Dr. Kitila Mkumbo tunakutaka Iramba Magharibi!


K

kkitabu

Senior Member
Joined
Dec 27, 2011
Messages
124
Points
195
Age
43
K

kkitabu

Senior Member
Joined Dec 27, 2011
124 195
Mimi ni kwetu ni Shellui nimeongea na wananchi wa hapa wamechoka na Mwigulu Nchemba wanasema kwamba Dr. Mkumbo uvute soksi kwani 2015 jimbo ni lako.
Ndugu wanajamvi leo nimeamua kuwaletea mpambano wa wanyiramba hawa wawili ambao wanatarajia kumenyana kwenye kinyang'anyiro cha ubunge mwaka 2015 kwenye jimbo la Iramba, wasomi hawa wamekuwa na mvuto wa tofauti katika jimbo la iramba.

Kwa upande wa Mwigulu Nchemba amekuwa kivutio pale anapofika jimboni na kugawa pesa kwa vijana wa stendi, sokoni na mitaa yote anayopita hivyo amefanikiwa kuwa na wafuasia wanaopenda pesa zaidi kuliko yeye mwenyewe hii ni kutokana na pale anapofika jimboni akiwa hana pesa huwa anaambulia matusi na kejeli kutoka kwa vijana wa iramba.

Kwa upande Dr. Kitila Mkumbo huwa akifika jimboni watu wengi hupenda kupiga nae picha, vijana hupenda kusikiliza nasaha zake ambazo huwa zinalenga ktk masuala ya elimu na ujasiriamali, anapenda sana kuwasaidia wazee wanaopendelea kunywa pombe za kienyeji kwa mfano ktk kijiji cha mugela aliwasaidia wazee kwa kuwaezekea kilabu chao cha pombe yao ya kienyeji maarufu kama mtukuru.

Kitila akifika jimboni hupendelea kupita kwenye shule za mkoa mzima kwa mfano aliwahi kupita kwenye shule za A-level za mwenge na tumaini kuwapa ushauri na hamasa ya umuhimu wa kusoma kwa bidii.

Kwa upande wa elimu zao Mwigulu anafanya PhD na kitila anafanya ya uprofesa hivyo kila mtu hapo anaitumia elimu yake kwa jinsi tofauti coz Mwigulu anaamini katika sera za Prof. Lipumba za kugawa pesa na Kitila anaamini katika kuwapa elimu bora wanyiramba ili waweze kufanya biashara zao vyema.

NAOMBA KUWASILISHA.
 
Ryaro wa Ryaro

Ryaro wa Ryaro

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2010
Messages
2,661
Points
1,225
Ryaro wa Ryaro

Ryaro wa Ryaro

JF-Expert Member
Joined Oct 4, 2010
2,661 1,225
Best wishes mate..Mukama MAGINA ( Pugu)
 
G

Godwin Mneng'ene

Verified Member
Joined
Sep 20, 2010
Messages
216
Points
0
G

Godwin Mneng'ene

Verified Member
Joined Sep 20, 2010
216 0
Kweli kabisa huyu Dr Kitilya mkumbo anakubalika. Tafadhali mpiganaji kubali wito huu.
Ila binafsi nasikitika sana jinsi hawa wasomi wetu madr na maprof wanavyoacha kazi zao za kufundisha vyuo vikuu na kukimbilia kwenye siasa hata kama huko ndio kuna ulaji mkubwa
 
Mlengo wa Kati

Mlengo wa Kati

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2011
Messages
2,732
Points
0
Mlengo wa Kati

Mlengo wa Kati

JF-Expert Member
Joined Feb 16, 2011
2,732 0
Mimi ni kwetu ni Shellui nimeongea na wananchi wa hapa wamechoka na Mwigulu Nchemba wanasema kwamba Dr. Mkumbo uvute soksi kwani 2015 jimbo ni lako.
uliogea nao wangapi?
 
