena mazito kwa taifa hili kwani kila kitu ni...
Dr. Slaa, tumekusikia ulipokuwa unazungumza na waandishi wa habari na maagizo yako wabunge wako wasishiriki kwenye vikao vya kamati ya maadili ya bunge! Vile vile ulieleza chama chako kwenda...
Kama gazeti la Uhuru la leo limenukuu sawasawa ripoti ya APRC (Africa Peer Review Commission) basi hiyo commission haina watu wenye brains.
Huwezi kusema CCM ni imara sana na itatawala muda...
Wana JF,
maandamano ya kesho siyo ya vyama vya upinzani bali ni ya Chadema peke yao kwani vyama vyote vya upinzani havina taarifa ya maandamano bali wamesikia magazetini tu na wala hakuna mwaliko...
UTANGULIZI
nianze kwa kusifu jitihada zenye msukumo wa utaifa na uzalendo alizo zifanya mh mbatia kwa kutafiti kuhusiana na suala adhimu la ELIMU HAPA NCHINI! ni ukweli uliyo dhahiri kuwa mbatia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.