Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

  • Closed
Taarifa za vikao vya Ulinzi na Usalama unavyovisimamia hapo Mwanza tunazo. Umeshupaa kuilaumu radio yetu pendwa ya KWA NEEMA kuwa ndiyo chanzo cha uhamasishaji wa vurugu huko Katoro.Unaoonyesha...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Wana JF, Napenda kujadili hii hoja ya kufutwa kwa kamati ya bunge ya hesabu za mashirika ya umma (POAC) kwa sababu mazingira ya kufutwa kwake yana utata pamoja na kamati ya ulinzi. Kufutwa kwa...
2 Reactions
48 Replies
5K Views
Ni Peter Msigwa wa Iringa Mjini-CHADEMA Siri zafichuka, Tundu Lissu achafuliwa Mnyika, Nassari kuhojiwa Kamati ya Maadili WAKATI Spika wa Bunge, Anne Makinda akiahirisha hoja binafsi za...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Wananchi wenye maeneo katika kata ya pangani mtaa wa kidumu na Lumumba wilaya ya kibaha maeneo yao yamewekewe beacons bila taarifa ya maandishi kwa weney maeneo??/ something fishy.. inasemekana...
0 Reactions
23 Replies
6K Views
  • Closed
Katika mahojiano aliyoyafanya na gazeti la Raia Mwema la leo, Dr alizungumzia mambo mengi ikiwepo kumzunguzia mke wake Josephine. Dr. Slaa alisema kwamba kuna watu walikuwa wanazungumza maneno...
25 Reactions
292 Replies
17K Views
Katika Kipindi hiki ambacho kuna wanasiasa uchwara ambao wengi hawajua hata misingi ya CHADEMA na pia kuna wengine wamekuwa wanatumika katika kusaliti chama kwa mlango wa nyuma ila kwa watu ambao...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwa mujibu wa Radio Upendo FM, baba Askofu Thomas Laizer wa Dayosisi ya Kaskazini katutoka hivi punde. Poleni wana KKKT. ============ PICHANI CHINI: Askofu Thomas Leizer, katika siku za mwisho...
14 Reactions
349 Replies
39K Views
wana Magu mliomo humu JF, Jamani nisaidieni kunijuza kuhusu jimbo letu la Magu. Tunae mbunge ambaye ni msomi na amekuwepo mjengoni kwa kipindi kirefu sasa, kitu ninanchopenda nisaidiwe ni kujua...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kwanza pole na majukumu. Ukiwa kama kiongozi na Mtendaji Mkuu wa chama,sijafurahishwa hata kidogo na namna viongozi wako wa chini hasa ngazi za wilaya wanavyoendesha shughuli za chama ikiwa ni...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Jakaya Kikwete katika hali inayoashiria kumjibu rafiki yake, Edward Lowassa ameponda makada wa chama hicho ambao wamekuwa wakipanda jukwaani kuhubiri...
2 Reactions
107 Replies
10K Views
MWENYEKITI wa CCM, Rais Jakaya Kikwete ameamua kuwatosa vinara wanaotajwa kutaka kuwania urais kupitia chama hicho kutoingia kwenye Kamati Kuu (CC). Dalili za kuwatosa vinara wanaotajwa kuwania...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Mbatia amsema kuwa hakubaliani na mitalaa iliyowasilishwa ambayo ni ya elimu ya awali, msingi na sekondari. Alisema kilichowasilishwa siyo alichokidai bungeni, mtalaa alioudai ulikuwa wa mwaka...
8 Reactions
38 Replies
4K Views
Walioshiriki kushauri na kuvunja kamati ya POAC ni wabunge wafuatao Tundu Lissu, Mustapha Akunaay, Felix Mkosamali, Habibu Mnyaa, Hamadi Rashidi, Anna Abdallah, Pindi Chana, Nimrod Mkono...
7 Reactions
70 Replies
5K Views
Juliana Shonza na Mtela Mwampamba wamevunja ukimya. Wamehama CHADEMA na kuhamia CCM. Ni jana tu mambo haya yamejiri. Nawapongeza kwa uamuzi wao kwa sababu/vigezo vifuatavyo: 1. Kuichagua na...
1 Reactions
1 Replies
750 Views
  • Closed
Jana katika wilaya ya Karagwe yalifanyika maadhimisho ya miaka 36 ya CCM. Maadhimisho hayo yalifanyika Kata ya Nyakabanga eneo maarufu kama Bushangaro. Mgeni rasmi alikuwa ni naibu katibu mkuu...
8 Reactions
111 Replies
15K Views
  • Closed
Majuzi kwenye Mkutano wa CHADEMA,Mh zitto kabwe alikutana na kundi kubwa la vijana wakitaka kumgusa, namba zake, wengine wakitaka kuzungumza naye mambo yao. Zitto bila ajizi alifanya hivyo...
8 Reactions
66 Replies
7K Views
Taarifa ya habari inayoendelea chanel ten, inasema CHADEMA Imewatimua uanachama watu 15 na 5 kupewa onyo kali kwa kukihujumu chama na kujiita M 23. Mi nawaunga mkono ili wahawamie CCM chama kibaki...
2 Reactions
31 Replies
3K Views
Sio jambo la kwanza kuandikwa au kutafsiliwa na wananchi wengi leo. Tangu siasa ya vyama vingi ni kweli tumeweza kubadilisha nchi yetu kwa kuongeza accountability. Pia ni kweli hata wapinzania wa...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Najua kuna wasemaji wengi wanaoweza kujibu maswali ninayotaka kumuulizaj JK leo, kuna waandishi wake, wasemaji wa chama na wakereketwa wake na wa chama. 1. Alipokuwa Kigoma alisema alikemea udini...
2 Reactions
30 Replies
3K Views
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo kimeendelea na mchakamchaka wake ulioanzia bungeni wa kutaka hoja zake zisikilizwe baada ya kutupiliwa mbali kimizengwe bungeni. Wabunge wa upinzani...
0 Reactions
1 Replies
979 Views
Back
Top Bottom