OKW BOBAN SUNZU

OKW BOBAN SUNZU

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2011
Messages
26,249
Points
2,000
OKW BOBAN SUNZU

OKW BOBAN SUNZU

JF-Expert Member
Joined Aug 24, 2011
26,249 2,000
Mimi ni kwetu ni Shellui nimeongea na wananchi wa hapa wamechoka na Mwigulu Nchemba wanasema kwamba Dr. Mkumbo uvute soksi kwani 2015 jimbo ni lako.
Mkuu mkakati huu utaanza rasmi mapema mwakani. Kuna wazee najaribu ku-organise ili wakamushauri Dr.Mkumbo aje kujenga Iramba yetu......pia kunajaribu kuwaalika makamanda wa makao makuu waje kutupa kampani M4C tarafa ya Shelui kama walivyofanya Iringa.....sisi ndo tuliyemweka Mwigulu na sisi ndo tutamuondoa
 
M

mwanakidagu

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2012
Messages
208
Points
0
M

mwanakidagu

JF-Expert Member
Joined Jan 24, 2012
208 0
Mkuu mkakati huu utaanza rasmi mapema mwakani. Kuna wazee najaribu ku-organise ili wakamushauri Dr.Mkumbo aje kujenga Iramba yetu......pia kunajaribu kuwaalika makamanda wa makao makuu waje kutupa kampani M4C tarafa ya Shelui kama walivyofanya Iringa.....sisi ndo tuliyemweka Mwigulu na sisi ndo tutamuondoa
nakubali.doct.aende.mkome kuyaweka ma m2 majinga kama mugalu...mwakani mbali.naomba mkakati wa kumwondoa huyo mlevi wa sifa uwe january5 au j5.naomba nijulishwe.
 
M

mecy

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2012
Messages
422
Points
0
M

mecy

JF-Expert Member
Joined Jul 16, 2012
422 0
naunga mkono hoja kabisa.dogo kalewa sifa hadi bsi.eti juzi kaenda ndago kuangalia kama yale mauaji wa katibu wa ccm yametulia,hyo damu itakulilia wewe mwigulu,
 
N

ngwendu

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2010
Messages
1,965
Points
0
N

ngwendu

JF-Expert Member
Joined Jun 7, 2010
1,965 0
Mimi ni kwetu ni Shellui nimeongea na wananchi wa hapa wamechoka na Mwigulu Nchemba wanasema kwamba Dr. Mkumbo uvute soksi kwani 2015 jimbo ni lako.
Na mtaota na kusubiri sana na huyo kitila wenu. dr. gani hawezi hata kufanya analysis za kidaktari.
 
OKW BOBAN SUNZU

OKW BOBAN SUNZU

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2011
Messages
26,249
Points
2,000
OKW BOBAN SUNZU

OKW BOBAN SUNZU

JF-Expert Member
Joined Aug 24, 2011
26,249 2,000
Na mtaota na kusubiri sana na huyo kitila wenu. dr. gani hawezi hata kufanya analysis za kidaktari.
Heeeeeh, nani anaota kati yetu na wewe....yaani Mkumbo hawezi kufanya analysis?
 
KYALOSANGI

KYALOSANGI

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2011
Messages
2,211
Points
2,000
KYALOSANGI

KYALOSANGI

JF-Expert Member
Joined Jan 21, 2011
2,211 2,000
Mimi ni kwetu ni Shellui nimeongea na wananchi wa hapa wamechoka na Mwigulu Nchemba wanasema kwamba Dr. Mkumbo uvute soksi kwani 2015 jimbo ni lako.
KOSA LILIKUWA LETU MA KING MAKER (wa kinampanda ) HATUKUWA SERIUS HADI TUKARUHUSU WATOTO KUINGIA CHUMBANI KWA BABA NA MAMA! 2015 ....MKUMBO NJOO KINAPANDA TUONGEE ,ANGALAU TUNAWEZA KUKUSIKILIZA!
 
