Butiku, Kabudi, Baregu na Mvungi

Butiku, Kabudi, Baregu na Mvungi

Columbus

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2010
Posts
2,002
Reaction score
652
Sitaki kuamini kuwa pesa ni sabuni ya roho. Hivi karibuni nchi yetu imekumbwa na misukosuko ya kisiasa uraiani na hata bungeni lakini waheshimiwa hawa niliowataja hawakusikika kabisa ingawa huko awali wangekuwa mstari wa mbele kuchambua masuala kama haya.

Nimeuliza kulikoni nikaambiwa fedha fedheha, waheshimiwa hao kwa sasa wana fungu kubwa kufikia 10M kila mwezi na hiyo imekuwa kifumba mdomo.

Haya yasemwayo ni kweli?
 
Sitaki kuamini kuwa pesa ni sabuni ya roho. Hivi karibuni nchi yetu imekumbwa na misukosuko ya kisiasa uraiani na hata bungeni lakini waheshimiwa hawa niliowataja hawakusikika kabisa ingawa huko awali wangekuwa mstatari wa mbele kuchambua masuala kama haya. Nimeuliza kulikoni nikaambiwa fedha fedheha, waheshimiwa hao kwa sasa wana fungu kubwa kufikia 10M kila mwezi na hiyo imekuwa kifumba mdomo. Haya yasemwayo ni kweli?
pesa achana nayo, akina beregu, butiku...... baada ya kupewa shavu na mkuu kwisha habayo yao. mimi nilishawasahau mbona siku nyingi. ni njaa tu ilikuwa inasumbua, sasa tumbo limejaa, ni kula na kusaza. halafu eti wanajitia wanatetea waTZ! thubutu, wanatetea matumbo yao naya familia zao. Natamani uchaguzi ujao chadema ishinde, (kungekuwa na uwezekano wa kufanya majaribio, however we are no ready for that night mire) hapo ndo ungejua pesa ni nini. slaa na kelele zote zile, hakukubali kugombea urais mpaka alipohakikishiwa marupurupu yote ya bungeni atapewa. lema sasa hivi kule arusha anawapa kipondo cha kutosha tu viongozi wake wa chini kwa yule tu anayehisi anamawazo mbadala. chezea hela weye!
 
Tumia akili wale wanakusanya maoni ya katiba mpya na ukumbukuke ushabiki au mawazo watakayotoa mda huu yatakua kinyume na kiapo chao cha kuonyesha neutrality ambayo ni sifa wanayotakiwa kuwa nayo...Mfano kama wakikoment jambo kuhusu kinahoendelea bungeni na ikatokea kwenye katiba mpya kukaonekana contents za ile coment itafanya watu wajue kwamba maoni yale hayakuwa yao ila ni personal views za wajumbe so wanatakiwa wakimya ili kutoingilia mtiririko wa maoni...Mwenye akili finyu yakuingilia tume ni Mr.Dhaifu,baba mwanaasha,Dr.wa popo angani,mzee wa masebuleni kwa wazungu,mzee wa FiFa,mzee wa mwanahalisi,mr.Islamic system,mzee wa Fast Jet...Mzee wa hewa"Ni upepo tuu utapita".Shame on you Jk
 
Hv kuna watu ambao hawana akili wanakurupuka tu, hv hawa wazee waliopo katika kutengeneza katiba mpya mlitaka wafanye nin?
Mmelilia katiba mmeambiwa muitengeneze, sasa mnataka watu waache warudi majukwaani kuendelea kulia
 
Sitaki kuamini kuwa pesa ni sabuni ya roho. Hivi karibuni nchi yetu imekumbwa na misukosuko ya kisiasa uraiani na hata bungeni lakini waheshimiwa hawa niliowataja hawakusikika kabisa ingawa huko awali wangekuwa mstatari wa mbele kuchambua masuala kama haya. Nimeuliza kulikoni nikaambiwa fedha fedheha, waheshimiwa hao kwa sasa wana fungu kubwa kufikia 10M kila mwezi na hiyo imekuwa kifumba mdomo. Haya yasemwayo ni kweli?

Kwa kazi waliyonayo nawaunga mkono asilimia mia kukaa kimya,kwanza wangeongea ingekuwa ni maajabu,wako sahihi mkuu.
 
Sitaki kuamini kuwa pesa ni sabuni ya roho. Hivi karibuni nchi yetu imekumbwa na misukosuko ya kisiasa uraiani na hata bungeni lakini waheshimiwa hawa niliowataja hawakusikika kabisa ingawa huko awali wangekuwa mstatari wa mbele kuchambua masuala kama haya. Nimeuliza kulikoni nikaambiwa fedha fedheha, waheshimiwa hao kwa sasa wana fungu kubwa kufikia 10M kila mwezi na hiyo imekuwa kifumba mdomo. Haya yasemwayo ni kweli?

