Mkuu MAO na Mkuu Mwita Maranya kwa sasa CCM hawana Kamati Kuu (CC). Baada ya uchaguzi wa mwaka jana iliundwa NEC na Secretariat lakini Kamati kuu haikuundwa. Wapo kwenye mchakato wa kuunda Kamati Kuu kwenye Mkutano wa Halmashauri Kuu - NEC.Mji wa Dodoma leo utakuwa mwenyeji wa kikao cha CC ya CCM. Kesho jumatatu, wakuu wa polisi Mikoa yote (RPC's) watakuwa na kikao pia hapa Dodoma.
Tuseme ndo CCM wanataka kuwapa maagizo maalum?
majizi wakubwa hawa. nipo hapa hotel ya kidia vision mjini kati, basi magamba kibao hadi kichefuchefu. nilichojifunza ghafla ni kuwaagamba wengi shule hawana, ni mijitu inayotawaliwa na mitumbo tuu. kuna jimama hapa lina simu nne zote smart phones limepiga maguo ya kijani. maneno mengii, hadi kero. wacha bhana.
Mkuu MAO na Mkuu Mwita Maranya kwa sasa CCM hawana Kamati Kuu (CC). Baada ya uchaguzi wa mwaka jana iliundwa NEC na Secretariat lakini Kamati kuu haikuundwa. Wapo kwenye mchakato wa kuunda Kamati Kuu kwenye Mkutano wa Halmashauri Kuu - NEC.
Kimbunga hakuna haliye kataa hillo lakini what a coincidence na kikao cha Ma RPC?
Mkuu MAO na Mkuu Mwita Maranya kwa sasa CCM hawana Kamati Kuu (CC). Baada ya uchaguzi wa mwaka jana iliundwa NEC na Secretariat lakini Kamati kuu haikuundwa. Wapo kwenye mchakato wa kuunda Kamati Kuu kwenye Mkutano wa Halmashauri Kuu - NEC.
kuitetea ccm ni kumtetea shetani.
Waacheni wakae vikao sana tu na wawaagize polisi kutuua sana tu, ila KILA LENYE MWANZO LINA MWISHO WAKE.
Hili vuguvugu la mabadiliko si mpango wa CHADEMA na viongozi wake bali ni mpango wa MUNGU mwenyewe.
Nasi ktk vita hii ya ukombozi tutaibuka washindi dhidi ya mafisadi hawa.
"Bwana akasema, Hakika nimeyaona mateso ya watu wangu walioko Misri, nami nimekisikia kilio chao kwa sababu ya wasimamizi wao; maana nayajua maumivu yao; nami nimeshuka ili niwaokoe na mikono ya wamisri, niwapandishe kutoka nchi ile, hata nchi njema, kisha pana; nchi ijaayo maziwa na asali; hata mahali pa Mkaanani, na Mhiti, na Mwamori, na Mperizi, na Mhivi, na Myebusi" (Kutoka 3:7,8).
Musa akawaambia watu "Msiogope, simameni tu mkauone wokovu wa BWANA atakaowafanyia leo…BWANA
atawapigania,nanyi mtanyamaza kimya" (Kutoka14:13,14)
kipofu akimuongoza kipofu mwenzie wote watadumbukia shimoniMji wa Dodoma leo utakuwa mwenyeji wa kikao cha CC ya CCM. Kesho jumatatu, wakuu wa polisi Mikoa yote (RPC's) watakuwa na kikao pia hapa Dodoma.
Tuseme ndo CCM wanataka kuwapa maagizo maalum?