Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Vurugu si tu za kuzomea bali hata za kupigana na kuharibu vifaa vya ukumbi wa Bunge hutokea katika mabunge kadhaa duniani. Kwa mfano, Novemba mwaka 2008, vurugu zilizuka katika Bunge la Ukraine...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwakuwa wananchi wengi hasa wa vijijini hawajui maana ya kauli mbiu inayotumiwa na CHADEMA Movement for change (M4C) napendekeza makamanda sasa waanze kutumie hii kauli ya hamia digitali kwa...
0 Reactions
1 Replies
957 Views
12/02/2013 Serikali inapenda kuufahamisha umma wa Watanzania kuwa hivi karibuni kumezuka kundi la Watu wadanganyifu ambao wamekuwa wakitumia majina ya viongozi waandamizi wa serikali na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimeshangazwa sana jana na kitendo cha baadhi ya viongozi wa CHADEMA waliohutubia katika mkutano wao wa Temeke kuweka hadharani namba za simu za waheshimiwa Anne Makinda na Job Ndugai. Pamoja na...
4 Reactions
104 Replies
7K Views
Toka tuingie digitally nishasahau mara ya mwisho kuangalia habari..kisa katika familia tano za nyumba tuliyopanga nadhani baba mwenye nyumba tu ndo anaking'amuzi naye hajakilipia...sasa siati...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nimekuwa nikifuatilia mijadala mbalimbali inayoendelea hapa JF hasa inayohoji matumizi ya fedha zinazochangishwa na CHADEMA kwenye mikutano ya M4C na ruzuku ya chama kwa ujumla. CHADEMA makao...
1 Reactions
123 Replies
7K Views
Wanajamvi heshima. Safari ya kushika hatamu za kuongoza nchi kama chama cha upinzani CHADEMA Kufanikiwa, yafuatayo yatekelezwe na Viongozi wao kabla 2014 wategeme kushindwa ccm wameanza...
5 Reactions
47 Replies
4K Views
Jana pale Iguguno Iramba palikuwa na mkutano wa CHADEMA, Ulipofika wakati wa maswali bibi kizee mmoja akauliza CHADEMA kwa miaka 20 mmefanya nini ili tuwaamini kuwa mtafanya maendeleo mnayoahidi...
1 Reactions
31 Replies
3K Views
Wanabodi Nimeona niliandike hili ili tulichangie wote,kwani hapa tulipo sasa hivi ni jitihada za makusudi za Mh Rais wetu mpendwa ambaye kuna watu walidiriki kudai kwamba ni chaguo la Mungu...
7 Reactions
69 Replies
5K Views
wewe kama unaona hafai, wenzako wanaona anafaa. Siasa ni maisha ya kila siku tunayoishi. Wewe unapoponda uamuzi wa mwenzio basi fanya nawe ya kwako tuone kama yanafaa. wanapofunga mlango mmoja...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kuna kesi kadhaa zilifunguliwa dhidi ya viongozi wa CHADEMA. Moja ya kesi hizo ni ile inayohusu kuandamana Arusha na nyinginezo. Lakini ni muda sasa haijasikika kutajwa mahakamani. Je ni janja...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
SPIKA wa Bunge, Anne Makinda amesema hoja zote binafsi zilizositishwa katika Bunge la 10, sasa zitajadiliwa katika Bunge lijalo litakaloanza Aprili 9. Makinda alisema wahusika wa hoja, wanatakiwa...
0 Reactions
52 Replies
5K Views
Mlima kilimanjaro umeingizwa katika maajabu saba ya afirica maajabu mengine yanaendelea kutangazwa, mto naili nao waingia maajabu saba ya afirica serengeti nayo yaingia; inafanya tanzania kuwa...
2 Reactions
38 Replies
4K Views
Kitendo cha naibu spika wa bunge Mh. Job Ndugai kuzungumza TBC1 asubuhi wakati akihojiwa kuhusiana na utata uliotokea bungeni kimezidi kuonyesha ni jinsi gani anatumia chombo hicho cha habari...
3 Reactions
33 Replies
3K Views
Habari zenu mabibi na mabwana ndani ya JF pamoja na watanzania wote kwa umoja.Nianze mada yangu ya kimkakati ambayo naona ndiyo inaleta kuwa mtu ndani ya CCM na hata kusifiwa na serikali...
2 Reactions
34 Replies
3K Views
bungeni kumeibuku kuvutana wabunge wenye itikadi ya uislam na ukiristo Sheria ya AG anataka kuingiza wazee wa kiislam kwenye baraza la wazee wa mahakama. Upande wa ukiristo wanataka kuisimamia...
4 Reactions
326 Replies
20K Views
Katika kile kinachoitwa sintofahamu ya serikali ya CCM na namna jinsi bunge linavyoendeshwa kuna tetesi kwamba bunge la bajeti kukaa mwezi Aprili badala ya mwezi wa saba kama inavyokua...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
  • Closed
Jf kwanza nitoe pole kwa misukosuko na migogoro iliyo tukuta mauaji,ajali,kutofautina kiimani nakisiasa,nk. Kilicho nisukuma kuanzisha huu uzi nisintofahamu iliyo tokeya ya nani mwenye haki ya...
2 Reactions
22 Replies
4K Views
http://youtu.be/LBGObrmMhUY Kamati ya Nishati na Madini na POAC zimevunjwa ili kuficha ufisadi wa bomba la gesi
13 Reactions
27 Replies
4K Views
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Dk.Shukuru Kawambwa akibadilishana mawazo na Waziri wa Kazi na Ajira Mheshimiwa Gaudencia Kabaka wakati wa Mkutano wa halmashauri kuu ya Taifa ya CCM ambapo...
0 Reactions
30 Replies
4K Views
Back
Top Bottom