M

mwanakidagu

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2012
Messages
208
Points
0
M

mwanakidagu

JF-Expert Member
Joined Jan 24, 2012
208 0
nenda mpiganaji,takribani miaka 51 ya uhuru wanyiramba watakuwa wamepata mtu sahihi. Kama mwakilishi wao!hima katoe elimu ya uraia huku ukitumia mwanya wa kiuchumi uliupo kupitia kilimo cha alizeti kupunguza umaskini na idadi ya tembe.hapo kwenye kichwa cha mada, nimesema uanze kazi 2014,(uhakikishe cdm inazoa viti vingi kwa serikali za mitaa.hyo itakuwa simpo kwako 2015.nina hakika utapata kura za kutosha kuanzia makunda,anakotoka mrithi wa mikoba ya sheh yahya.mwigulu kwa kusema kwa kikwao tyunu mao(hakiamama).cdm haiwezi shinda hata nusu ya nchi nayo inakufa 2015.hayo yalitamkwa kibaha katika kuwaelezea wana kibaha jinsi walivyotekeleza kiini macho chao kiitwacho ilani.
 
M

matasha

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Messages
378
Points
0
Age
44
M

matasha

JF-Expert Member
Joined Oct 13, 2012
378 0
Na mtaota na kusubiri sana na huyo kitila wenu. dr. gani hawezi hata kufanya analysis za kidaktari.
Dr Mkumbo kipanga sana na ndie anastahili kuwa mbunge Iramba si Mwigulu ambaye anakariria tu hana ubongo.
 
MotoYaMbongo

MotoYaMbongo

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2008
Messages
1,899
Points
1,500
MotoYaMbongo

MotoYaMbongo

JF-Expert Member
Joined Jan 7, 2008
1,899 1,500
Karibu Iramba tuondokane na hii aibu ya mbunge mbunifu wa matusi kila kukicha
 
master peace

master peace

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2012
Messages
1,450
Points
0
Age
39
master peace

master peace

JF-Expert Member
Joined Dec 19, 2012
1,450 0
Pole pole wana JF,mda si mrefu Mwigulu anaweza anza okota makopo kwani akisikia jina la Dr. Kitila Mkumbo network inakata gafla.
 
mtz one

mtz one

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2012
Messages
3,900
Points
1,500
mtz one

mtz one

JF-Expert Member
Joined Dec 25, 2012
3,900 1,500
msimpoteze mwenzenu akakosa kazi bure mwigulu jimboni kwake hata muamie CDM yoote hamtamuweza
 
mtz one

mtz one

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2012
Messages
3,900
Points
1,500
mtz one

mtz one

JF-Expert Member
Joined Dec 25, 2012
3,900 1,500
Pole pole wana JF,mda si mrefu Mwigulu anaweza anza okota makopo kwani akisikia jina la Dr. Kitila Mkumbo network inakata gafla.
msimdanganye dr kitila akaacha ugali wake bure jimbo la mwigulu hata mpeleke masangoma yenu hamuambulii kitu
 
kinepi_nepi

kinepi_nepi

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2007
Messages
870
Points
0
kinepi_nepi

kinepi_nepi

JF-Expert Member
Joined Aug 16, 2007
870 0
Tetesi nilizonazo kutoka kwa chanzo cha habari cha uhakika hawa vijana watapambana wakipitishwa na vyama vyao kwenye kinyang'anyiro cha Ubunge 2015.

Je ni nani anafaa na atafaa kwa ajili ya kusaidia kazi za kibunge, kuwakilisha wana Iramba, Kutunga sheria, kuisimamia serikali na kuwatetea wana Iramba kupata haki yao ya msingi ya maendeleo.

Compare and contrast between the two.

Tuangalie jimbo la Iramba tangia uhuru likiwa chini wa wabunge wa chama kimoja na wakati huu wa siasa za ushindani. Je kuna maendeleo yeyote au matumaini zaidi ya siasa za kila siku? Je kijana mdogo kabisa mwenye vyeo vya kutosha ndani ya chama chake ameweza vipi kuharakisha maendeleo ya jimbo lake kwa kutetea mgawo wa jimbo lake kwa kipindi alichoweza kulitumikia??

Je Dr Mkumbo akishinda nini matumaini ya wana Iramba kwake?
Does records matters??

Je nani mwenye sifa safi za kiuongozi??

Mzee wa Kinepi kutoka Iramba - Tunaomba mwakilishi mtendaji na si jina.
 

Forum statistics

Threads 1,285,203
Members 494,498
Posts 30,853,543
Top