Fikiria vizuri bila kutumia masaburi utapata jibu na utagundua kwamba hoja yako haina mashiko.
 
Jitahidini kushirikisha ubongo japo kidogo kabla hamjaanzisha mada ili kuepuka kujivua nguo hadharani
 
Huyu jamaa anaota...
hujui wanafanya nn? Hata hvyo Dr. Bana (Kilaza mkuu) anawakilisha!
 
We umesema mkuu watu kila siku siasa za majungu bila kutafiti. Kiapo chao hakiwaruhusu kwa sasa subiri baadae jamani tuna haraka kama tunaoga nje.
 
Sitaki kuamini kuwa pesa ni sabuni ya roho. Hivi karibuni nchi yetu imekumbwa na misukosuko ya kisiasa uraiani na hata bungeni lakini waheshimiwa hawa niliowataja hawakusikika kabisa ingawa huko awali wangekuwa mstatari wa mbele kuchambua masuala kama haya. Nimeuliza kulikoni nikaambiwa fedha fedheha, waheshimiwa hao kwa sasa wana fungu kubwa kufikia 10M kila mwezi na hiyo imekuwa kifumba mdomo. Haya yasemwayo ni kweli?

Wapo BUSY na katiba mpya wala hata hawasikilizi habari siku hizi. Waulizie katiba mpya watakujibu. unataka watoto wasiende choo?
 
Kwa mtindo huu CCMagamba watakaa milele madarakani kwa sababu wamegundua fedha ndio mambo yote. Ukileta kilomolomo unakatiwa genji kilomolomo kwishney.
 
yote kwa yote benson bana hana tofauti na nyama ya vigo ni janga
 
Wana haki ya kuamua waseme nini na waache nini. Wao sio wasemaji wa serikali. Kama ni pesa wamekuwa nazo tangu awali. Hivi mtu uko busy na katiba uanze kupayuka jukwaani kwenye sensitive issues! won't that be looking for conflict of interest?
 
Mkuu Mgayasida umempa maelezo mazuri na ya uhakika kabisa Good2015, nakubaliana na maelezo yako mpaka hapo tu nilipoishia kunukuu. Yaliyoendelea mbele ya hapo ni matokeo ya kunywa viroba bila kula.
Tumia akili wale wanakusanya maoni ya katiba mpya na ukumbukuke ushabiki au mawazo watakayotoa mda huu yatakua kinyume na kiapo chao cha kuonyesha neutrality ambayo ni sifa wanayotakiwa kuwa nayo...Mfano kama wakikoment jambo kuhusu kinahoendelea bungeni na ikatokea kwenye katiba mpya kukaonekana contents za ile coment itafanya watu wajue kwamba maoni yale hayakuwa yao ila ni personal views za wajumbe so wanatakiwa wakimya ili kutoingilia mtiririko wa maoni..
 
Mkuu Mgayasida umempa maelezo mazuri na ya uhakika kabisa Good2015, nakubaliana na maelezo yako mpaka hapo tu nilipoishia kunukuu. Yaliyoendelea mbele ya hapo ni matokeo ya kunywa viroba bila kula.
Tumia akili wale wanakusanya maoni ya katiba mpya na ukumbukuke ushabiki au mawazo watakayotoa mda huu yatakua kinyume na kiapo chao cha kuonyesha neutrality ambayo ni sifa wanayotakiwa kuwa nayo...Mfano kama wakikoment jambo kuhusu kinahoendelea bungeni na ikatokea kwenye katiba mpya kukaonekana contents za ile coment itafanya watu wajue kwamba maoni yale hayakuwa yao ila ni personal views za wajumbe so wanatakiwa wakimya ili kutoingilia mtiririko wa maoni...
 
Sitaki kuamini kuwa pesa ni sabuni ya roho. Hivi karibuni nchi yetu imekumbwa na misukosuko ya kisiasa uraiani na hata bungeni lakini waheshimiwa hawa niliowataja hawakusikika kabisa ingawa huko awali wangekuwa mstari wa mbele kuchambua masuala kama haya.

Nimeuliza kulikoni nikaambiwa fedha fedheha, waheshimiwa hao kwa sasa wana fungu kubwa kufikia 10M kila mwezi na hiyo imekuwa kifumba mdomo.

Haya yasemwayo ni kweli?

Akili yako chafu.
 
Baregu na Mvungi na Kabudi hawajasema lolote kuhusiana na gesi ya Ntwara....... Jamani ninyi wazee mbona mnatutupa watu wa Ntwara???
 
Back
Top Bottom